I humbly supported the Chinese decision Ila why ile mikwara. Mi nafkiri mikwara ilitokana na kukosa details. Nafkir China hajawekeza sana ktk military intelligence ilitakiwa ajue kuwa US walishafanya maamuzi ya vita kabla ya jana. Hapa ndo panaponifikirisha. China asitegewe ktk vita.
Vipi kama nao waliamua kumuingiza US chaka kama tulivyofanya kwa Ukraine kuwaaminisha tunaitaka Kyiv kwa ule msafara wetu kumbe hatuna habari nayo kwa wakati ule?
Huu mfano naurudia mara kwa mara kwasababu umenifundisha kitu cha muhim sana.
So what if China aliamua kushupalia lile swala, akijua US ni mpenda ugonvi atalazimisha kwenda Taiwan. Then akienda wao itawapa kila sababu za kuanzisha kile walichokua wanakitaka hapo Taiwan?
Alichokifanya jana Pelosi kwani kisingewazakana hata kwa mawasiliano ya kawaida kwa sim au n.k?
Again tena bro we unafikiri kwa alichokianya US ataendelea kuwaambia akina nani juu ya kuheshim sovereignty ya mataifa mengine?
China ataonekana mwoga ila upande wa East hasa Xi na Putin washajua west wana ombwe la nini... Ubabe usio na tija na kwasababu hawafikirii mara 2 mbili naona kama kila kona wanaingizwa mkenge.
Hakuna shambulizi la kuambiwa utapigwa kwa namna hii hadharani tena mbele ya Media kwa adui yako. Kipigo huwa ni siri ili usitafute njia za kujihami.
Tuendelee kula mtori matarajio ya ujio wa Multipolar yanazidi kuongezeka. I don't know why nawaamini sana upande wa mashariki.
Kila Chess Move yao kwangu Bingo, ha ha ha yani ipo nje ya matarajio ya walio wengi na of course unapomkosesha adui yako kujua next move yako ndio ushindi wenyewe.
Like penalty shoot, unamuhadaa kushoto ajabu unapiga kulia, Una score muruuuua kabisa washabiki tunaamka kwenye viti.
Chonde chonde tutulieni wakati wapishi wetu wako jikoni 😂.