Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mda ni mwalimu mzuri bro, tufanye kusubiri majibu tutayapata. Hapo hapo Wakati unajiuliza kwanini mikwara yote ile jiulize pia kwanini msafara wote ule kwenda Kyiv kama hawakuwa na malengo ya kuichukua Kyiv?

Hizi ni Geopolitics, wanazielewa kinaga ubaga wanaozifanya sie tutaishia kuzungumza assumptions nyeupe nyeupe.


Naam, Mkumbushe wakati huo haitakuwa Vita ya US na China bali NATO nzima vs China.

Je kwa position aliyo nayo China anaweza kwenda nao manda manda huo mkusanyiko wote? Cuz we knows hakuna sehem US aliposhiriki peke yake bila mashoga zake.

Binafs, I'm glad China jana haku'react, in turn kawanyima the Collectives west kile walicho kihitaji. Wangetuharibia OP yetu pale Ukraine. Maana back up yetu ya sanctions ingekuwa inashughulishwa kitu ambacho kisingekua rafiki kwetu.

Kila kitu kitaenda slow but sure hakuna uharaka wa kuipiga Nyundo Nguruwe inayojifia taratibu.

Geopolitics hazipelekwi kwa mihemko. Xi sio Comedian Zelensky wa kuangamiza taifa lake baada ya kujengwa miaka yote hiyo kisa kile kibibi ila Onyo as a President katoa na wameionesha Dunia sababu za kwenda against US kwasababu ya Tabia zao za kindezi.

Zaidi wamepata sababu za kuishughulikia Taiwan rasmi, Unafikiri walichoanza kukifanya kuanzia jana usiku hadi sasa wangeanza vipi kama huyo bibi asingetua hapo Taiwan?
Na China ataungana na Russia,Iran,NK na kadhalika Kwa hiyo itakuwa world war 3 ambayo haina mshindi.
 
Hammaz ni mpole sana ila ni balaa na nusu ujue!

Kuna siku walijichanganya bhana walinichukulia poa kisa ni white halafu nina muonekano wa ki-brother man ebhana eeh!

Nisiharibu Uzi wa watu.
Ha ha ha hawakukupiga Iskander kweli jomba 😂... Huh sio kuharibu uzi ni sehem ya story tu na vijambo tukisubiri updates za wajomba.
 
Ukishapokea misaada ya western countries kinachofuata ni kutimiza matakwa yao
20220803_201552.jpg
20220803_201535.jpg
 
Ha ha ha hawakukupiga Iskander kweli jomba 😂... Huh sio kuharibu uzi ni sehem ya story tu na vijambo tukisubiri updates za wajomba.
Niliwaambia tu kujaribu ni bure!

Hawakujua mi ni yule bondia ninaepambana na kundi 😁😂😂

Niliwavuruga Mzee! Na niliogopa sana sikujua kama nikitibuliwa nakuwa na kiwango kile cha hasira! Ila nilijipongeza kuwa najua.

Miguu yangu ina wepesi wa kupiga kick na mikono ina wepesi wa kurusha ngumi za kushutukiza.

Ila ni hatari sana! Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu anaefanya mazoezi na ambae hafanyi mazoezi. Unaweza ukampiga mtu akazima kabisa hata wewe haukutarajia kama matokeo yangekua hayo!

Matokeo hayo yanatufanya tunakuwa na wisdom kwa sababu unajigundua wewe ni silaha tosha. Tunakuwa wapole, hasira zetu zipo mbali sana. Tupo radhi utuone wajinga.

Ila kuna mwanangu mmoja anatembea na kisu chake anacho-train nacho aah huyu jamaa ni hatari Mzee! Huyu mwamba wahuni walitaka kumpiga kisu akakizuia kwa kukishika kwa mkono damu zinachuruzika halafu akamwamwangalia jamaa machoni.
 
Yaani itangazwe tu jeshi la akibaaaa!
Siku PK anafanya maujinga jinga yake kwa Tz aisee! Mapema sana naenda.

Yaani leo tunapiga, kesho tunarudi tunakunywa chai.
Umenikumbusha mshkaji mmoja. Yeye alienda kwa mujibu. Kipindi kile cha sintofahamu ya Kibiti. Alitamani jeshi lifanye recruiting ili aende. Nikamuuliza kwanini akasema anafeel yuko responsible. Haikuwa sababu ya ajira.

Nafkiri hii ya Kagame wengi wata volunteer including myself.
 
Ila kuna mwanangu mmoja anatembea na kisu chake anacho-train nacho aah huyu jamaa ni hatari Mzee! Huyu mwamba wahuni walitaka kumpiga kisu akakizuia kwa kukishika kwa mkono damu zinachuruzika halafu akamwamwangalia jamaa machoni.
Hahaa anafaa kua rafiki yangu huyu, nahisi ana attitude kama zangu 😂🤗
 
Eti Slava rainbow [emoji304] wakati Leo Urusi kachukukua maeneo matatu[emoji1787][emoji1787]
Sisi kwa kuwa tumeshaufyeka ule msafara wa km 64 wenye magari ya kivita na vifaru vya ghalama..,huyo fashsti dikiteta shetani wa urusi ngoja aendelee kupigishwa danadana huko mipakani[emoji12][emoji12]
 
Sio rojo wale wanaijua vita nje ndani .. Wana makovu ya Vita wanajua madhara na hasara za vita.

Sababu vita iliianzia na kuishia mji wao kutwangwa na kuleta vifo na majeraha ya kudumu.

Wamepevuka maana Wana pesa, Wana roho ngumu za kikatili ila wameamua kuwa waungwana na waelewa. Utaona hata walichukua idadi kubwa ya wakimbizi wa kiislamu toka Syria tofauti na waarabu Wengine.

Therefore, sio rojo wamekuwa Kama mhuni wa mtaa aliepevuka na kuamua kuokoka.

But Germany siku zote ni machine.
Sio Germany pekee.

Kuna nchi zikiamua kukinukisha humu duniani hakutakalika.
 
Hammaz ni mpole sana ila ni balaa na nusu ujue!

Kuna siku walijichanganya bhana walinichukulia poa kisa ni white halafu nina muonekano wa ki-brother man ebhana eeh!

Nisiharibu Uzi wa watu.
Go jo rhou karate hii inachezwa zaidi nchini Tanzania, hasa na vyombo vya ulinzi.

Mfumo wake wa mapigano unahusisha hard and soft kwenye Matumizi ya nguvu.

Huu mchezo una kata 12 ila wengi huishia kufundishwa kata zisizozidi nne.

Kumbuka huku mtaani tunajifunza Shotokan karate ili ukija na stance zako za kigojorhuu tunakupiga kama Mandonga[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Raha ni pale ushapigwa mabapa ya upanga mgongoni halafu unatakiwa usema alkatogo the master.

Tunaanza kuspot wajeshi na wale tusio wapenda sisi mitaani policcm.
 
Back
Top Bottom