Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2313523
[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]2 HIMARS THAT WERE DEMILITARISED[emoji95][emoji95][emoji95]
It seems that these are the ones who were struck near Kharkov. Judging by the photo, they were tracked down and struck when they were already in hiding[emoji91][emoji91][emoji91]
Hiyo Photoshop kiboko,kwa hiyo huyo asikari alipigwa kichwa kikadondoka yeye akabaki amesimama[emoji848] ...,pro Russia nawashauri kwamba; sawa propaganda zipo vitani lakini tumien akili basi,unapoleta picha hambayo Haina uhalisia kama hiyo wenye akili tunakushangaa, ushabiki usiwafanye muwa mazombi..,huu ni upumbavu kiukweli
Mpaka hapa nazidi kukubali kuwa hizi HIMARS zimekuwa shida sana kama mmeanza kutapatapa hivi[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
All battles are first made in mind.

Vita ingeanza jana China angelose big time.
US wamempelekea Vita nyumbani. China hakuwa na intel ya ujio wa Pelos jana hapo tayari alishashindwa.

Au hukuona, eti jana ndo anapeleka vifaa vita.

Ilitakiwa wiki nzima wamefunga Taiwan strait, live fire exercise, angepitisha ICBM juu ya Taiwan alarm zikalia kama North Korea alivyowafanyia Japan.

Jeshi lingeingia Taiwan 24 hrs. Wangeshika tower Polosi akija wangemuongoza na bomber zao kwenda Beijing anatua halafu wangemuongoza tena kuingia Taiwan.
Yeah,China wameonyesha weakness sana.Kumbe maneno yote prior to Pelosi's visit could not be followed through by action!!!Naamini Marekani wamewadharau sana.Ni kweli Marekani walichokuwa wanataka ni vita,na wao China hawakutaka vita,basi wange-maintain a NO FLY ZONE ili Pelosi asiweze kuingia Taiwan!Dah,shame to China.

Wanachoweza kufanya sasa ni kufanya kitu drastic Taiwan ili kulinda heshima yao.They could start with surgical strikes ambazo zita idhoofisha Taiwan millitarily ready for takeover.Wange wawekea pia Taiwan debilitating sanctions again so as to weaken them ready for assimilation into the Chinese mainland.The so called "One China Policy" lazima ifike mwisho,haiwezi kuimbwa milele.
 
Soma hii hapa ww mkunya 👇👇

🇨🇳🇺🇦🇷🇺 - Interesting article by Hongkong newspaper SCMP saying Ukrainian president Zelensky is seeking to talk with Chinese president Xi in order to get his help in ending the war in Ukraine

Mbona unakua mpumbavu, Mchina kwa sasa hawezi kusaidia kusitisha mapigano maana ndiye amenufaika pakubwa, amemfyonza Urusi hadi damu, anguko la Urusi ni faraja kwa Mchina maana kwa sasa hivi Urusi hana pakukimbilia, inambidi amtegemee Mchina kwenye kila kitu.
 
View attachment 2313523
[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]2 HIMARS THAT WERE DEMILITARISED[emoji95][emoji95][emoji95]
It seems that these are the ones who were struck near Kharkov. Judging by the photo, they were tracked down and struck when they were already in hiding[emoji91][emoji91][emoji91]
Mbna hii picha tangu enzi na enzi mnatuma
 
Mbona unakua mpumbavu, Mchina kwa sasa hawezi kusaidia kusitisha mapigano maana ndiye amenufaika pakubwa, amemfyonza Urusi hadi damu, anguko la Urusi ni faraja kwa Mchina maana kwa sasa hivi Urusi hana pakukimbilia, inambidi amtegemee Mchina kwenye kila kitu.
Mbona asbuhi akili hua inafanya kazi vizuri Sana! Kwa nini sasa unasema Russia inabidi amtegemee China kwa kila kitu? How?
 
Umenikumbusha mshkaji mmoja. Yeye alienda kwa mujibu. Kipindi kile cha sintofahamu ya Kibiti. Alitamani jeshi lifanye recruiting ili aende. Nikamuuliza kwanini akasema anafeel yuko responsible. Haikuwa sababu ya ajira.

Nafkiri hii ya Kagame wengi wata volunteer including myself.
Ijapokuwa si mtu wa siasa Ila nchi yangu naipenda na nipo tayari kuipigania. Pia, nafurahi kuona kama akina ninyi Bw. James Comey mpo tayari kuipigania nchi yako. Operation ya Russia nchini Ukraine imenifungua mengi sana.
 
Marekani yaripoti kuwa nchi za Ulaya ikiwemo Ufaransa zinaisoma namba kwa kulazimika kuoga maji ya baridi na kuishi gizani baada ya Urusi kuwanyima gesi

Tutaelewana tu, ngoja majira ya winter yaingie ndio wazungu watajua kuwa hawajui, na wataita maji m'ma!

SmartSelect_20220804-101227_Chrome.jpg
SmartSelect_20220804-101328_Chrome.jpg
 
Ijapokuwa si mtu wa siasa Ila nchi yangu naipenda na nipo tayari kuipigania. Pia, nafurahi kuona kama akina ninyi Bw. James Comey mpo tayari kuipigania nchi yako. Operation ya Russia nchini Ukraine imenifungua mengi sana.
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataacha kujitolewa ikiwa nchi yake inashumbuliwa,.
Russia anachofanya ni Ukoloni kabisa.
Ana eneo kubwa Sana lakini bado tamaa inamponza anataka kuchukua Ukraine.
Awe makini asije anguka.
 
Mbona unakua mpumbavu, Mchina kwa sasa hawezi kusaidia kusitisha mapigano maana ndiye amenufaika pakubwa, amemfyonza Urusi hadi damu, anguko la Urusi ni faraja kwa Mchina maana kwa sasa hivi Urusi hana pakukimbilia, inambidi amtegemee Mchina kwenye kila kitu.
Kwa hiyo Wewe ndio unajua nini anachotakiwa kufanya?
 
Mbna hii picha tangu enzi na enzi mnatuma
Usikute ndivyo HIMARS zinakuwaga zikibutuliwa kwa missiles za Russia, because wenyewe wanasema ni mashine zenye akili si ya kitoto zinazoweza kutambua hadi njama za adui way before hata hajazipanga.

Unaambiwa zenyewe hazikubali katu kuharibika kiboya bila kwenda na askari japo mmoja kando yake; na lazima asimame ai-salute, kama picha inavyoonesha.

Mazingira mengine ya lounge-like yanayofanana kwenye kila picha ni beyond my scope of comprehension (at least for now). Watakuja wataalam wa hayo madude akina T14 Armata wayadadavue.

Au, labda tuseme tu kwamba, kwa sababu ya sifa zake hiyo mashine ya Mwamerika, hairuhusiwi kabisa (according to some classified international laws) picha zake zisambazwe endapo ikiharibiwa vitani.

^This almost clearly explains why we always see the very same photo being circulated on social media representing any of the same type that is allegedly liquidated,^ said one of our top military experts who agreed to comment on condition of anonymity.

Hii katika medani za kivita inaitwa TACTICAL INTERDICTION. It simply means kuzuia kitu fulani kisheria na kimkakati watu wasitambue kwamba kipo au hakipo ili kiendelee kuogopwa unwittingly.

#Winta Bado Tu?
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataacha kujitolewa ikiwa nchi yake inashumbuliwa,.
Russia anachofanya ni Ukoloni kabisa.
Ana eneo kubwa Sana lakini bado tamaa inamponza anataka kuchukua Ukraine.
Awe makini asije anguka.
Mimi Russia ikianguka, nipewe japo kishikio kimoja tu cha Isander ili PK akilisanusha huku iwe rahisi sana asubuhi na mapema tunajichukulia pointi zetu kama nchi.
 
Hahaa anafaa kua rafiki yangu huyu, nahisi ana attitude kama zangu 😂🤗
Hahaha!

Huyo jamaa ana nature ya utata sana.

Katika yote nilichojifunza ni kuishi kati kwa kati. Watu wa mashariki ya kati wana msemo wao wanasema; "kama kuzungumza ni dhahabu basi kunyamaza ni fedha (madini aina ya fedha). Mabudha wanasema; "kuishi kwa amani haiamaanishi kuishi mahala tulivu, kuishi kwa amani ni kuwa na amani ya moyo kwani hata mazingira ya nje yakiwa na vurugu uwandani wako ni kuwa na uwezo wa kuyatuliza."

Licha ya kujifunza sanaa ya mapambano kama ulinzi wa kujihami, wakati mwengine naona ni vizuri kujua athari hasi ya kitu kabla ya chanya. Itakufanya kwa kila unachokifanya uwe makini sana.

Yakitokea mazingira ya sintofahamu huwa siumizi natoa somo (kwa muktadha wa sanaa ya mapambano). Rumi anasema;" Yesterday I was clever, so I wanted to change the world. Today i am wise, so I am changing myself".
 
Back
Top Bottom