Sidhani kama BRICS wangekua na millitary ties kama nato Pelosi angetua pale Taiwan
Ukishapokea misaada ya western countries kinachofuata ni kutimiza matakwa yaoView attachment 2313187View attachment 2313188
Hapo naona itahitajika TACTICAL RESEARCH ya kutosha. But ntaomba msaada wa T14 Armata & Qibsyl na wengineo wote humu, EXCEPT MK254 🙂 ambaye anangoja deportation kwenda DPRN kwa Mr Kiduku akajifunze nidhamu, utu, na uzalendo.
After that aende Ukraine ku-feed missiles kwenye Iskanda dee big Russian machine zinazobugia HIMARS kama maji.
Good general wins wars without firing a single arrowHii inaitwa TACTICAL MANOEUVRING (MANEUVERING). Kutompa adui anachohitaji bali kumpa anachostahili. Ikumbukwe kwamba mbinu na audacity ya kukwepa vita kimkakati, kwa yenyewe tu kimedani hutafsiriwa kuwa ni kushinda vita.
Sawa mkuu MANDONGA 😂😂😂Ndugu comrade, mimi siyo mjeda!
Hiyo kazi siifanyi. Ila nikihitajika kulitumikia Taifa langu nipo tayari.
Ni sehemu ya maisha, ninao hao marafiki(wajeda, Tiss, police n.k)
Napenda mazoezi: Najifunza boxing, karate (shaolinji kempo), muai thai. Hivyo, kwa namna tofauti tunaonana onana na kada tofauti.
Napenda kusoma vitabu vya aina mbalimbali.
Nimetokea kwenye familia ya kibosi, naishi kibosi.
Mchina kafeli bigtime sema labda ni mbinu ya kivita kumrusha kipindi USA. Nadhani US ana lengo la kuipanikisha China ili iwe under operation waivunje nguvu kama wanavyofanya kule Ukraine.Kmmake Mchina!! Dah,🤣🤣🤣🏃🏃
Wachina ******* wana tabia za kinafiki sana nimefanya nao sana kazi, wana michongo ya uchawa sana😂😂😂!!!Hawa wazungu wa west ni washenzi sana na ni waoga sana wa kufa. Laiti Kama China ingelijibu kwa vitendo US asingelifanya chochote zaidi ya vikwazo. White house inaulizwa kuhusiana na safari ya bibi inasema haihusiki na kipindi inajibu ndege ya Pelonsi inakaribia anga ya Taiwan.
Kijeshi China si mshirika wa kumtegemea.
Xi JinMandonga ametufelisha sana BRICS, ilibidi akaze amlipue huyo bibi halafu tuone US atafanya nini! Angelianzisha tungemualika kiduku ili akinukishe wakati wao wanashambulia China. Urusi nae angewasha tambo lake "Satan"Duh Xi Jinping ameanza maneno ya motivational speakers Sasa.
War mongerXi JinMandonga ametufelisha sana BRICS, ilibidi akaze amlipue huyo bibi halafu tuone US atafanya nini! Angelianzisha tungemualika kiduku ili akinukishe wakati wao wanashambulia China. Urusi nae angewasha tambo lake "Satan"
Soma hii hapa ww mkunya 👇👇Mziki wa HIMARS bado upo pale pale...ndio muarubaini, mpaka sasa Mrusi ameingia hasara ya mapigo, na akivumbua mbinu za HIMARS analetewa kingine, madude yapo ya aina nyingi na yamefichwa pale Area 51, Marekani.
Kwa hilo naweza kubali maana putin akili nyingi huwa hafanyi kile ambacho mnatarajia atafanya😂😂😂 ila anakuwa anamseti boya wake.wanasema aliyemshauri asifanye chochote ni putin ila china walikuwa wameshakubali liwalo na liwe lakini putin akamstopisha ili apate sababu kamili ya kuingia mazima Taiwan ..uyu bibi siku akitoa mguu taiwan basi china anatia maguu apo na kumweka Rais atakayekuwa mtiifu kwa beijing
Lazma ataleta mambo ya kujifanya anapigania demokrasia ya Taiwan kuwa ni sovereign state kwahio anataka iwe liberated 😂😂😂 huwaga Marekani hana sababu ingine.Stage ya kwanza na ya lazima ni POWER DEMONSTRATION . China amemaliza hiyo stage na kaifanya muda mrefu na wiki hii hasa siku mbilitatu hizi. Kupigana vita unahitaji sababu yenye mashiko na juhudi kubwa ya kukwepa vita kwani adui atataka kukugeuza sababu ya vita. Marekani wivu umemjaa Pamoja na manguvu yake always US anakutengenezea mazingira asionekane yeye mgomvi mbele ya wamarekani na jumuoya ya kimataifa. Anaficha ubepari na ubeberu wake
Wamarekani hawo wamesema?.... hahahhhhh.Wataalamu wa maswala ya silaha wa Marekani wasema Marekani ipo 'wa mnyama' (naked) kwa makombora ya nyuklia ya North Korea
View attachment 2313344