Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna neno wenye fani zao wanaiita fana.

Kidonge kikidumbukizwa ndani ya maji kina mung'unyika na kupotelea ndani ya maji. Mfano wa namna hii unaitwa fana.

Kuna watu wamshamung'unyika kwa Marekani na west kwa ujumla. Brother Malcolm X anasema watu wa namna hii nenda nao taratibu.
Siku hizi huwa nakwepa mjadala nao, no matter nini utawaeleza wana ya kwao daima.

Wako radhi kuita W ni doube V as long as inafit imagination yao.
 
Ninachokiona kwasasa kuhusiana na operation yetu.

Kadri msimu wa baridi unavyokaribia mataifa ya Western Europe yanazidi kupunguza kiherehere cha kuisaidia Ukraine na kuiwekea vikwazo Urusi, badala yake wameanza kulegeza kikwazo kimoja baada ya kingine nakujifanya kama wako busy kushughulikia matatizo ya ndani kuliko hapo awali ambapo jambo la Ukraine walikuwa wanalichukulia kama jambo la EU.

Ndani ya serikali ya Ukraine na wayukraine wenyewe ndo hawana hamu kabisa na operation hiyo, wanatamani iishe hata kesho, shida ipo kwa kibaraka wa America na EU Zele the comedian, ndo maana siku za hivi karibuni ametumbua maofisa wa ngazi za juu wa serikali akiamini wapo kinyume nae na wengine wanafanya kazi na Urusi. Ipo siku wenye taifa lao watamchoka na watamla kichwa hapo kyiv.

Kuhusu HIMARS tangu ziende Ukraine hakuna zilichosaidia cha maana, Russia kila siku anazidi kusonga mbele na kuchukua miji bila upinzani wowote, Zelenskiy mwenyewe wakati analihutubia taifa lake jana, aliweka wazi kabisa namna Russia anavyoipelekea moto nchi yake na akasema kabisa "Russia ameigeuza Ukraine kuwa Moto wa jehanamu kwa kuishambulia maelfu ya mabomu kwa masaa24 bila kupumzika na kuteketeza mamia ya wapiganaji kwa siku pamoja na vifaa vita"
Pia jana hiyo hiyo amemlilia Rais wa China aongee na Urusi isitishe operation yake maana mambo nchini mwake ni magumu na haoni dalili za kushindana na Rusia kwa kipindi kirefu. Ikumbukwe mwezi 6 Zelensky aliwalilia viongozi wa G7 akiwaomba wafanye wawezalo Vita (kwa mjibu wa zele) iishe kabla msimu wa baridi haujaingia.

Kwa mtu alie sikiliza vizuri hotuba ya Zelenskiy basi ataelewa kuwa HIMARS hazina msaada wowote na wala sikitu mbele ya nguvu ya Russia. HIMARS zinapewa promo kwa njia ya propaganda ili kuficha aibu ya silaha za USA alizopeleka/anazo peleka Ukraine, kelele hizi hizi za HIMARS zilipigwa wakati wa Javelins, Ghost drones, Switchblades drones ambazo zote ziligeuzwa na silaha za Urusi kuwa vyuma chakavu.

Na cha mwisho nilicho gundua nikuwa, Russia hana muda wa kujibu wala kuongelea propaganda anachojua nikutembeza kipigo na kuacha anae mtembezea kipigo ndo aje atoe ushuhuda baada ya muda wa ushuhuda kifika kama hizo silaha anazopewa zinamsaidia au si kitu. Ndo maana tangu propaganda za HIMARS zianze yeye alikaa kimya as if nothing is happening. Mwisho wa siku Jana Zelenskiy akaja kutoa ushuhuda wa kipigo anachopelekewa na Urusi licha ya makelele na propaganda za HIMARS.

In tautology we say, if you take a union of Truth (T) and falase (F) = (TvF). You can change falase to Truth but not Truth to falase. Thus, when Zelenskiy and his allies try to change the truth to falase through propaganda they fail when it's time reach. Refer yesterday zelensky's speach and compare with what is going on their media about HIMARS, then you will understand the concept of logical and tautology statements.

"IT IS NOT OVER UNTIL IS END, SPECIAL MILITARY OPERATION IN PROGRESS....[emoji635][emoji635]
Hadith yako inatufundisha nini?
 
Bro najiuliza hapa tushirikiane kumuelimisha huyu au naye atasema anachangiwa na mtu yule yule kwa Identity tofauti... 😂

98's hiyo juzi kabisa bro, tungeichimba kuanzia enzi na enzi.

Any way endeleeni na mjadala wenu wacha niwe msomaji tu.
Bora kua msomaji mdogo wangu hapo utaeleza leo atajitafutia excuse ya kutoelewa kwasababu maelezo yatakuwa nje ya anachopenda kusikia...

So Hizo nguvu na huo mda bora ukakae na mkeo umpe maneno matam udumishe upendo.
 
Mkuu sina kazi kutetea wala Marekani wala chochote. Naona katika mambo ya NATO inaoneka ni Urusi inayoleta wanachama wapya kuliko nchi nyingine. Sijaona taarifa kwamba Uswidi au Finland walialikwa au kushawishiwa kuingia NATO isipokuwa kuona mashambulio na matishio ya Urusi dhidi ya majirani.
Au wewe unaona zina sababu gani kwa azimio lao?
Naona si sahihi kutazama dunia kwa Macho ya propaganda ya wakubwa kama Marekani, Urusi au China pekee. Kwa nini tusisikie hao wadogo wendete wanasemaje.
Umekwepa hoja kindezi sana 😁😁😁😁
 
Ninachokiona kwasasa kuhusiana na operation yetu.

Kadri msimu wa baridi unavyokaribia mataifa ya Western Europe yanazidi kupunguza kiherehere cha kuisaidia Ukraine na kuiwekea vikwazo Urusi, badala yake wameanza kulegeza kikwazo kimoja baada ya kingine nakujifanya kama wako busy kushughulikia matatizo ya ndani kuliko hapo awali ambapo jambo la Ukraine walikuwa wanalichukulia kama jambo la EU.

Ndani ya serikali ya Ukraine na wayukraine wenyewe ndo hawana hamu kabisa na operation hiyo, wanatamani iishe hata kesho, shida ipo kwa kibaraka wa America na EU Zele the comedian, ndo maana siku za hivi karibuni ametumbua maofisa wa ngazi za juu wa serikali akiamini wapo kinyume nae na wengine wanafanya kazi na Urusi. Ipo siku wenye taifa lao watamchoka na watamla kichwa hapo kyiv.

Kuhusu HIMARS tangu ziende Ukraine hakuna zilichosaidia cha maana, Russia kila siku anazidi kusonga mbele na kuchukua miji bila upinzani wowote, Zelenskiy mwenyewe wakati analihutubia taifa lake jana, aliweka wazi kabisa namna Russia anavyoipelekea moto nchi yake na akasema kabisa "Russia ameigeuza Ukraine kuwa Moto wa jehanamu kwa kuishambulia maelfu ya mabomu kwa masaa24 bila kupumzika na kuteketeza mamia ya wapiganaji kwa siku pamoja na vifaa vita"
Pia jana hiyo hiyo amemlilia Rais wa China aongee na Urusi isitishe operation yake maana mambo nchini mwake ni magumu na haoni dalili za kushindana na Rusia kwa kipindi kirefu. Ikumbukwe mwezi 6 Zelensky aliwalilia viongozi wa G7 akiwaomba wafanye wawezalo Vita (kwa mjibu wa zele) iishe kabla msimu wa baridi haujaingia.

Kwa mtu alie sikiliza vizuri hotuba ya Zelenskiy basi ataelewa kuwa HIMARS hazina msaada wowote na wala sikitu mbele ya nguvu ya Russia. HIMARS zinapewa promo kwa njia ya propaganda ili kuficha aibu ya silaha za USA alizopeleka/anazo peleka Ukraine, kelele hizi hizi za HIMARS zilipigwa wakati wa Javelins, Ghost drones, Switchblades drones ambazo zote ziligeuzwa na silaha za Urusi kuwa vyuma chakavu.

Na cha mwisho nilicho gundua nikuwa, Russia hana muda wa kujibu wala kuongelea propaganda anachojua nikutembeza kipigo na kuacha anae mtembezea kipigo ndo aje atoe ushuhuda baada ya muda wa ushuhuda kifika kama hizo silaha anazopewa zinamsaidia au si kitu. Ndo maana tangu propaganda za HIMARS zianze yeye alikaa kimya as if nothing is happening. Mwisho wa siku Jana Zelenskiy akaja kutoa ushuhuda wa kipigo anachopelekewa na Urusi licha ya makelele na propaganda za HIMARS.

In tautology we say, if you take a union of Truth (T) and falase (F) = (TvF). You can change falase to Truth but not Truth to falase. Thus, when Zelenskiy and his allies try to change the truth to falase through propaganda they fail when it's time reach. Refer yesterday zelensky's speach and compare with what is going on their media about HIMARS, then you will understand the concept of logical and tautology statements.

"IT IS NOT OVER UNTIL IS END, SPECIAL MILITARY OPERATION IN PROGRESS....[emoji635][emoji635]

Kunywa wanzuki hapo kwa udhamini murua kabisa toka kwangu! Kazi umeimaliza.
 
Bro najiuliza hapa tushirikiane kumuelimisha huyu au naye atasema anachangiwa na mtu yule yule kwa Identity tofauti... 😂

98's hiyo juzi kabisa bro, tungeichimba kuanzia enzi na enzi.

Any way endeleeni na mjadala wenu wacha niwe msomaji tu.
Nikupatie nafasi ya upendeleo.

Hili suala nalikabidhisha mikononi mwenu Bw. Qibsyl na Galip Vrl

Mna vitu vingi kuliko mimi. Hakuna shaka mtagusa kila kona ya maarifa.
 
Kiufupi mpaka sasa mmarekani ameshajua wakati wa kuanguka kiuchumi, kijeshi na kiushawishi umekaribia, sasa alichotaka kukifanya ni kuhakikisha dunia nzima inaanguka kiuchumi na Siyo peke yake, lakini wenzake wamemkwepa wanasuburia kipindi cha baridi wakati ulaya unahaha kujiokoa na baridi, huku viwanda vikifungwa, na watu wakikosa Ajira mfumuko wa bei ukiwa juu kiasi kwamba hawawezi kununua vitu vya bei kubwa kutoka marekani kutokana na wananchi kuanguka kiuchumi hapo, anguko linahamia marekani anazalisha wanunuzi hawapo, kukosa wateja wa bidhaa za marekani itasababisha makampuni kufungwa na kupunguza wafanyakazi, hapo ndipo kila mwananchi ataanza kujibana Kwa kuwa hawana pesa na ughali wa maisha matokeo yake ni kuanguka kiuchumi kibaya zaidi, kuna kitu ambacho ambacho sijui watu mmekigundua, mataifa ya ulaya yanapeleka dolla na uero kwenye benki ya urusi halafu benki inabadilisha hiyo pesa na rubo, Ile pesa iliyobadilishwa inabaki bank, toka mzozo uanze mrusi kakusanya kiasi gani cha dolla na euro?????
Vipi kama wakiamua China na urusi kuziachia hizo pesa maana yake dolla na euro inaenda kufa thamani maana kutakuwa na pesa nyingi kuliko mahitaji, hii itapelekea matajiri waliohifadhi pesa Kwa Dola wabadilishe kwenye kwenye pesa kama rubo na yuan, ushajiuliza makundi kimafia, makundi ya kuuza madawa ya kulevya yanamiliki Dola ngapi??, Kibaya zaidi makundi haya yanamiliki pesa ndefu lakini hawaweki benki kukwepa kukamatwa, Leo wakiambiwa dolla inaenda kuanguka kuna kiasi gani cha Dola kitaingia kwenye mzunguko kukwepa dolla isije ikashuka thamini????? Hii itasababisha dolla iwe toilet paper [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Angalia marekani alivyokuwa anamsindikiza pelosi Taiwan ni kama marekani walijiandaa Kwa Vita na hata majeshi mengi kuelekea NATO dhumuni hasa ilikuwa ni Vita na uchina na Siyo urusi
View attachment 2314080

Putin kawategea mtego na wameingia kichwa kichwa[emoji23][emoji23]. Marekani inflation kila siku inapaa
 
Nikupatie nafasi ya upendeleo.

Hili suala nalikabidhisha mikononi mwenu Bw. Qibsyl na Galip Vrl

Mna vitu vingi kuliko mimi. Hakuna shaka mtagusa kila kona ya maarifa.
Hapana bro, sio kwamba tunajua vitu vingi. Naamini kila mtu anajua vingi kulingana na idadi yake aliyo nayo.

Issue ya Russia na NATO wengi wanaangalia mwisho bila kuutizama mwanzo ilipoanzia.

Sawa na wewe hapo nikuchokoze gizani ukanipige hadharani. Kwa wasio na hekima wa kuuliza nini chanzo watakuona wewe ni mgonvi na mie unanionea.

Then, ikija issue ya kuzungumza ukweli mapokezi itakuwa inategemea ile trust waliyo nayo kila mmoja juu yetu. Wanao kuamini wataona una haki ya kunipiga. Na wasio kuamini wataona unanionea hata kama ukweli ni ule ule kua mie ndie mwanzilishi wa Ugonvi.

Msemo wa bro Galip Vrl hapo juu, haijalishi nini utawaambia wao tayari wana lao ambapo kila maelezo tofauti na kile walicho nacho watayatafutia excuse.
 
Siku hizi huwa nakwepa mjadala nao, no matter nini utawaeleza wana ya kwao daima.

Wako radhi kuita W ni doube V as long as inafit imagination yao.
Kuna kipindi nilikuwa nasikiliza lecture flani ajabu kadri somo linavyokwenda nikawa sielewi kabisa. Niliacha kuendelea na somo nikajipa muda wa kutafakari.

Nikagundua somo nililokuwa napokea ni kubwa kuliko uwezo wangu wa ufahamu. Ili nimwelewe anasema nini ilinibidi nianze kujifunza msingi wa chini kabisa na yale makando kando yangu yote niliyaacha na kuamua kuwa mwanafunzi.

Huwezijua, labda unashusha umeme wa 250,000 volts wakati mpokeaji ni 500volts.
 
Hapana bro, sio kwamba tunajua vitu vingi. Naamini kila mtu anajua vingi kulingana na idadi yake aliyo nayo.

Issue ya Russia na NATO wengi wanaangalia mwisho bila kuutizama mwanzo ilipoanzia.

Sawa na wewe hapo nikuchokoze gizani ukanipige hadharani. Kwa wasio na hekima wa kuuliza nini chanzo watakuona wewe ni mgonvi na mie unanionea.

Then, ikija issue ya kuzungumza ukweli mapokezi itakuwa inategemea ile trust waliyo nayo kila mmoja juu yetu. Wanao kuamini wataona una haki ya kunipiga. Na wasio kuamini wataona unanionea hata kama ukweli ni ule ule kua mie ndie mwanzilishi wa Ugonvi.

Msemo wa bro Galip Vrl hapo juu, haijalishi nini utawaambia wao tayari wana lao ambapo kila maelezo tofauti na kile walicho nacho watayatafutia excuse.
Umesema kweli.

Kwa namna hiyo nafikiri niiache nature ichukue mkondo wake.
 
Kuna kipindi nilikuwa nasikiliza lecture flani ajabu kadri somo linavyokwenda nikawa sielewi kabisa. Niliacha kuendelea na somo nikajipa muda wa kutafakari.

Nikagundua somo nililokuwa napokea ni kubwa kuliko uwezo wangu wa ufahamu. Ili nimwelewe anasema nini ilinibidi nianze kujifunza msingi wa chini kabisa na yale makando kando yangu yote niliyaacha na kuamua kuwa mwanafunzi.

Huwezijua, labda unashusha umeme wa 250,000 volts wakati mpokeaji ni 500volts.
😂😂😂

Mjomba ujue yale Magazeti ilini bidi nistaafu tu. So now nimekua mtu wa kupita hapa nasoma replies za watu nacheka na ku-like kiroho safi maisha yanaendelea.

Nowadays brain zetu zina shida pahala. Till when tutakapojua ubongo unafanyaje kazi labda tunaweza grasp something kwenye kila tunachosikia na kuambiwa.
 
Hakika!

Nilisoma falsafa kiasi, Rumi anasema; " Why do you stay in prison when the door is wide open?

Sehemu nyengine akasema:
" Be like a tree and let the dead leaves drop"
 
Kiufupi mpaka sasa mmarekani ameshajua wakati wa kuanguka kiuchumi, kijeshi na kiushawishi umekaribia, sasa alichotaka kukifanya ni kuhakikisha dunia nzima inaanguka kiuchumi na Siyo peke yake, lakini wenzake wamemkwepa wanasuburia kipindi cha baridi wakati ulaya unahaha kujiokoa na baridi, huku viwanda vikifungwa, na watu wakikosa Ajira mfumuko wa bei ukiwa juu kiasi kwamba hawawezi kununua vitu vya bei kubwa kutoka marekani kutokana na wananchi kuanguka kiuchumi hapo, anguko linahamia marekani anazalisha wanunuzi hawapo, kukosa wateja wa bidhaa za marekani itasababisha makampuni kufungwa na kupunguza wafanyakazi, hapo ndipo kila mwananchi ataanza kujibana Kwa kuwa hawana pesa na ughali wa maisha matokeo yake ni kuanguka kiuchumi kibaya zaidi, kuna kitu ambacho ambacho sijui watu mmekigundua, mataifa ya ulaya yanapeleka dolla na uero kwenye benki ya urusi halafu benki inabadilisha hiyo pesa na rubo, Ile pesa iliyobadilishwa inabaki bank, toka mzozo uanze mrusi kakusanya kiasi gani cha dolla na euro?????
Vipi kama wakiamua China na urusi kuziachia hizo pesa maana yake dolla na euro inaenda kufa thamani maana kutakuwa na pesa nyingi kuliko mahitaji, hii itapelekea matajiri waliohifadhi pesa Kwa Dola wabadilishe kwenye kwenye pesa kama rubo na yuan, ushajiuliza makundi kimafia, makundi ya kuuza madawa ya kulevya yanamiliki Dola ngapi??, Kibaya zaidi makundi haya yanamiliki pesa ndefu lakini hawaweki benki kukwepa kukamatwa, Leo wakiambiwa dolla inaenda kuanguka kuna kiasi gani cha Dola kitaingia kwenye mzunguko kukwepa dolla isije ikashuka thamini????? Hii itasababisha dolla iwe toilet paper [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Angalia marekani alivyokuwa anamsindikiza pelosi Taiwan ni kama marekani walijiandaa Kwa Vita na hata majeshi mengi kuelekea NATO dhumuni hasa ilikuwa ni Vita na uchina na Siyo urusi
View attachment 2314080

NAKAZIA kidogo,

US mpaka mwaka Jana Dec 2021 alikua ameprint thamani ya dollar $ trillion 20 yaani ndani ya mwaka 1 Kutoka jan-Dec21 ambayo ni sawa na 40% sio mchezo.

Kama tunavyojua dollar ni sarafu inayotumika sana kwenye manunuzi ya bidhaa duniani. Data zinaonesha mpaka sasa kuna zaidi ya US$40 trillion zipo kwenye mzunguko duniani. Hapa inajumuisha physical money, cryptocurrencies, savings nknk.

Tukija ndani ya Taifa lao US data zinaonyesha kuna US$ trillion 5.8 tu, inamaana kiasi kilichobaki kinaingia hapo juu. Sasa acha niende direct kwenye point.

Ukitafuta tofauti hapo utapata kama US$ 34.2 trillion hiki ni kiasi ambacho kipo nje ya taifa la Marekani ina maana hawana access na hizo pesa zipo mikononi kwa mataifa mengine au raia wa nchi zingine.

Watu wengi wanabadili pesa za nchi zao kuwa dollar na wengi wanazihifadhi majumbani mfano mimi hapa toka mwakajana naenda mwaka nina dollar 3,500 zipo kwenye kabati sijawai hata zitumia, sasa jiulize watu kama mimi tuko wangapi hapa Tanzania?? Africa?? Asia??Europe?? nknk ambao tunafanya huu mchezo??

Just imagine Mataifa yote yatoe dollar unafikir nini kitatokea?? Dollar ikianza kuyumba kama ilivyotokea kwa Euro hapa ndo mtaielewa point ya MR MAJANGA kwa jinsi US anavyokwenda na Pesa anazozidi kuprint Uchumi wake upo shimoni bado kufukiwa tu.

Unafikir ni kwanini Federal reserve wame hike interest rate kwa 75 basis point??.. naombeni point hapa Qibsyl @Galip nknk

US yuko kwenye level mbaya sana ni suala la Muda tu na uzuri ameshajua tayari hali yake.
 
Ninachokiona kwasasa kuhusiana na operation yetu.

Kadri msimu wa baridi unavyokaribia mataifa ya Western Europe yanazidi kupunguza kiherehere cha kuisaidia Ukraine na kuiwekea vikwazo Urusi, badala yake wameanza kulegeza kikwazo kimoja baada ya kingine nakujifanya kama wako busy kushughulikia matatizo ya ndani kuliko hapo awali ambapo jambo la Ukraine walikuwa wanalichukulia kama jambo la EU.

Ndani ya serikali ya Ukraine na wayukraine wenyewe ndo hawana hamu kabisa na operation hiyo, wanatamani iishe hata kesho, shida ipo kwa kibaraka wa America na EU Zele the comedian, ndo maana siku za hivi karibuni ametumbua maofisa wa ngazi za juu wa serikali akiamini wapo kinyume nae na wengine wanafanya kazi na Urusi. Ipo siku wenye taifa lao watamchoka na watamla kichwa hapo kyiv.

Kuhusu HIMARS tangu ziende Ukraine hakuna zilichosaidia cha maana, Russia kila siku anazidi kusonga mbele na kuchukua miji bila upinzani wowote, Zelenskiy mwenyewe wakati analihutubia taifa lake jana, aliweka wazi kabisa namna Russia anavyoipelekea moto nchi yake na akasema kabisa "Russia ameigeuza Ukraine kuwa Moto wa jehanamu kwa kuishambulia maelfu ya mabomu kwa masaa24 bila kupumzika na kuteketeza mamia ya wapiganaji kwa siku pamoja na vifaa vita"
Pia jana hiyo hiyo amemlilia Rais wa China aongee na Urusi isitishe operation yake maana mambo nchini mwake ni magumu na haoni dalili za kushindana na Rusia kwa kipindi kirefu. Ikumbukwe mwezi 6 Zelensky aliwalilia viongozi wa G7 akiwaomba wafanye wawezalo Vita (kwa mjibu wa zele) iishe kabla msimu wa baridi haujaingia.

Kwa mtu alie sikiliza vizuri hotuba ya Zelenskiy basi ataelewa kuwa HIMARS hazina msaada wowote na wala sikitu mbele ya nguvu ya Russia. HIMARS zinapewa promo kwa njia ya propaganda ili kuficha aibu ya silaha za USA alizopeleka/anazo peleka Ukraine, kelele hizi hizi za HIMARS zilipigwa wakati wa Javelins, Ghost drones, Switchblades drones ambazo zote ziligeuzwa na silaha za Urusi kuwa vyuma chakavu.

Na cha mwisho nilicho gundua nikuwa, Russia hana muda wa kujibu wala kuongelea propaganda anachojua nikutembeza kipigo na kuacha anae mtembezea kipigo ndo aje atoe ushuhuda baada ya muda wa ushuhuda kifika kama hizo silaha anazopewa zinamsaidia au si kitu. Ndo maana tangu propaganda za HIMARS zianze yeye alikaa kimya as if nothing is happening. Mwisho wa siku Jana Zelenskiy akaja kutoa ushuhuda wa kipigo anachopelekewa na Urusi licha ya makelele na propaganda za HIMARS.

In tautology we say, if you take a union of Truth (T) and falase (F) = (TvF). You can change falase to Truth but not Truth to falase. Thus, when Zelenskiy and his allies try to change the truth to falase through propaganda they fail when it's time reach. Refer yesterday zelensky's speach and compare with what is going on their media about HIMARS, then you will understand the concept of logical and tautology statements.

"IT IS NOT OVER UNTIL IS END, SPECIAL MILITARY OPERATION IN PROGRESS....[emoji635][emoji635]
^Kwa mtu aliyesikiliza vizuri hotuba ya Zelenskiy, basi ataelewa kuwa HIMARS hazina msaada wowote na wala si kitu mbele ya nguvu ya Russia.^

Zelenskyy (meanwhile): We're really winning this war!
 
Fikir ni kwanini Federal reserve wame hike interest rate kwa 75 basis point??.. naombeni point hapa Qibsyl @Galip nknk
Anha kuhusu hilo ni kwamba Inflation (mfumuko wa bei kwa lugha yetu hapa waswahili) measures wastani wa ongezeko wa consumer prices katika bidhaa na huduma.

Na siku zote tunajua Prices typically rise when either supply is constrained, or demand outstrips supply. Hii principle ya hitaji na upatikanaji nadhani sio ngeni kuizidishia maelezo.

Sasa higher rates inafannya borrowing kua more expensive hivyo ku-encourage saving. Na pale debt inapokua costlier, hii in turn inaweza influence consumer demand for goods and services, vile vile business investment na hiring intensions.

Hivyo kusaidia kupunguza inflation when demand is outstripping supply.

Nyongeza zaidi na nadhani hapa ndipo ilipo point ya maelezo yako uliyo tupatia, ni kwamba huku katika rising interest rates huwa typically inapelekea kua na stronger currency on the foreign exchange markets.

Ambapo inasaidia pia ku-reduce the price of imported goods. For this reason wadau wengine hapa mtatoka na majibu kuhusu dollar kuendelea kutulia pale pale wakati Euro na Pound zikiongeza speed kwenye mteremko.

With aggressive rate rises na hao Federal reserve ndio wameifanya USD currency ku-strengthened to the highest level ndani ya milongo miwili huku pound iki-hit the lowest level against dollar tangu kuibuka kwa Uviko 19.
 
[emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630]
Screenshot_20220804-190351.jpg
 
Back
Top Bottom