Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

PR ya west iko njema, wana control media hivo kwao ni rahisi pia ku'control kile wafuasi wao wanachowaza.

Kingine ni lugha, Lugha imefanya taarifa nyingi za East kuishia huko huko kwao isipokua kwa wachache wenye shauku ya kujua yanayoendelea kutoka huko.

He he he hii nayo kali... Hii taarifa ya 2020. Miaka miwili baadae wanasema wamemchapa drone [emoji23] US kama US huyo.
Inashangaza saana
 
Ngoja nikuache kwanza
Taiwan ina uhuru gani au inatofauti gani na danganyika na zenj
Nyie vijana bana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ufafanuzi wa dola (state) ni
  • eneo la dola,
  • watu wa dola na
  • mamlaka ya dola juu ya watu na eneo lake.
tangu mwaka 1949 hakuna serikali ya nje iliyokuwa na mamlaka juu ya Taiwan isipokuwa serikali yake yenyewe. Hasa serikali ya China ya kikomunisti haikuwahi kuwa na mamlaka yoyote juu ya Taiwan.
Hayo yote inatosha kutambua Taiwan kuwa dola huru, nchi huru.
Habari za uhuru wake ni ndefu kuliko uhuru wa Tanzania
 
Miaka ya sitini USA ilikua inaisumbua Cuba kwa sababu ya ukomunist.
Ilikua inaitishia kuivamia.

Urusi ikapeleka kibabe silahaza nyukilia kuilinda Cuba.

Ndege ya upelelezi ya USA aina ya U2 ikaingia maeneo ya Cuba,USSR ikaona kua inaweza kutambua zilipo silaha za nyukilia.
Wala Warusi hawakujadili sana,wakaipiga na kuua rubani wake.

Miaka ya sabini ndege nyingine ya upelelezi ya USA aina ya U2 ikaingia anga la Urusi,Urusi haikujadili sana ikaipiga ndege na rubani akatekwa.

KILE ALICHOSHINDWA CHINA KWA PElOS,URUSI ASINGEONGEA MARA MBILI

Miaka ya themanini (1984) ndege ya Korea kusini ikiwa na raia wa USA ambao inaelezwa kulilikua na watu muhimu,wataalamu ama majasusi wa Marekani ndani yake,ilipita eneo Mkoa wa Urusi wenye silaha Kali na za Siri ambalo hakuna ndege ya kigeni ingeruhusiwa kupita eneo like.
Urusi iliionya ndege hiyo isipite eneo hili lkn ikakaidi.
Iliionya zaidi na zaidi ikaleta kiburi.
viongozi wa jeshi la anga la Urusi waliamuru kwa marubani wa jeshi la Urusi waipige ndege Ile
Ndege ya jeshi la Urusi ikaruka juu na kwenda kuitungua ndege Ile.
Mwaka 2007 Putin akiwa uwanja wa michezo ya Olympic mjini Beijing.
Alikatisha starehe ya kutazama michezo na kurudi Moscow haraka,baada ya majeshi ya Georgia kuwapiga kijeshi majimbo yake mawili yaliyokua yanadai haki sawa yenye wakazi wenye asili ya Urusi.Sothern Ossetia na Abkhazia.
Putin aliamiru jeshi lake kwenda kuwasaidia majimbo hayo.
Huku Georgia akitiwa kiburi na NATO,Urusi ilitembeza kichapo na kuyapa Uhuru majimbo hayo.

USA wakiwa wamekula njama na kusababisha maandamano nchini Ukraine yaliyopelekea Rais wa Ukraine kukimbia,makomando wa Urusi aina ya Spetsnaz wakiingia kimyakimya Crimea na kuitwaa na kuirejesha Urusi.
Ikumbukwe Crimea ilikua ni sehemu ya Ukraine.
Haya yote yamefanyika huku Marekani akibweka bila kuuma.

Kabla Urusi hajaivaimia Ukraine,USA alileta dharau sana pale Putin alipokua alifanya juhudi kuisihi USA isiruhusu Ukraine kujiunga na NATO.

Urusi uvumilivu uliishinda.
USA iliionya sana Urusi isivamie Ukraine kwamba itakutana na consequences ambazo itajuta.

Urusi haikujali ikavamia Ukraine.
Marekani na ubabe wake wote Huwa kwa Urusi haifanyi kitu.

Urusi baada ya kuona Assad huenda akaondolewa na USA na wapanmbe wake Urusi ikaingiza majeshi,Assad bado yupo,kwa kifupi Urusi ndio imemuweka Assad kibabe.huku ikizifukuza USA,France na UK.

Urusi imemuweka madarakani kibabe Niko Maduro.

Mwaka 2019 kama sikosei ndegevita moja ya Urusi ilipaa juu ya meli inayosemwa ni ya kisasa sana na iliyo ora zaidi ya Marekani na inayotegemewa zaidi na NATO.
Ndege hiyo ya Urusi iliizunguka melivita hiyo ya USA mara kadhaa na kuondoka.
Kilichotokea meli yote ilizimika Kila kitu,mfano wa mtu azimavyo TV Kwa remoti control.
Meli hiyo ilikuja kukokotwa Hadi kwenye kambi ya meli za USA iliyoko ujerumani.
Mabaharia wa meli hiyo walipofika waliandika barua za kuacha kazi kwa hofu waliokua nayo .

Ushahidi wa matukio yote niliyoandika upo

Yote haya na mengineyo yanafanyika USA akiona.
Urusi ndio mbabe wa Dunia.
USA kazi kuonea vigagaa TU.
Andiko bora kabisa ndani ya wiki hii, Mkuu lee van cliff hakika umeupiga mwingi..
Usisite kuendelea kutuletea madini kama haya kadiri utakavyokuwa unapata muda, ili Pro-NATO waijue vizuri Urusi namna inavyoendeshwa.

Pro-Russia vichwa vyenu ni smart sana na ni hadhina ya Africa ya kesho.
Mungu awape maisha marefu wakuu ili mawazo na fikra zenu zije kuikomboa Africa siku moja.
 
Taarifa ya Maendeleo ya vita Leo 7/8

⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine

▫️The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

💥As a result of the Russian Aerospace Forces' strike on a temporary deployment point of units of the 72nd Mechanized Brigade of AFU at an agricultural enterprise in Artemovsk, Donetsk People's Republic, up to 130 servicemen and 8 units of vehicles and armoured vehicles have been destroyed.

💥High-precision airborne missiles have struck a temporary deployment point of howitzer battery of the 95th Separate Airborne Assault Brigade of the AFU in Dzerzhinsk, Donetsk People's Republic, and destroyed up to 70 servicemen, 3 Gvozdika self-propelled artillery mounts and 4 pieces of automotive equipment.

💥Russian Aerospace Forces strikes on a temporary deployment point of the 3rd Brigade of the National Guard have eliminated over 100 nationalists on the territory of TPP-3 and Karpovskyi Garden in Kharkov city.

▫️Due to high losses, Zelensky's regime is taking measures to make up for incomplete personnel of Ukrainian formations in the area of combat operations in Donbass.

▫️For example, a decision has been taken to send the mobilised citizens who started their training at the training centre of the 72nd Mechanised Brigade in Belaya Tserkov, Kiev Region, to the front line ahead of schedule. The wounded are also sent along with them, without waiting for them to complete their full rehabilitation course after their wounds.

💥Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery strikes continue against military facilities in Ukraine.

▫️3 command posts have b hit, including of the 66th Mechanized Brigade's Battalion near Ochertino, and of the 109th Territorial Defence Brigade's Battalion near Berestka in Donetsk People's Republic, as well as 173 areas AFU manpower and military equipment concentration.

▫️1 Buk-M1 missile launcher near Chasov Yar, Donetsk People's Republic, and 5 ammunition depots, including 1 ammunition depot equipped in one of the workshops of the Svyato-Il'inskyi Machine-Building Plant near Dachnoye, Donetsk People's Republic, have been destroyed.

▫️1 arsenal, where 45,000 tonnes of ammunition recently supplied to AFU by NATO countries has been destroyed near Voznesensk, Nikolaev Region.

💥4 platoons of Grad MLRS, 2 platoons of Msta-B guns, and 1 platoon of Giatsint-B guns at firing positions have been suppressed as part of the counterbattery warfare near Dzerzhinsk, Sukhaya Balka, Lastochkino and Krasnogorovka in Donetsk People's Republic .

💥Russian air defence means have shot down 8 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Krasnoye, Chervonyi Yar, Dibrovnoye, Petropavlovka in Kharkov Region, Staromikhailovka, Rovnoye, Malinovka in Donetsk People's Republic and Donetsk city.

▫️1 shell of multiple rocket launcher has also been intercepted near Kamenka, Kharkov Region.

📊A total of 263 aircraft, 145 helicopters, 1,701 unmanned aerial vehicles, 362 surface-to-air missiles, 4,262 tanks and other armoured combat vehicles, 789 multiple rocket launchers, 3,273 pieces of field artillery and mortars, and 4,756 special military vehicles have been destroyed since the start of the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Miaka ya sitini USA ilikua inaisumbua Cuba kwa sababu ya ukomunist.
Ilikua inaitishia kuivamia.

Urusi ikapeleka kibabe silahaza nyukilia kuilinda Cuba.

Ndege ya upelelezi ya USA aina ya U2 ikaingia maeneo ya Cuba,USSR ikaona kua inaweza kutambua zilipo silaha za nyukilia.
Wala Warusi hawakujadili sana,wakaipiga na kuua rubani wake.

Miaka ya sabini ndege nyingine ya upelelezi ya USA aina ya U2 ikaingia anga la Urusi,Urusi haikujadili sana ikaipiga ndege na rubani akatekwa.

KILE ALICHOSHINDWA CHINA KWA PElOS,URUSI ASINGEONGEA MARA MBILI

Miaka ya themanini (1984) ndege ya Korea kusini ikiwa na raia wa USA ambao inaelezwa kulilikua na watu muhimu,wataalamu ama majasusi wa Marekani ndani yake,ilipita eneo Mkoa wa Urusi wenye silaha Kali na za Siri ambalo hakuna ndege ya kigeni ingeruhusiwa kupita eneo like.
Urusi iliionya ndege hiyo isipite eneo hili lkn ikakaidi.
Iliionya zaidi na zaidi ikaleta kiburi.
viongozi wa jeshi la anga la Urusi waliamuru kwa marubani wa jeshi la Urusi waipige ndege Ile
Ndege ya jeshi la Urusi ikaruka juu na kwenda kuitungua ndege Ile.
Mwaka 2007 Putin akiwa uwanja wa michezo ya Olympic mjini Beijing.
Alikatisha starehe ya kutazama michezo na kurudi Moscow haraka,baada ya majeshi ya Georgia kuwapiga kijeshi majimbo yake mawili yaliyokua yanadai haki sawa yenye wakazi wenye asili ya Urusi.Sothern Ossetia na Abkhazia.
Putin aliamiru jeshi lake kwenda kuwasaidia majimbo hayo.
Huku Georgia akitiwa kiburi na NATO,Urusi ilitembeza kichapo na kuyapa Uhuru majimbo hayo.

USA wakiwa wamekula njama na kusababisha maandamano nchini Ukraine yaliyopelekea Rais wa Ukraine kukimbia,makomando wa Urusi aina ya Spetsnaz wakiingia kimyakimya Crimea na kuitwaa na kuirejesha Urusi.
Ikumbukwe Crimea ilikua ni sehemu ya Ukraine.
Haya yote yamefanyika huku Marekani akibweka bila kuuma.

Kabla Urusi hajaivaimia Ukraine,USA alileta dharau sana pale Putin alipokua alifanya juhudi kuisihi USA isiruhusu Ukraine kujiunga na NATO.

Urusi uvumilivu uliishinda.
USA iliionya sana Urusi isivamie Ukraine kwamba itakutana na consequences ambazo itajuta.

Urusi haikujali ikavamia Ukraine.
Marekani na ubabe wake wote Huwa kwa Urusi haifanyi kitu.

Urusi baada ya kuona Assad huenda akaondolewa na USA na wapanmbe wake Urusi ikaingiza majeshi,Assad bado yupo,kwa kifupi Urusi ndio imemuweka Assad kibabe.huku ikizifukuza USA,France na UK.

Urusi imemuweka madarakani kibabe Niko Maduro.

Mwaka 2019 kama sikosei ndegevita moja ya Urusi ilipaa juu ya meli inayosemwa ni ya kisasa sana na iliyo ora zaidi ya Marekani na inayotegemewa zaidi na NATO.
Ndege hiyo ya Urusi iliizunguka melivita hiyo ya USA mara kadhaa na kuondoka.
Kilichotokea meli yote ilizimika Kila kitu,mfano wa mtu azimavyo TV Kwa remoti control.
Meli hiyo ilikuja kukokotwa Hadi kwenye kambi ya meli za USA iliyoko ujerumani.
Mabaharia wa meli hiyo walipofika waliandika barua za kuacha kazi kwa hofu waliokua nayo .

Ushahidi wa matukio yote niliyoandika upo

Yote haya na mengineyo yanafanyika USA akiona.
Urusi ndio mbabe wa Dunia.
USA kazi kuonea vigagaa TU.
Mkuu umeleta mengi na habari za nyakati tofauti.
Naomba nibaki kwenye mfano wako wa kwanza, yaani roketi za Kirusi huko Kuba.
Je, unakumbuka kwamba Urusi iliondoa roketi hizi haraka baada ya kuambiwa vile na Marekani?

Kuhusu mfano wako wa ndege ya U2 ya Marekani najua historia tofauti kidogo: ndege za Marekani zilipitapita mara nyingi juu ya Kuba, hasa siku za Oktoba 1961, ziliwahi kupiga na picha na kukusanya habari za wanajeshi na roketi za Kirusi kwenye kisiwa cha Kuba. Habari hizi zilijulikana, picha zilionyeshwa tayari hadharani katika mikutano ya Umoja wa Mataifa.

Majadiliano baina Urusi na Marekani yalianza. Hatimaye tarehe 27 Oktoba 1961 ndege moja ya U2 ilipigwa na kuangushwa. Rais Kennedy aliamuru kutojibu kijeshi kwa sababu mawasiliano na serikali ya Urusi yaliendelea. Tayari siku iliyofuata 28 Oktoba Urusi ilikubali kuondoa roketi zake. Marekani ilikubali kuondoa roketi zake huko Uturuki.
Halafu Marekani iliahidi kutovamia Kuba kijeshi.
Mimi naona makosa na madhambi mengi katika siasa ya Marekani duniani. Ila ninaona wametekeleza ahadi hii, hawakuvamia Kuba kijeshi. Walijaribu kila kitu kwenye uwanja wa uchumi, lakini hawakuvamia.

Ningetamani sana hata Urusi ingetekeleza ahadi zake na mikataba kama ile ya 1994 ambako Urusi iliahidi kulinda na kutetea uzima na umoja wa Ukraine , baada ya Ukraine kukabidhi silaha zake za nyuklia kwa Urusi.
Kwa bahati mbaya Urusi imevunja ahadi yake.
 
Kazi inaendelea

Chronicle of strikes and mutual shelling in the NVO zone during the night of August 6-7, 2022

By @Rybar

▪️Russian formations hit the positions of the Armed Forces of Ukraine in the border village of Gremyach in the Chernihiv region and Novye Virki in the Sumy region.

▪️At night hours, the RF Armed Forces attacked Ukrainian army facilities in Kharkiv in the area of Kholodnaya Gora and KhTZ.

The Russian Aerospace Forces hit the enemy positions in Verkhniy Saltov and Prishib. At the same time, the parties continued to engage in artillery duels along the entire line of contact.

▪️ In the Slavic direction, Russian missile and artillery troops attacked the facilities of the Armed Forces of Ukraine in Kramatorsk and Konstantinovka.

▪️In the Bakhmut (Artyomovsk) direction, fire damage was inflicted on the positions of Ukrainian forces in Bakhmut, Seversk, Soledar, Zaitsevo, Yakovlevka and Kodem.

▪️In the Donetsk direction, the Russian Armed Forces worked on enemy defenses in Avdeevka, Krasnogorovka and the western environs of Peski.

Russian aircraft hit the deployment point of the Armed Forces of Ukraine in Maryinka.

The Ukrainian armed forces, in turn, again attacked Donetsk, Makiivka and Yasinovataya. At the same time, the Armed Forces of Ukraine shelled Alchevsk in the Luhansk People's Republic.

▪️On the territory of the Zaporozhye region, the RF Armed Forces fired on the positions of the Armed Forces of Ukraine in Stepnogorsk, Temirovka, Novodanilovka and Maly Shcherbak

▪️In the morning hours, Russian troops launched several missile attacks on enemy positions in Nikolaev.

At the same time, on the southern sector of the front, the parties continued to conduct artillery duels along the entire line of contact.

@russianhead
 
Miaka ya sitini USA ilikua inaisumbua Cuba kwa sababu ya ukomunist.
Ilikua inaitishia kuivamia.

Urusi ikapeleka kibabe silahaza nyukilia kuilinda Cuba.

Ndege ya upelelezi ya USA aina ya U2 ikaingia maeneo ya Cuba,USSR ikaona kua inaweza kutambua zilipo silaha za nyukilia.
Wala Warusi hawakujadili sana,wakaipiga na kuua rubani wake.

Miaka ya sabini ndege nyingine ya upelelezi ya USA aina ya U2 ikaingia anga la Urusi,Urusi haikujadili sana ikaipiga ndege na rubani akatekwa.

KILE ALICHOSHINDWA CHINA KWA PElOS,URUSI ASINGEONGEA MARA MBILI

Miaka ya themanini (1984) ndege ya Korea kusini ikiwa na raia wa USA ambao inaelezwa kulilikua na watu muhimu,wataalamu ama majasusi wa Marekani ndani yake,ilipita eneo Mkoa wa Urusi wenye silaha Kali na za Siri ambalo hakuna ndege ya kigeni ingeruhusiwa kupita eneo like.
Urusi iliionya ndege hiyo isipite eneo hili lkn ikakaidi.
Iliionya zaidi na zaidi ikaleta kiburi.
viongozi wa jeshi la anga la Urusi waliamuru kwa marubani wa jeshi la Urusi waipige ndege Ile
Ndege ya jeshi la Urusi ikaruka juu na kwenda kuitungua ndege Ile.
Mwaka 2007 Putin akiwa uwanja wa michezo ya Olympic mjini Beijing.
Alikatisha starehe ya kutazama michezo na kurudi Moscow haraka,baada ya majeshi ya Georgia kuwapiga kijeshi majimbo yake mawili yaliyokua yanadai haki sawa yenye wakazi wenye asili ya Urusi.Sothern Ossetia na Abkhazia.
Putin aliamiru jeshi lake kwenda kuwasaidia majimbo hayo.
Huku Georgia akitiwa kiburi na NATO,Urusi ilitembeza kichapo na kuyapa Uhuru majimbo hayo.

USA wakiwa wamekula njama na kusababisha maandamano nchini Ukraine yaliyopelekea Rais wa Ukraine kukimbia,makomando wa Urusi aina ya Spetsnaz wakiingia kimyakimya Crimea na kuitwaa na kuirejesha Urusi.
Ikumbukwe Crimea ilikua ni sehemu ya Ukraine.
Haya yote yamefanyika huku Marekani akibweka bila kuuma.

Kabla Urusi hajaivaimia Ukraine,USA alileta dharau sana pale Putin alipokua alifanya juhudi kuisihi USA isiruhusu Ukraine kujiunga na NATO.

Urusi uvumilivu uliishinda.
USA iliionya sana Urusi isivamie Ukraine kwamba itakutana na consequences ambazo itajuta.

Urusi haikujali ikavamia Ukraine.
Marekani na ubabe wake wote Huwa kwa Urusi haifanyi kitu.

Urusi baada ya kuona Assad huenda akaondolewa na USA na wapanmbe wake Urusi ikaingiza majeshi,Assad bado yupo,kwa kifupi Urusi ndio imemuweka Assad kibabe.huku ikizifukuza USA,France na UK.

Urusi imemuweka madarakani kibabe Niko Maduro.

Mwaka 2019 kama sikosei ndegevita moja ya Urusi ilipaa juu ya meli inayosemwa ni ya kisasa sana na iliyo ora zaidi ya Marekani na inayotegemewa zaidi na NATO.
Ndege hiyo ya Urusi iliizunguka melivita hiyo ya USA mara kadhaa na kuondoka.
Kilichotokea meli yote ilizimika Kila kitu,mfano wa mtu azimavyo TV Kwa remoti control.
Meli hiyo ilikuja kukokotwa Hadi kwenye kambi ya meli za USA iliyoko ujerumani.
Mabaharia wa meli hiyo walipofika waliandika barua za kuacha kazi kwa hofu waliokua nayo .

Ushahidi wa matukio yote niliyoandika upo

Yote haya na mengineyo yanafanyika USA akiona.
Urusi ndio mbabe wa Dunia.
USA kazi kuonea vigagaa TU.

Najitolea kuwalipa mafundi, kununua mchanga, kokoto na semeti ya kukujengea sanamu.

Wewe utachagua sanamu tuijenge wapi!
 
Mambo si mambo.

Unakumbuka Waziri Mkuu aliyetoka wa Uingereza Boris Johnson alisema watafundisha wanajeshi 10,000 wa Ukraine kila miezi 4?

Tulitarajia baada ya miezi hiyo 4,watu watatoka angalau wana ujuzi wa maana ili wakapambane na jeshi la Russia.

Kumbe mambo ni tofauti.

Uingereza itafundisha wanajeshi wa Ukraine 2,000 mpaka 2,500 kwa wiki 3 tu [emoji23]. Kisha kupelekwa vitani na kundi lingine kuingia mafunzoni, hivyo watakuwa wamefundisha wanajeshi 10,000 katika miezi 4.

Wataalamu wameanza kupiga kelele kuwa wiki 3 haitoshi kabisa na kuwa Waziri Mkuu alipoyosha na kufanya watu waamini tofauti kwa makusudi.
 
Naamini Russia alijipanga zaidi na hii operation kuliko tunavyofikiria, alijipanga kijeshi na kiuchumi pia. Baada ya kuanza operation nchi za magharibi zilikimbilia vikwazo zikiamini kumuwekea Russia vikwazo kutamuadabisha na ataondoa jeshi ukraine. Nini kimetokea?

Vikwazo havikufanya kazi waliyoitarajia, nchi nyingi za ulaya kwa sasa hali za za uchumi ni tofauti na kabla hawajaweka vikwazo.

Angalia hata thamani ta hela ya Urusi mwezi march alafu angalia na august hii naamini Putin anacheza kete zake kwa akili sana.

Tuliaminishwa na western media kwamba uchumi wa Russia ni wa "kuunga unga" hivyo hawataweza kustahimili vita kwa mda mrefu ila kwa sasa tumeshuhudia tofauti.

Tukumbuke Russia ni mojawapo ya nchi zenye taasisi imara sana ya kijasusi haiwezi kufanya mambo kwa kukurupuka kama tunavyoaminishwa na media

View attachment 2316202View attachment 2316203
Hizi takwimu unazitoa site gani?
 
Nilichojifunza kwenye huu mzozo team Russia wana roho pana, hata zipite habari ngapi za kuwakera hutakosa comments zao wakijibu mashambulizi. Tofauti na team Ukraine/NATO/USA Hawa jamaa bana wana roho ndogo sana siku wakichakazwa hata kidogo tu hawaonekani kabisa hapa 🤣🤣🤣
 
ikumbukwe ata kwa internet Russia alikuwa ashaajipanga na akoji disconnect na internet in trial period.
tunaoongelea 2021.
putin is ahead of present time
 
Unataka misaada? Duh!
Kabla hujafanya negotiation lazima ujiulize haya maswali kwanza
  • Je nafaidika nini na mwenzangu
  • Je faida yake kwangu ni nini
-Je hili jambo halitaniathili negatively

Hizo ni basics lazma kila mtu azijue, sasa kama mtu ni mbumbuwazi ndo anafanya kitu kwa ushabiki au emotions ambazo ni ujinga,
Yani timu ya simba ata kama unaipenda ikufate uichezee bule, huu si wendawazimu huu
 
Nilichojifunza kwenye huu mzozo team Russia wana roho pana, hata zipite habari ngapi za kuwakera hutakosa comments zao wakijibu mashambulizi. Tofauti na team Ukraine/NATO/USA Hawa jamaa bana wana roho ndogo sana siku wakichakazwa hata kidogo tu hawaonekani kabisa hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa pro-Russia wako radhi kuupindua ukweli Ili waendelee kufurahia nafsin mwao,
 
Ngoja nikuache kwanza
Taiwan ina uhuru gani au inatofauti gani na danganyika na zenj
Nyie vijana bana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu labda nikusaidie tena kwa kulinganisha sehemu ulizotaja (ingawa ninaamini ungeweza mwenyewe):
1. Serikali ya Zanzbar iliamua kujiunga na Tanzania - wala serikali wala yeyote Taiwan aliamua kujiunga na jamhuri ya watu wa China
2. Watu wa Zanzibar tangu miaka karibu 60 wamepiga kura kwa bunge na rais wa Tanzania - hakuna mtu Taiwan aliyewahi kupiga kura kwa rais au bunge la China katika historia yote
3. Wabunge wa Zanzibar wako kwenye bunge la Tanzania - hakuna mbunge kutoka Taiwan kwenye bunge la China
4. Sheria nyingi za Tanzania zina nguvu Zanzibar na kutumiwa huko - hakuna sheria ya China yenye nguvu au kutumiwa Taiwan
5. Polisi na Jeshi la Tanzania wako Zanzibar - hakuna mpolisi au mwanajeshi wa China huko Taiwan
6. Pesa ya Benki Kuu ya Tanzania ni pesa halali Zanzibar - pesa ya China si pesa halali Taiwan, ina benki kuu yake ya pekee

Nadhani inatosha kuona kwamba Tanzania / Zanzibar hali ni tofauti kabisa tukilinganisha na China na Taiwan.
 
The mobs of the 2nd battalion of the 56th brigade of the Armed Forces of Ukraine complain that they were thrown onto Peski without training and appropriate equipment, where the front fell down near the Hohlovermacht
Someone should tell them to stop complaining and act decisively.
 
Nilichojifunza kwenye huu mzozo team Russia wana roho pana, hata zipite habari ngapi za kuwakera hutakosa comments zao wakijibu mashambulizi. Tofauti na team Ukraine/NATO/USA Hawa jamaa bana wana roho ndogo sana siku wakichakazwa hata kidogo tu hawaonekani kabisa hapa 🤣🤣🤣
Katika medani za vita, hawa wanapitia situation inaitwa TACTICAL DEPRESSION. Ni hali ya kawaida sana, wala si jambo geni. Sema tu wao wamelikuza na kulipa umaarufu kupita kiasi.
 
CNN: UN's nuclear watchdog warns of 'disaster' at Ukraine power plant as shelling continues.
 
Back
Top Bottom