Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Hongera kwa shughuli za kulijenga taifaHii wiki nimekuwa na majukumu mengi wakuu
Hongera kwa shughuli za kulijenga taifaHii wiki nimekuwa na majukumu mengi wakuu
Em tupee nondo jomba, yasemekana ule mfumo wa Aegis ni kachumbari ilokosa ndimu, vipi ni kweli au propaganda tu 🤗🤔Hii wiki nimekuwa na majukumu mengi wakuu
Aegis isifananishwe na vitu vya kijinga kama hiviEm tupee nondo jomba, yasemekana ule mfumo wa Aegis ni kachumbari ilokosa ndimu, vipi ni kweli au propaganda tu 🤗🤔
Ukweli ni kwamba hakuna nchi inayoitisha Urusi hapa duniani.Toka Russia aifanyie dharau ile meli yao mpaka leo sijawai sikia US kuingia mipaka ya Russia[emoji23][emoji23][emoji23]. Kupigana na Russia ni sawa na kujitumbukiza kwenye karai la kukaanga chips. Marekani ataishia kuonea wachovu tu, anajua akiingia kwenye vita na Russia ataishia kutia AIBU[emoji81][emoji81]
WWE.comHizi takwimu unazitoa site gani?
Mzee una mapovu?Unaona usivyo na akili..suala la kuwa wengi sehem moja haipaswi kuwa sabab ya kuwagandamiza walio wachache..zanzibar wakat wa mfungo hakuna kula mchana hata uwe mkristo..huoni huo ni ugandamizaji wa haki za wengine? Kufunga ufunge mm mkristo inanihusu nn?? Kwa nn hamuheshimu haki za wengine?? Juzi hata wanakataa kanisa kujengwaaa..hata hayo machache yaliyopo wanaoperate kwa shida mno na kwenye event moja viongozi wa kikristo walimlalamikia rais mwinyi kuhusu hilo hukusikia au ulikuwa unasugua uso jomba.
Hii nchi siku nyie kuku mkiwa wengi nazani wakristo wajiandae kutwangwaaa..
Hakuna jamii isiyostaarabika kama nyie.
Hiyo site unatumia saver gani?WWE.com
Hajui kua zile nyukilia pia ni silaha kama silaha nyingine.Unafikir zile nuclear zimetengenezwa kwa ajili ya mapambo? Tunasubiri mwenye pua ndefu atiwe adabu.
Sawa PELOS tumekusikia.Putin anajuta kuingia Ukraine alidhani anapigana na Ukraine. Heri ya Mchina kausoma mtego kajinasua
Weee Aegis noma sana, Inatisha mzee. So mwamba hii story chini hapa ni chai tu kama chai zingine au sio 😋😂😂Aegis isifananishwe na vitu vya kijinga kama hiviView attachment 2317254 Hata Sweden au Finland inacheka ukiona uzembe kama huu. Sijui high command ya Russian navy haikuwa inajua kama haina reliable air defence system kwa ajili ya meli zake mpaka wabebe Tor ambayo ni land based short range system.
Mwanangu Galip Vrl atanisaidia kutoa muongozo.Hiyo site unatumia saver gani?
haha Galip Vrl katika ubora wake with his sarcasm. thats below the belt to ukronazis and khohols cum sim 2 defenders. haina comebackWeee Aegis noma sana, Inatisha mzee. So mwamba hii story chini hapa ni chai tu kama chai zingine au sio 😋😂😂
View attachment 2317278
View attachment 2317279
View attachment 2317280
Aegis wanaifananishaje na vitu vya kijinga hawa akina Google chrome na mixx Weee ase natoa tactical Order mkome kuanzia leo 😂😂😂.
Muwaambie hao Washington Post waache kupiga propaganda za Putin kama hao wehu wa Amnesty International 😄😄😄
View attachment 2317281
Mwisho Jomba T14 Armata tukushukuru kwa mchango wako mazee, umetufumbua macho kuhusu hiyo Propaganda ya Kremlin Washington Post waliyolipwa kuitangaza miaka 6 iliyopita 😊.