Kiongozi wa CHECHEN, zile jamaa zimeshiba asee, kama ni battle ya mkono kwa mkono sijui kama utatoboa.Ramzan Kadyrov published a video recording of the withdrawal of Ukrainian civilians by Russian soldiers from the combat zone to safe places
Source: Kadyrov R.A.
View attachment 2136882
Mkuu,hapa hutojibiwa kamwe,bora uendele kuburudika na comments za Frustration Wamejikita kutuletea updates za "Breaking News" kwa sasaJamani mliopo jikoni mtuambie Kiev imeshageuka majivu. ? Tunaona wakata kuni huku nje kuwa wanalalamika poli linaisha harafu msosi hauivi .
Kwani Marekani ilichukua siku ngapi katika Vita ya Irak na Marekani ?, Kwani Marekani ilichukua siku ngapi Afrigastan ?Habarini za asubuhi ndugu zangu makamanda wa kirusi mlio apo kwimba na lushoto leo ivi sasa yametimia masaa 99 tangia mfanye uvamizi wenu kwenye ardhi yenu naomba kujua ni kipi cha maana ambacho mpaka sasa mmekiteka kutoka ukrain maana mlitwambia ni operation ya masaa 24 yakaja 48 yakaja 72 na sasa ni masaa 99 je bado mnajiita super power yaani kwa majigambo yenu yote vita ya siku nne mmefanikiwa kuvuka mpaka mmoja tu n hakuna chochote cha maana mlichokiteka achilia mbali kuikamata kiev maana ilo swala ni hamliwezi tena hamuwezi kuiteka kiev
Siku moja niliwahi kisema Russia is Ovarated na kweli asee yaani warusi wa Namtumbo kaka yenu Putin kawataia aibu mno na mwisho kabisa kaidharirisha sana Russia kiufupi kalivua nguo hilo taifa lenu pendwa na hakuna tena taifa litakaloiogopa urusi ubabe wake umefika mwisho
PropagandaA Russian soldier surrendered.
Ukrainians gave him tea, food, and let him video call his mother. This is the Ukrainian spirit.
https://www.facebook.com/
Sawa commander In charge sema mna taarabu nyingiTunawapeleka taratibu. Tunataka kuwalegeza hawa NATO. Kuna taarifa ninazo za uhakika sasa hivi. Nitaanza kuziweka humu. Huko Ukraine vyombo vya habari vimezuiliwa.
Leta habari za Russia vs Ukraine,hayo ya Marekani yanakujaje tena hapa? Wakati mnatupigia makelele humu kuwa hii ni special operation ya masaa 24 tu,hamkuwa mnafanya comparison na Marekani.Kwani Marekani ilichukua siku ngapi katika Vita ya Irak na Marekani ?, Kwani Marekani ilichukua siku ngapi Afrigastan ?
Hao wamehamisha magoli kutoka kwenye Urusi kupigwa hadi kwenye kuhesabu siku za Urusi kuipiga Ukraine. Watachelewesha tu kuleta mashahidi wao ila kipigo(hukumu) iko pale pale.Kwani Marekani ilichukua siku ngapi katika Vita ya Irak na Marekani ?, Kwani Marekani ilichukua siku ngapi Afrigastan ?
Bongo kila mtu ni jasusiRomania romania romania jana walipewa kipigo cha kiini macho pigo lilikuwa hivi:
romania ilirusha ndege ya mg 21 ghafla ndege ikapotea kwe rada huku ikisemekana itawa imeangukia kwenye maji ya blacksea
Ikabidi wato helcopter kwa ajiri ya kutafuta ile ndege mala ghafla ile helcopter nayo ikaanguka na kuuwa mtu mmoja
Romani ikatuma tena helcopter helcopter ya uwokozi mala helcopter ya uwokoz nayo ikaanguka na kuuwa watu wa tano
jumla ndege tatu za romania zimelamba mchanga kumbukeni roman ni mwanachama wa nato na imepaka na ukraine
SanaMarekani anaogopa?
Kyiv haijageuka majivu bado tu,Mkuu nakukumbusha comment yako tangu tar 28/02 ulituambia hap hapa.Romania romania romania jana walipewa kipigo cha kiini macho pigo lilikuwa hivi:
romania ilirusha ndege ya mg 21 ghafla ndege ikapotea kwe rada huku ikisemekana itawa imeangukia kwenye maji ya blacksea
Ikabidi wato helcopter kwa ajiri ya kutafuta ile ndege mala ghafla ile helcopter nayo ikaanguka na kuuwa mtu mmoja
Romani ikatuma tena helcopter helcopter ya uwokozi mala helcopter ya uwokoz nayo ikaanguka na kuuwa watu wa tano
jumla ndege tatu za romania zimelamba mchanga kumbukeni roman ni mwanachama wa nato na imepaka na ukraine
Kipi kigumu Hapo?Propaganda
Naona leo hujagongwa G-spot, umepoa sana.Kyiv haijageuka majivu bado tu,Mkuu nakukumbusha comment yako tangu tar 28/02 ulituambia hap hapa.