LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tunawapeleka taratibu. Tunataka kuwalegeza hawa NATO. Kuna taarifa ninazo za uhakika sasa hivi. Nitaanza kuziweka humu. Huko Ukraine vyombo vya habari vimezuiliwa.
 
Jamani mliopo jikoni mtuambie Kiev imeshageuka majivu. ? Tunaona wakata kuni huku nje kuwa wanalalamika poli linaisha harafu msosi hauivi .
Mkuu,hapa hutojibiwa kamwe,bora uendele kuburudika na comments za Frustration Wamejikita kutuletea updates za "Breaking News" kwa sasa
 
Habarini za asubuhi ndugu zangu makamanda wa kirusi mlio apo kwimba na lushoto leo ivi sasa yametimia masaa 99 tangia mfanye uvamizi wenu kwenye ardhi yenu naomba kujua ni kipi cha maana ambacho mpaka sasa mmekiteka kutoka ukrain maana mlitwambia ni operation ya masaa 24 yakaja 48 yakaja 72 na sasa ni masaa 99 je bado mnajiita super power yaani kwa majigambo yenu yote vita ya siku nne mmefanikiwa kuvuka mpaka mmoja tu n hakuna chochote cha maana mlichokiteka achilia mbali kuikamata kiev maana ilo swala ni hamliwezi tena hamuwezi kuiteka kiev

Siku moja niliwahi kisema Russia is Ovarated na kweli asee yaani warusi wa Namtumbo kaka yenu Putin kawataia aibu mno na mwisho kabisa kaidharirisha sana Russia kiufupi kalivua nguo hilo taifa lenu pendwa na hakuna tena taifa litakaloiogopa urusi ubabe wake umefika mwisho
Kwani Marekani ilichukua siku ngapi katika Vita ya Irak na Marekani ?, Kwani Marekani ilichukua siku ngapi Afrigastan ?
 
Tayari Jeshi la Russia limezunguka miji yote mikubwa ya Ukraine. Kuna rafiki yangu General ya jeshi la Russia tulikutana naye Syria. Kaniambia, kinachosubiriwa sasa hivi ni mazungumzo kati ya Russia na Ukraine yaliyopangwa leo asubuhi.
 
Intelijensia za wamagharibi zaonesha kuwa mwanzono mwa February maafisa wa China waliwaomba maafisa wa Russia wacheleweshe kidogo oparesheni hii ya kijeshi mpaka mashindano ya Olympics yapite. Kwa maana China na Russia walijadiliana pembeni juu ya jambo hilo kabla ya kutokea.

SmartSelect_20220303-072610_Chrome.jpg
 
Tunawapeleka taratibu. Tunataka kuwalegeza hawa NATO. Kuna taarifa ninazo za uhakika sasa hivi. Nitaanza kuziweka humu. Huko Ukraine vyombo vya habari vimezuiliwa.
Sawa commander In charge sema mna taarabu nyingi
1325570289.jpg
 
Romania romania romania jana walipewa kipigo cha kiini macho pigo lilikuwa hivi:

romania ilirusha ndege ya mg 21 ghafla ndege ikapotea kwe rada huku ikisemekana itawa imeangukia kwenye maji ya blacksea

Ikabidi wato helcopter kwa ajiri ya kutafuta ile ndege mala ghafla ile helcopter nayo ikaanguka na kuuwa mtu mmoja

Romani ikatuma tena helcopter helcopter ya uwokozi mala helcopter ya uwokoz nayo ikaanguka na kuuwa watu wa tano
jumla ndege tatu za romania zimelamba mchanga kumbukeni roman ni mwanachama wa nato na imepaka na ukraine
 
Kwani Marekani ilichukua siku ngapi katika Vita ya Irak na Marekani ?, Kwani Marekani ilichukua siku ngapi Afrigastan ?
Leta habari za Russia vs Ukraine,hayo ya Marekani yanakujaje tena hapa? Wakati mnatupigia makelele humu kuwa hii ni special operation ya masaa 24 tu,hamkuwa mnafanya comparison na Marekani.
 
Kwani Marekani ilichukua siku ngapi katika Vita ya Irak na Marekani ?, Kwani Marekani ilichukua siku ngapi Afrigastan ?
Hao wamehamisha magoli kutoka kwenye Urusi kupigwa hadi kwenye kuhesabu siku za Urusi kuipiga Ukraine. Watachelewesha tu kuleta mashahidi wao ila kipigo(hukumu) iko pale pale.
Kupigwa apigwe Ukraine,NATO, Ufaransa,Poland,Germany,Uk na USA alafu mning'inio wanapata wabongo wa tandale.
 
Romania romania romania jana walipewa kipigo cha kiini macho pigo lilikuwa hivi:

romania ilirusha ndege ya mg 21 ghafla ndege ikapotea kwe rada huku ikisemekana itawa imeangukia kwenye maji ya blacksea

Ikabidi wato helcopter kwa ajiri ya kutafuta ile ndege mala ghafla ile helcopter nayo ikaanguka na kuuwa mtu mmoja

Romani ikatuma tena helcopter helcopter ya uwokozi mala helcopter ya uwokoz nayo ikaanguka na kuuwa watu wa tano
jumla ndege tatu za romania zimelamba mchanga kumbukeni roman ni mwanachama wa nato na imepaka na ukraine
Bongo kila mtu ni jasusi
 
Kyiv haijageuka majivu bado tu,Mkuu nakukumbusha comment yako tangu tar 28/02 ulituambia hap hapa.
 
Kwa mujibu wa CNN, meya wa mji wa Kherson nchini Ukraine akiri kuwa sasa mji huo tayari umechukuliwa na majeshi ya Russia. Meya huyo kaongezea kuwa majeshi ya Ukraine yamekimbia, hakuna mwanajeshi hata mmoja aliyesalia.

SmartSelect_20220303-072727_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom