LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
JF tujilazimishe kuweka vyanzo ( sources) za taarifa tunazitoa. Mtu anaandika article ndefu lakini haina reference yeyote utafikiri ngonjera anamtungia mpenzi wake!
Reference Spa sio chuo hatufanyi assignment
 
Hizo ndege na helokopta ni za NATO na USA kwa namna zilivyoangushwa kishamba, hadi bibi Deni ameona aibu kuitisha videoconference na waste media zime-unyuti (mute)
 
Russia ameanzisha utaratibu wake wa kiungwana sana, anavamia jimboni kwako ( Ukraine) anaita moyor wa Jimbo husika. Anakwambia " ndugu Mh. Nimeleta kikosi changu kwa amani kabisa, naomba utangaze kusunder kwa masirahi mapana na wananchi wako, au ukatae nishushe kipigo kizito" [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni utaratibu mzuri, unalenga kuepusha maafa kwa raia.

Watakaokaidi, shauri lao.
 
Bado wana fikiri ni Comedy. Kuna mwanamke humu anaitwa Nyamizi siku akifika juu ya mlima Kilimanjaro anaanza kuleta kelele humu.
 
Kwa mujibu wa CNN, meya wa mji wa Kherson nchini Ukraine akiri kuwa sasa mji huo tayari umechukuliwa na majeshi ya Russia. Meya huyo kaongezea kuwa majeshi ya Ukraine yamekimbia, hakuna mwanajeshi hata mmoja aliyesalia.

View attachment 2136919
Mayor ilibidi ajitambue mapema kuwa nothing can stand on Russia's road. Raia wake hao anaowaita askari kule urusi ndio wanaolinda hardware za watu binafsi
 
Video of explosions in Kyiv.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Bado wana fikiri ni Comedy. Kuna mwanamke humu anaitwa Nyamizi siku akifika juu ya mlima Kilimanjaro anaanza kuleta kelele humu.
Rafiki yangu huyo namkubali sana sema tu ni upande aliochagua ni wakukosa na atajutia sana maana mameya wake wanakubali kuweka mji mkononi mwa Urusi ila yy Nyamizi bado wameshikilia bendera ya Ukraine
 
Mmekutana washabiki wa Mpira. This is not football. Mm sijui habari za Mpira lkn wengi naona hupa ni bodaboda tu.

Political battlefield sio kibandani Kwa muonesha Mpira.


No stupid commander atapeleka watu mahiri Frontline.never

Ukraine sio level ya Russia. Ukraine anapata support kubwa nje. Russia knows, Russia anahangaika kuona Big 7 nani ataingia yeye kama yeye.

Kumpiga Ukraine ni kama unaposex unaanza juu juu. Muda ku fire kuupeleka Moto inawezekana hata hatataka Kupiga mitambo yake ya maana vitani mikwara huanza....

Guys muangalieni Sana rais wa Ukraine anatafuta Sana huruma.. anapoongea muangaalie Sana speech zake
 
Kwahiyo ulitaka Ukŕine ifanyeje???
 
Safii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…