LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
JF tujilazimishe kuweka vyanzo ( sources) za taarifa tunazitoa. Mtu anaandika article ndefu lakini haina reference yeyote utafikiri ngonjera anamtungia mpenzi wake!
Reference Spa sio chuo hatufanyi assignment
 
Romania romania romania jana walipewa kipigo cha kiini macho pigo lilikuwa hivi:

romania ilirusha ndege ya mg 21 ghafla ndege ikapotea kwe rada huku ikisemekana itawa imeangukia kwenye maji ya blacksea

Ikabidi wato helcopter kwa ajiri ya kutafuta ile ndege mala ghafla ile helcopter nayo ikaanguka na kuuwa mtu mmoja

Romani ikatuma tena helcopter helcopter ya uwokozi mala helcopter ya uwokoz nayo ikaanguka na kuuwa watu wa tano
jumla ndege tatu za romania zimelamba mchanga kumbukeni roman ni mwanachama wa nato na imepaka na ukraine
Hizo ndege na helokopta ni za NATO na USA kwa namna zilivyoangushwa kishamba, hadi bibi Deni ameona aibu kuitisha videoconference na waste media zime-unyuti (mute)
 
Watu milioni 1 tayari wamekimbia Ukraine ndani ya siku 7.

SmartSelect_20220303-072438_Chrome.jpg
 
Russia ameanzisha utaratibu wake wa kiungwana sana, anavamia jimboni kwako ( Ukraine) anaita moyor wa Jimbo husika. Anakwambia " ndugu Mh. Nimeleta kikosi changu kwa amani kabisa, naomba utangaze kusunder kwa masirahi mapana na wananchi wako, au ukatae nishushe kipigo kizito" [emoji23][emoji23][emoji23]
950c0cad-cf71-416b-b87a-a8007552d499.jpg
 
Russia ameanzisha utaratibu wake wa kiungwana sana, anavamia jimboni kwako ( Ukraine) anaita moyor wa Jimbo husika. Anakwambia " ndugu Mh. Nimeleta kikosi changu kwa amani kabisa, naomba utangaze kusunder kwa masirahi mapana na wananchi wako, au ukatae nishushe kipigo kizito" [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2136922
Ni utaratibu mzuri, unalenga kuepusha maafa kwa raia.

Watakaokaidi, shauri lao.
 
Russia ameanzisha utaratibu wake wa kiungwana sana, anavamia jimboni kwako ( Ukraine) anaita moyor wa Jimbo husika. Anakwambia " ndugu Mh. Nimeleta kikosi changu kwa amani kabisa, naomba utangaze kusunder kwa masirahi mapana na wananchi wako, au ukatae nishushe kipigo kizito" [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2136922
Bado wana fikiri ni Comedy. Kuna mwanamke humu anaitwa Nyamizi siku akifika juu ya mlima Kilimanjaro anaanza kuleta kelele humu.
 
Kwa mujibu wa CNN, meya wa mji wa Kherson nchini Ukraine akiri kuwa sasa mji huo tayari umechukuliwa na majeshi ya Russia. Meya huyo kaongezea kuwa majeshi ya Ukraine yamekimbia, hakuna mwanajeshi hata mmoja aliyesalia.

View attachment 2136919
Mayor ilibidi ajitambue mapema kuwa nothing can stand on Russia's road. Raia wake hao anaowaita askari kule urusi ndio wanaolinda hardware za watu binafsi
 
Video of explosions in Kyiv.

Bado wana fikiri ni Comedy. Kuna mwanamke humu anaitwa Nyamizi siku akifika juu ya mlima Kilimanjaro anaanza kuleta kelele humu.
Rafiki yangu huyo namkubali sana sema tu ni upande aliochagua ni wakukosa na atajutia sana maana mameya wake wanakubali kuweka mji mkononi mwa Urusi ila yy Nyamizi bado wameshikilia bendera ya Ukraine
 
Russia na kiwebsite chao cha RT.com ukisoma habari kwao mara mbili ukirudi mara ya tatu wananza kukuambia"We have registered suspicious traffic coming from your network. Using this page, we will be able to determine that you are not the robot. Wakti maBBC, Maaljazeera huko hawana hizi mambo kweli. Kwa kifupi mrusi alidhani myukreni mlaini kama pamba sasa kakutana na upinzani ambao hakuutarajia zile siku za mwanzo Putin alikuwa anabweka hatarii sasa hivi kidogo kafunga mdomo wake,
Mmekutana washabiki wa Mpira. This is not football. Mm sijui habari za Mpira lkn wengi naona hupa ni bodaboda tu.

Political battlefield sio kibandani Kwa muonesha Mpira.

No stupid commander atapeleka watu mahiri Frontline.never

Ukraine sio level ya Russia. Ukraine anapata support kubwa nje. Russia knows, Russia anahangaika kuona Big 7 nani ataingia yeye kama yeye.

Kumpiga Ukraine ni kama unaposex unaanza juu juu. Muda ku fire kuupeleka Moto inawezekana hata hatataka Kupiga mitambo yake ya maana vitani mikwara huanza....

Guys muangalieni Sana rais wa Ukraine anatafuta Sana huruma.. anapoongea muangaalie Sana speech zake
 
Rais wa Ukraine ni mpumbavu,hivi ni Nchi gani hapa Duniani itataka waingie vitani na Mrusi??,hakuna hakuna hata mmoja yenye uwezo huo na ndio maana mbinu wanatumia ni kuungana Ulaya nzima.
Na tatizo wakiungana Ulaya nzima yaani NATO nzima kwenda kupigana na Russia hiyo inakuwa tena ni WWW3,swali ni kuwa USA+NATO wapo tayari kwa WW3???
Kwahiyo ulitaka Ukŕine ifanyeje???
 
Romania romania romania jana walipewa kipigo cha kiini macho pigo lilikuwa hivi:

romania ilirusha ndege ya mg 21 ghafla ndege ikapotea kwe rada huku ikisemekana itawa imeangukia kwenye maji ya blacksea

Ikabidi wato helcopter kwa ajiri ya kutafuta ile ndege mala ghafla ile helcopter nayo ikaanguka na kuuwa mtu mmoja

Romani ikatuma tena helcopter helcopter ya uwokozi mala helcopter ya uwokoz nayo ikaanguka na kuuwa watu wa tano
jumla ndege tatu za romania zimelamba mchanga kumbukeni roman ni mwanachama wa nato na imepaka na ukraine
Safii
 
Back
Top Bottom