Huu n uongoRomania romania romania jana walipewa kipigo cha kiini macho pigo lilikuwa hivi:
romania ilirusha ndege ya mg 21 ghafla ndege ikapotea kwe rada huku ikisemekana itawa imeangukia kwenye maji ya blacksea
Ikabidi wato helcopter kwa ajiri ya kutafuta ile ndege mala ghafla ile helcopter nayo ikaanguka na kuuwa mtu mmoja
Romani ikatuma tena helcopter helcopter ya uwokozi mala helcopter ya uwokoz nayo ikaanguka na kuuwa watu wa tano
jumla ndege tatu za romania zimelamba mchanga kumbukeni roman ni mwanachama wa nato na imepaka na ukraine
Bado Iran hajaonesha makucha yake.Marekani yalalamika kuwa India na United Arab Emirates (UAE) zipo kwenye Camp ya Russia.
Russia Ukraine Latest News: US recalls cable saying India, UAE in 'Russia’s camp': Report | India News - Times of India
India News: US diplomats were instructed to inform their Indian and UAE counterparts that their position of neutrality on Ukraine put them in 'Russia's camp', acctimesofindia.indiatimes.com
Haya mambo yalikua Africa na Asia leo yanahamia Ulaya.View attachment 2136718WAKISHA KUFA WANAZIKWA HATA UCHI BILA NGUO...............
Walipoungani cc tulikuwa kimya hatukuwazodoa ila cc tukiungwa mkono au kuungana wanaleta zengwe. USA mabatok sana yy anapenda dunia yote imsujudie yy kama Mungu wa wayahudiMarekani yalalamika kuwa India na United Arab Emirates (UAE) zipo kwenye Camp ya Russia.
Russia Ukraine Latest News: US recalls cable saying India, UAE in 'Russia’s camp': Report | India News - Times of India
India News: US diplomats were instructed to inform their Indian and UAE counterparts that their position of neutrality on Ukraine put them in 'Russia's camp', acctimesofindia.indiatimes.com
Kwa mujibu wa CNN, meya wa mji wa Kherson nchini Ukraine akiri kuwa sasa mji huo tayari umechukuliwa na majeshi ya Russia. Meya huyo kaongezea kuwa majeshi ya Ukraine yamekimbia, hakuna mwanajeshi hata mmoja aliyesalia.
View attachment 2136919
We Kwa moto ule utabaki utakuwa punguani , kwenye vita ukizidiwa ku sarenda ni muhimuRafiki yangu huyo namkubali sana sema tu ni upande aliochagua ni wakukosa na atajutia sana maana mameya wake wanakubali kuweka mji mkononi mwa Urusi ila yy Nyamizi bado wameshikilia bendera ya Ukraine
[emoji23][emoji23]Russia ameanzisha utaratibu wake wa kiungwana sana, anavamia jimboni kwako ( Ukraine) anaita moyor wa Jimbo husika. Anakwambia " ndugu Mh. Nimeleta kikosi changu kwa amani kabisa, naomba utangaze kusunder kwa masirahi mapana na wananchi wako, au ukatae nishushe kipigo kizito" [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2136922
Ina maana nchi za Afrika zote zinamsaport UrusiAfrika kusini yasema hatutailaani Russia, hatufati mkumbo wa nchi nyinginezo.
SA won't condemn Russia, and is not fence-sitting over invasion, MPs told
"We are not going by what other counties are saying, we are going by what SA feels would be the better solution in this particular conflict," deputy Dirco minister Candith Mashego-Dlamini said.www.sowetanlive.co.za
Asia na Afrika hazipati msaada wowote kwa NATO, Poland na USA ilikuondoka mjini Kyiv.Ina maana nchi za Afrika zote zinamsaport Urusi
Hii haitokuja leta chuki kwa waafrika walioko Ukraine
Kazi ipoLeo naona twitter kumepoa sana toka kichapo kianze kutembea zile stori za raia kuiba kifaru zilikua dharau kwa russia. Leo ni kimyaa kama sio Twitter [emoji28][emoji28][emoji28]
Hii sio ile ya israel na palestina mkuu.. jengo lililo tuhumiwa linatumika kutangaza habari zenye propaganda hasi kwa israeli .. au tukio linafanana?Msiseme hatujawapa warning tunapoanza kazi yetu
View attachment 2136948