LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Romania romania romania jana walipewa kipigo cha kiini macho pigo lilikuwa hivi:

romania ilirusha ndege ya mg 21 ghafla ndege ikapotea kwe rada huku ikisemekana itawa imeangukia kwenye maji ya blacksea

Ikabidi wato helcopter kwa ajiri ya kutafuta ile ndege mala ghafla ile helcopter nayo ikaanguka na kuuwa mtu mmoja

Romani ikatuma tena helcopter helcopter ya uwokozi mala helcopter ya uwokoz nayo ikaanguka na kuuwa watu wa tano
jumla ndege tatu za romania zimelamba mchanga kumbukeni roman ni mwanachama wa nato na imepaka na ukraine
Huu n uongo
 
Sisi tuliochukua mafunzo ya kijeshi Russia tunaelewa sana. Lakini mdogo wangu Nyamizi tunajaribu kumweleza amekomaa tu. Haoni hata nchi ilivyopiga kura UN. Msimamo wa Tanzania ni kuwa tofauti na mabavu ya NATO na wazungu.
 
Nyamizi ni shemeji yangu. Matani yangu na yeye wengine msiingilie.
Nyamizi ni mwanamke mzuri, macho yake kama ya hua, mashavu yake kama komamanga aka Apple.

Shemeji usinune, nakupenda hivyo hivyo.
 
Marekani yalalamika kuwa India na United Arab Emirates (UAE) zipo kwenye Camp ya Russia.

Walipoungani cc tulikuwa kimya hatukuwazodoa ila cc tukiungwa mkono au kuungana wanaleta zengwe. USA mabatok sana yy anapenda dunia yote imsujudie yy kama Mungu wa wayahudi
 
Kwa mujibu wa CNN, meya wa mji wa Kherson nchini Ukraine akiri kuwa sasa mji huo tayari umechukuliwa na majeshi ya Russia. Meya huyo kaongezea kuwa majeshi ya Ukraine yamekimbia, hakuna mwanajeshi hata mmoja aliyesalia.

View attachment 2136919

Rafiki yangu huyo namkubali sana sema tu ni upande aliochagua ni wakukosa na atajutia sana maana mameya wake wanakubali kuweka mji mkononi mwa Urusi ila yy Nyamizi bado wameshikilia bendera ya Ukraine
We Kwa moto ule utabaki utakuwa punguani , kwenye vita ukizidiwa ku sarenda ni muhimu
 
Russia ameanzisha utaratibu wake wa kiungwana sana, anavamia jimboni kwako ( Ukraine) anaita moyor wa Jimbo husika. Anakwambia " ndugu Mh. Nimeleta kikosi changu kwa amani kabisa, naomba utangaze kusunder kwa masirahi mapana na wananchi wako, au ukatae nishushe kipigo kizito" [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2136922
[emoji23][emoji23]
 
Afrika kusini yasema hatutailaani Russia, hatufati mkumbo wa nchi nyinginezo.

Ina maana nchi za Afrika zote zinamsaport Urusi

Hii haitokuja leta chuki kwa waafrika walioko Ukraine
 
Msiseme hatujawapa warning tunapoanza kazi yetu
 
URUSI imeamuru majeshi yake yaliyopo Ukraine kuwasaidia raia wa India kutoka nchini Ukraine wakiwa salama salimini.
Hii ni baada ya raia wenye asili ya kihindi na Afrika kukataliwa kutoka nchini ukraine kupitia Poland. Tanzania leo itaomba pia raia wake wapewe msaada wa kuondoka Ukraine kupitia mpaka unaoshikiliwa na Urusi.
 
Ndege vita nne za Russia zalaumiwa kuingia pasi na taarifa ktk anga la Sweden siku moja baada ya waziri mkuu wa Sweden kutangaza kuwa serikali yake itaimarisha zaidi nguvu za kijeshi za sweden kufuatia uvamizi wa Ukraine. Maafisa wa jeshi wa Sweden wamesema kuwa ndege hio ni SU-24 (mbili) na SU-27 (mbili).

SmartSelect_20220303-081259_Chrome.jpg


 
Back
Top Bottom