You are not Seriouslymagari yote ya mfumo wa computer yapo hatarini kudukuliwa na hasa yale ya kimarekani,sattelaiti zilizopo juu zinaweza kushambuliwa na urusi hiyo ni hatua kulipiza kisasi vikwazo vya kiuchumi no internet arround the world
Sawa sheik ubwabwaAjaribu aone
Roman ni KGB wa kitambo aliyezamie kwenye soka uingereza walishamstikia kitambo
Vita mbaya sana huenda jengo lilijengwa kwa miaka kumi lakini limeshushwa kwa dk 3 tuHilo jengo linavoangushwa kama mtu anakata majani ya mua asee nomaa
The war is over according to USA military analystAnd so is Cuba!Jiulize,kwanini US alitaka kulipua meli za Russia zenye vifaa vya kijeshi zilizokuwa zinaelekea Cuba?
namimi nasubiri updates lakini naona kimya hata sielewielewi naona updates za sanctions uchwara tu
Wajinga tuuuu, wameshindwa kurusha izo nyuklia. Wapuuuzi tuuuuuRussia imewataarifu mamlaka ya udhibiti wa nyuklia duniani IAEA kuwa sasa inadhibiti kituo kikubwa cha nyuklia cha Ukraine kilichopo katika mji wa Zaporizhzhia .
Russia tiyari ilikwishateka kituo kingine maarufu kwa jin la Chernoby mwishoni mwa juma lilopita.
View attachment 2136376
Kituo cha nyuklia cha Chernobyl
Wafanyakazi katika vituo hivyo wanaendeleza kazi chini ya uangalizi wa majeshi ya Russia.
Vifahamu vituo vya nyukila vya Ukraine.
View attachment 2136378
Picha na BBC.
Huu ni utani sasa. Eti Russian Peacekeepers.Mwizi anafukuzwa kimya kimya
Comedian wa Ukraine anasemaje!?Huu ni utani sasa. Eti Russian Peacekeepers.
Thank you peace makers. I salute.youHuu ni utani sasa. Eti Russian Peacekeepers.
Kichapo kinaendeleaRomania romania romania jana walipewa kipigo cha kiini macho pigo lilikuwa hivi:
romania ilirusha ndege ya mg 21 ghafla ndege ikapotea kwe rada huku ikisemekana itawa imeangukia kwenye maji ya blacksea
Ikabidi wato helcopter kwa ajiri ya kutafuta ile ndege mala ghafla ile helcopter nayo ikaanguka na kuuwa mtu mmoja
Romani ikatuma tena helcopter helcopter ya uwokozi mala helcopter ya uwokoz nayo ikaanguka na kuuwa watu wa tano
jumla ndege tatu za romania zimelamba mchanga kumbukeni roman ni mwanachama wa nato na imepaka na ukraine
Warusi Ni Watu waungwana kabisaRussia ameanzisha utaratibu wake wa kiungwana sana, anavamia jimboni kwako ( Ukraine) anaita moyor wa Jimbo husika. Anakwambia " ndugu Mh. Nimeleta kikosi changu kwa amani kabisa, naomba utangaze kusunder kwa masirahi mapana na wananchi wako, au ukatae nishushe kipigo kizito" [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2136922
Atafinywa mpk achakae, Romania keshaonesha Njia.Kuna mizinga ipo mpakani mwa Belarus na Poland. Inasubiri mnato mmoja ajitokeze.