LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
magari yote ya mfumo wa computer yapo hatarini kudukuliwa na hasa yale ya kimarekani,sattelaiti zilizopo juu zinaweza kushambuliwa na urusi hiyo ni hatua kulipiza kisasi vikwazo vya kiuchumi no internet arround the world
You are not Seriously
 
And so is Cuba!Jiulize,kwanini US alitaka kulipua meli za Russia zenye vifaa vya kijeshi zilizokuwa zinaelekea Cuba?
The war is over according to USA military analyst
 

Attachments

  • VID-20220303-WA0019.mp4
    8.8 MB
Russia imewataarifu mamlaka ya udhibiti wa nyuklia duniani IAEA kuwa sasa inadhibiti kituo kikubwa cha nyuklia cha Ukraine kilichopo katika mji wa Zaporizhzhia .

Russia tiyari ilikwishateka kituo kingine maarufu kwa jin la Chernoby mwishoni mwa juma lilopita.

View attachment 2136376
Kituo cha nyuklia cha Chernobyl

Wafanyakazi katika vituo hivyo wanaendeleza kazi chini ya uangalizi wa majeshi ya Russia.

Vifahamu vituo vya nyukila vya Ukraine.

View attachment 2136378

Picha na BBC.
Wajinga tuuuu, wameshindwa kurusha izo nyuklia. Wapuuuzi tuuuuu
 
Romania romania romania jana walipewa kipigo cha kiini macho pigo lilikuwa hivi:

romania ilirusha ndege ya mg 21 ghafla ndege ikapotea kwe rada huku ikisemekana itawa imeangukia kwenye maji ya blacksea

Ikabidi wato helcopter kwa ajiri ya kutafuta ile ndege mala ghafla ile helcopter nayo ikaanguka na kuuwa mtu mmoja

Romani ikatuma tena helcopter helcopter ya uwokozi mala helcopter ya uwokoz nayo ikaanguka na kuuwa watu wa tano
jumla ndege tatu za romania zimelamba mchanga kumbukeni roman ni mwanachama wa nato na imepaka na ukraine
Kichapo kinaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia ameanzisha utaratibu wake wa kiungwana sana, anavamia jimboni kwako ( Ukraine) anaita moyor wa Jimbo husika. Anakwambia " ndugu Mh. Nimeleta kikosi changu kwa amani kabisa, naomba utangaze kusunder kwa masirahi mapana na wananchi wako, au ukatae nishushe kipigo kizito" [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2136922
Warusi Ni Watu waungwana kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom