Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Waliokufa wa Urusi wamekuwa wengi kutokana na njia waliotumia-wangeamua kwanza kuanza Air to Air wangekuwa wachache sana.Kumbe Russian Soldiers wameuawa wengi tu, mia tano sio kidogo na tena hiyo wamekiri wenyewe kabisa na kama ni hivyo utakuta wameuawa wengi zaidi ya hao. Vita havina cha Super Power.
Apeleke kikosi, aache porojo.Marekani yalalamika kuwa India na United Arab Emirates (UAE) zipo kwenye Camp ya Russia (Timu Russia).
Russia Ukraine Latest News: US recalls cable saying India, UAE in 'Russia’s camp': Report | India News - Times of India
India News: US diplomats were instructed to inform their Indian and UAE counterparts that their position of neutrality on Ukraine put them in 'Russia's camp', acctimesofindia.indiatimes.com
Unatuma comment hii ukiwa upo manzese kwa tumbo au upo kwa mtogole!?Waliokufa wa Urusi wamekuwa wengi kutokana na njia waliotumia-wangeamua kwanza kuanza Air to Air wangekuwa wachache sana.
CHUKI wameanza wenyewe kwa kuwabagua Watu wetu mbwa waleIna maana nchi za Afrika zote zinamsaport Urusi
Hii haitokuja leta chuki kwa waafrika walioko Ukraine
Wafanye Kama wanajikuna Basi, wamejiimarisha bhana[emoji2]Ndege vita nne za Russia zalaumiwa kuingia pasi na taarifa ktk anga la Sweden siku moja baada ya waziri mkuu wa Sweden kutangaza kuwa serikali yake itaimarisha zaidi nguvu za kijeshi za sweden kufuatia uvamizi wa Ukraine. Maafisa wa jeshi wa Sweden wamesema kuwa ndege hio ni SU-24 (mbili) na SU-27 (mbili).
View attachment 2136943
Swedish defense minister calls Russian violation of airspace 'unacceptable'
Four Russian fighter jets briefly entered Swedish territory over the Baltic Sea on Wednesday. Swedish Defense Minister Peter Hultqvist said. "The Russian violation of Swedish airspace is of course completely unacceptable."uk.news.yahoo.com
Kuna wale jamaa pro Ukraine wanaleta maigizoJamaa ameshacontrol karibu miji yote ya Ukraine akishirikiana na Belarus army na Chechen,,,Yan kuna mitaa vifaru vyao tu vinapita.
Tupo tunapambana mpaka kieleweke Mkuu,tunachojua sisi Wa Ukraine ni washindi tu,hata muangushe mnvua ya mabomu lakini tmewadharirisha na vikwazo mmewekewa vya kutosha,mkimaliza kudondosha mabomu yenu mnakwenda kupambana na vikwazo,mtakufa na njaa,si unaona hadi wanywa Vodka yenu wameisusa,safari hii mtakuwa mnabebeba magunia ya Ruble kwenda kununua mkate na siagi,maana kwa sasa unahitaji Ruble 102.5 ili upate USD 1,baada ya mwezi utahitaji Ruble 1000 kuipata hiyo USD.Rafiki yangu huyo namkubali sana sema tu ni upande aliochagua ni wakukosa na atajutia sana maana mameya wake wanakubali kuweka mji mkononi mwa Urusi ila yy Nyamizi bado wameshikilia bendera ya Ukraine
Habar nyepesi nyepesi zinasema Putin keshamwaga vikosi zaidi ya elfu 10 ndani ya finnland na sweden kujipanga kupigana na NATO.Kumekucha
Umekunywa uji leo baby!?Tupo tunapambana mpaka kieleweke Mkuu,tunachojua sisi Wa Ukraine ni washindi tu,hata muangushe mnvua ya mabomu lakini tmewadharirisha na vikwazo mmewekewa vya kutosha,mkimaliza kudondosha mabomu yenu mnakwenda kupambana na vikwazo,mtakufa na njaa,si unaona hadi wanywa Vodka yenu wameisusa,safari hii mtakuwa mnabebeba magunia ya Ruble kwenda kununua mkate na siagi,maana kwa sasa unahitaji Ruble 102.5 ili upate USD 1,baada ya mwezi utahitaji Ruble 1000 kuipata hiyo USD.
Kichapo kikiisha na kila kitu kitaisha.Tupo tunapambana mpaka kieleweke Mkuu,tunachojua sisi Wa Ukraine ni washindi tu,hata muangushe mnvua ya mabomu lakini tmewadharirisha na vikwazo mmewekewa vya kutosha,mkimaliza kudondosha mabomu yenu mnakwenda kupambana na vikwazo,mtakufa na njaa,si unaona hadi wanywa Vodka yenu wameisusa,safari hii mtakuwa mnabebeba magunia ya Ruble kwenda kununua mkate na siagi,maana kwa sasa unahitaji Ruble 102.5 ili upate USD 1,baada ya mwezi utahitaji Ruble 1000 kuipata hiyo USD.
Warusi wa Kinondoni Moscow ndiyo mlikuwa mnatuletea hizi hadithi za Kyiv kuwa majivu mkiongozwa na Morogoro kaskazini na ndunguye Frustration 😂Nyamizi anataka kyiv iwe majivu
Mrembo naomba no yako ya simu leo nikuone jioni.Warusi wa Kinondoni Moscow ndiyo mlikuwa mnatuletea hizi hadithi za Kyiv kuwa majivu mkiongozwa na Morogoro kaskazini na ndunguye Frustration 😂
Ukraine wameipinga vikali hii habari tokea jana, mapambano yanaendelea leo siku 8 jua mrussi naye anapata cha moto tega sikioKutoka kusini mwa Ukraine ambako moja ya miji ya UKRAINE (KHERSON) tayari upo mikononi mwa majeshi ya Urusi.
Mji huu wenye wakazi zaidi ya 300,000 umewekwa rasmi chini ya majishi ya Urusi huku ukifanya kuwa mafanikio makubwa kwasasa tangu vita ianze kwa upande wa Urusi.
Majeshi ya Urusi yameikamata bandari ya KHERSON na kituo Cha treni Cha mji huo hii ikimaanisha Urusi Sasa ita kuwa under control of water in let huko southern Ukraine.