Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Waliokufa wa Urusi wamekuwa wengi kutokana na njia waliotumia-wangeamua kwanza kuanza Air to Air wangekuwa wachache sana.Kumbe Russian Soldiers wameuawa wengi tu, mia tano sio kidogo na tena hiyo wamekiri wenyewe kabisa na kama ni hivyo utakuta wameuawa wengi zaidi ya hao. Vita havina cha Super Power.