Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine baada ya vita atakuwa na deni litakalolipwa Hadi na vitukuu!
mingi ya hii ni misaada ya masharti karibu na sifuri nia hasa ni kumkomoa Putin !! kushindana na mwenzio kila uchao anamwagiwa misaada ya kijeshi lazima uchakae kama si kuchoka hata kama wewe unajiita supa pawa !!
 
Ingekuwa ela inapigana UKRAINE ingekuwa usharudisha KHERSON.UKRAINE inakosa watu wa kazi
 
Umewasahau wachechnia,Hawa wanapigana mtaa kwa mtaa,,,, Putin kawapa ndege na vifaru wakamwambia we mzee panda mwenyewe unatuchelewesha,,walichodai kwa Putin awapelekee ugali tu.
 
Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Duh ! America wabaya aisee, wamedhamilia kumfanya urusi nyanganyang'a .., yahani mdebwedo [emoji12]
 
mingi ya hii ni misaada ya masharti karibu na sifuri nia hasa ni kumkomoa Putin !! kushindana na mwenzio kila uchao anamwagiwa misaada ya kijeshi lazima uchakae kama si kuchoka hata kama wewe unajiita supa pawa !!
Eti misaada,humjui US wewe!Muulize UK kamaliza kulipa deni lini!
 
Eti misaada,humjui US wewe!Muulize UK kamaliza kulipa deni lini!
Hata kama anamuuzia Mimi sioni tatizo lolote hapo..,yeye lengo lake SI ni kumpigisha danadana urusi?

Mimi ningekuwa zelensiky ningekuwa nawaambia leteni silaha na misaada yote, hata ikiwa miaka10000000000 tutalipa tu,
Cha msingi tupiganie aridhi yetu
 
Na ndio lengo la US,vita ichukue muda mrefu yeye aendelee kufanya biashara ya silaha!US kwenye hizo mambo Yuko vizuri,anajifanya anamtetea Ukraine kumbe ana agenda yake nyuma ya Pazia!
 
Russia sio Zimbabwe,umesikia Leo kwenye news tokea embargo on Russian oil,Kwa mara ya kwanza UK kaagiza mzigo Toka Russia![emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Kwa hiyo Ile vita anayopigana Ukraine Wala hakuna ghalama yoyote anayotumia.., anatumia rasilimali zilizopo kwenye maeneo aliyoyateka Ili kughalamia vita

Si ndo mnapenda kujifariji hivyo [emoji12]
 
Na ndio lengo la US,vita ichukue muda mrefu yeye aendelee kufanya biashara ya silaha!US kwenye hizo mambo Yuko vizuri,anajifanya anamtetea Ukraine kumbe ana agenda yake nyuma ya Pazia!
Bila hii ajenda ya US ya kutaka vita ichukue muda mrefu Ili yeye azidi kufanya biashara ya siraha.., urusi angekuwa ameshamaliza tayari hii vita kwa kuupindua utawala wa zelensiky ..,huu mpango wa US unamuumiza dikiteta Putin,kwa hiyo Bora aendelee tu
 
Hii kitu in hatari ni drone ndogo zaid kuwah kutumika kwenye uwanja wa vita ,UK wamezitoa mamia kwa Ukraine, hiz drone ni special kwa ajili ya upelelez
Umewasahau wachechnia,Hawa wanapigana mtaa kwa mtaa,,,, Putin kawapa ndege na vifaru wakamwambia we mzee panda mwenyewe unatuchelewesha,,walichodai kwa Putin awapelekee ugali tu.
Mkuu vita za siku hiz ni za masafa marefu ,ni mwendo wa makombora ,artery,drones,ndege ,kavukavu ni hatua ya mwisho kabisa
 

Attachments

  • 1661408072822.png
    75.1 KB · Views: 19
Silaha yoyote ya UK uwa ni moto sana.., maana kwa kiasi kikubwa ni siraha hizi za UK zilizomfurusha urusi Kyiv,
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘Kwako mleta taarifa
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘KwaπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Tazama live makuruta wa kirusi wamedondoshewa bomu limelipuka pembeni lakini majeruhi tayari hawawezi kuendelea na vita hawa.Haya ni yale mabomu wanaitabya mabox tazama uone.

 
Tazama hii makuruta wanakimbia kujificha kwenye makazi ya raia kumbe tuna wazoom wamekula kipigo humo humo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…