Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwahyo hyo parade ni uongo na haipo
We unaamini ule msafara wa kilometer 56 kwenda Kiev uliyeyuka ghafla au unaaminije

Nikwambie kitu mkuu,habari za kusema msafara wa kwenda Kiev ulifikia 56Km habari hizo zinaletwa na western media, walijua wapi kwamba msafara ulikuwa unaelekea Kiev tu, kwa nini mnaamini sana media za wenzetu hawa-yaani mnasahau kwamba hivi sasa actually Urusi inapigana indirectly na mataifa zaidi ya 26 ikiwemo Merikani yenyewe - na yeye ndiye kinara anaye chochoea vita hii - yenye lengo la kutaka kuisambaratisha Urusi kwa kutumia ujinga wa Zelensky na jeshi lake - kitu ambacho Biden na wapambe wake hawatafanikiwa hasilani - na wakiendelea na ujinga wao wakutaka kutishia existence ya Taifa la Urusi basi Wamerikana wajitayarishe to kiss their Nation good bye - sijui niwakumbushe mara ngapi kwamba Russia is not a Banana Republic she's still a super power militarily - nyie as laymen endeleeni kuibeza beza lakini Wamerika wanajua fika uwezo mkubwa wa kijeshi wa Taifa la Urusi, ndio maana hawajiingizi kichwa kichwa kutaka kupigana ana kwa ana na Russia wana watumia mazezeta kama Zelensky kuihujumu Urusi, sijui kwa nini nyinyi hilo hamulioni, kasi kumbeza beza Putin eti jeshi lake si lolote si chochote wameshindwa kuuteka mji wa Kiev as if Putin aliwahi kusema lengo la special operation ni kuuteka jiji la Kiev among other things - uongo mtupu, Putin hakuwa na mpango wa kuuteka wala kukalia jiji la Kiev, alitumia mbinu kupeleka token ya wanajeshi na baadhi ya zana za kivita kama DECOY tu, lakini watu wanabisha tu bila ya kufanya utafiti wa kina, kisa? Media za magharibi zina eneza propaganda kwamba lengo kuu la Putin lilikuwa kuteka jiji la Kiev na kumkamata Zelensky - ulaghai mtupu!!

Labda nimalizie kwa kuwakumbusha kwamba past events ndio YARDSTICK ya kupima uwezo wa kimbinu za kushinda vita - hapa naona baadhi ya JF members wanambeza Putin na jeshi lake kwamba wameshindwa na jeshi la Ukraine yaani hawana habari kwamba jeshi la Ukraine ndilo lilikuwa kubwa kuliko yote barani Ulaya na lilikuwa na zana nyingi za kivita, vile vile kieneo Ukraine ina eneo kubwa sana Barani Ulaya, kieneo inazidiwa na Urusi tu. Mnao sema jeshi la Urusi kwamba linalemewa na jeshi la Ukraine mbona hamsemi jinsi jeshi la Merikani (a super power) lilivyo shindwa na kudhalilishwa na wakulima wa mpunga na wavaa sandals (katambuga) huko VietNam, je, Wataliban jamaa wa marehemu Mulla Omari mwaka juzi walifanya kitu gani mpaka wakafanikiwa kuwatoa mkuku wanajeshi wa Merikani mjini Kabul wakasahau mpaka zana zao za kivita vyenye thamani kubwa, mfano: Ndege mpya tu, Helicopters, tanks na artillery - hilo hamlisemi kazi kuwakandia Warusi tu na Putin - kwani Urusi iliwahi
kulifanyia kosa gani bara la Afrika, actually kama hisingekuwa msaada wao WA silaha na mafunzo ya kijeshi kwa viongozi wa wapigania uhuru, nchi nyingi za Kiafrika zingekuwa bado chini ya Wakoloni wa mataifa ya magharibi, hilo wengi wenu either hamulijui au mnajifanya kulisahau!!
 
Urussi hata akishinda vita ila bado hata weza kuitawala ukraine yatakua ya marekani kwa taliban
 
Kyiv yaanza kupelekewa moto mkali tena 🚀🚀 🚀 🔥🔥🔥 baada ya kupumzishwa kwa miezi kadhaa

SmartSelect_20220825-120119_Chrome.jpg
 
Austria, Belgium, Bulgaria, Croatia, Republic of Cyprus, Czech Republic, Denmark, Estonia, Finland, France, Germany, Greece, Hungary, Ireland, Italy, Latvia, Lithuania, Luxembourg, Malta, Netherlands, Poland, Portugal, Romania, Slovakia, Slovenia, Spain and Sweden!
Hao ni EU Kwa ujumla,mpaka Sasa wametoa Euro bil 2.2, kati ya Euro bil 9!
Humo humo Bado Kuna mataifa ambayo Yako NATO,nayo yametoa silaha na fedha!
Jumlisha US ambaye ndiye kinara!
Details zaidi,tafuta mwenyewe!

Na ni bahati tu Russia hii kaifanya kama operation,anapunguza casualties ndio maana kaenda taratibu!
Angefanya kama afanyavyo US,anamwagilia mabomu na Kisha majeshi ya ardhi ni kwenda kufanya usafi basi kusingekuwa na kitu Ukraine!
Putin mstaarabu sa
Afisa msemaji wa Russia katika ubora wake haahahaa mwaka huu mtapata tabu sana
 
Nikwambie kitu mkuu,habari za kusema msafara wa kwenda Kiev ulifikia 56Km habari hizo zinaletwa na western media, walijua wapi kwamba msafara ulikuwa unaelekea Kiev tu, kwa nini mnaamini sana media za wenzetu hawa-yaani mnasahau kwamba hivi sasa actually Urusi inapigana indirectly na mataifa zaidi ya 26 ikiwemo Merikani yenyewe - na yeye ndiye kinara anaye chochoea vita hii - yenye lengo
Ingekuwa inapigana Directly Urusi isingekuwa nchi sahv
Na ule msafara ulifyekwa lkn
 
mkuu kwa dunia hii asili haisaidii chochote hata ikiwa hivo marekani lazima awatengenezee migogoro ya wao kwa wao itakua kama tigray full vurugu
UKRAINE yenye amani na usalama na jeshi imara nimwiba wa kooni kwa RUSSIA
UKRAINE kheri isitawalike kuliko kutawaluka ikawa na amani halaf mtawala awe pro NATO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • There have been 473 verified attacks on healthcare facilities in Ukraine since Russia invaded six months ago, which have killed nearly 100 people, according to the World Health Organization.
Na bado manina zenu
naona umefurahi kweli sasa unapata faida gani watu wanavokufa
 
Back
Top Bottom