Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

SmartSelect_20220825-134931_Chrome.jpg
 
Nikwambie kitu mkuu,habari za kusema msafara wa kwenda Kiev ulifikia 56Km habari hizo zinaletwa na western media, walijua wapi kwamba msafara ulikuwa unaelekea Kiev tu, kwa nini mnaamini sana media za wenzetu hawa-yaani mnasahau kwamba hivi sasa actually Urusi inapigana indirectly na mataifa zaidi ya 26 ikiwemo Merikani yenyewe - na yeye ndiye kinara anaye chochoea vita hii - yenye lengo la kutaka kuisambaratisha Urusi kwa kutumia ujinga wa Zelensky na jeshi lake - kitu ambacho Biden na wapambe wake hawatafanikiwa hasilani - na wakiendelea na ujinga wao wakutaka kutishia existence ya Taifa la Urusi basi Wamerikana wajitayarishe to kiss their Nation good bye - sijui niwakumbushe mara ngapi kwamba Russia is not a Banana Republic she's still a super power militarily - nyie as laymen endeleeni kuibeza beza lakini Wamerika wanajua fika uwezo mkubwa wa kijeshi wa Taifa la Urusi, ndio maana hawajiingizi kichwa kichwa kutaka kupigana ana kwa ana na Russia wana watumia mazezeta kama Zelensky kuihujumu Urusi, sijui kwa nini nyinyi hilo hamulioni, kasi kumbeza beza Putin eti jeshi lake si lolote si chochote wameshindwa kuuteka mji wa Kiev as if Putin aliwahi kusema lengo la special operation ni kuuteka jiji la Kiev among other things - uongo mtupu, Putin hakuwa na mpango wa kuuteka wala kukalia jiji la Kiev, alitumia mbinu kupeleka token ya wanajeshi na baadhi ya zana za kivita kama DECOY tu, lakini watu wanabisha tu bila ya kufanya utafiti wa kina, kisa? Media za magharibi zina eneza propaganda kwamba lengo kuu la Putin lilikuwa kuteka jiji la Kiev na kumkamata Zelensky - ulaghai mtupu!!

Labda nimalizie kwa kuwakumbusha kwamba past events ndio YARDSTICK ya kupima uwezo wa kimbinu za kushinda vita - hapa naona baadhi ya JF members wanambeza Putin na jeshi lake kwamba wameshindwa na jeshi la Ukraine yaani hawana habari kwamba jeshi la Ukraine ndilo lilikuwa kubwa kuliko yote barani Ulaya na lilikuwa na zana nyingi za kivita, vile vile kieneo Ukraine ina eneo kubwa sana Barani Ulaya, kieneo inazidiwa na Urusi tu. Mnao sema jeshi la Urusi kwamba linalemewa na jeshi la Ukraine mbona hamsemi jinsi jeshi la Merikani (a super power) lilivyo shindwa na kudhalilishwa na wakulima wa mpunga na wavaa sandals (katambuga) huko VietNam, je, Wataliban jamaa wa marehemu Mulla Omari mwaka juzi walifanya kitu gani mpaka wakafanikiwa kuwatoa mkuku wanajeshi wa Merikani mjini Kabul wakasahau mpaka zana zao za kivita vyenye thamani kubwa, mfano: Ndege mpya tu, Helicopters, tanks na artillery - hilo hamlisemi kazi kuwakandia Warusi tu na Putin - kwani Urusi iliwahi
kulifanyia kosa gani bara la Afrika, actually kama hisingekuwa msaada wao WA silaha na mafunzo ya kijeshi kwa viongozi wa wapigania uhuru, nchi nyingi za Kiafrika zingekuwa bado chini ya Wakoloni wa mataifa ya magharibi, hilo wengi wenu either hamulijui au mnajifanya kulisahau!!
We utakua msambaa
 
Upo nyuma sana wewe mwehu mkubwa. Angalia source hii Al Jazeera.

Russia-Ukraine war: August 25 updates [emoji3593]

[emoji837] Follow our LIVE coverage: EU warns Russia to be held accountable for ‘rocket terror’ https://t.co/9XaA9YBIlS


UN’s Bachelet calls on Putin to halt armed attacks on Ukraine​

UN human rights chief Michelle Bachelet has called on Russian President Vladimir Putin to halt attacks on Ukraine and said the Zaporizhzhia nuclear plant must be demilitarised.
Kuleta hoja ni mpaka mtukane watu bila ya kutukana hutaeleweka?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Russia imedungua garimoshi ilokuwa imebeba mzigo wa silaha ulokuwa ukipelekwa huko Donbass kwa makombora ya masafa marefu.

Raia 25 na wanajeshi wapatao 200 wa Ukraine wameuawa.

Marekani na Umoja wa Ulaya wamelaani shambulio hilo na wameliita ni la kigaidi.

Russia says it killed Ukrainian troops in rail attack in Chaplyne​

Russia’s defence ministry says it had killed Ukrainian troops in a railway station attack in central Ukraine that Kyiv said left 25 people, including children, dead.
“As a result of a direct hit by an Iskander missile on a military train at the Chaplyne railway station … more than 200 servicemen of the reserve of Ukraine’s Armed Forces and 10 units of military equipment en route to the combat zone in Donbas were destroyed,” the ministry said in its daily briefing.
Moscow also said it had destroyed eight Ukrainian fighter planes in raids against airbases in Ukraine’s Poltava and Dnipropetrovsk regions. That would be one of the heaviest losses for Ukraine’s air force in recent weeks.

Source: Aljazeera.
 
Kumbe Urusi ni habari sana,kama amepeleka wanajeshi wachache kiasi hicho na bado anatumia zana za kipindi cha Soviet na bado anapeleke moto dhidi ya zana za kisasa za NATO siku akiamua atumie zana za kisasa-hao Ukraine & NATO si watajknyea.
Mkuu nikielewa vema wwengi wanaoangalia vita hii wanahisi, Urusi haina silaha za kisasa za kutosha. Si mantiki kupoteza wanajeshi wengi bila kutumia silaha bora zinazopatikana. Unaonaje?
 
Russia imedungua garimoshi ilokuwa imebeba mzigo wa silaha ulokuwa ukipelekwa huko Donbass kwa makombora ya masafa marefu.

Raia 25 na wanajeshi wapatao 200 wa Ukraine wameawa.

Russia says it killed Ukrainian troops in rail attack in Chaplyne​

Russia’s defence ministry says it had killed Ukrainian troops in a railway station attack in central Ukraine that Kyiv said left 25 people, including children, dead.
“As a result of a direct hit by an Iskander missile on a military train at the Chaplyne railway station … more than 200 servicemen of the reserve of Ukraine’s Armed Forces and 10 units of military equipment en route to the combat zone in Donbas were destroyed,” the ministry said in its daily briefing.
Moscow also said it had destroyed eight Ukrainian fighter planes in raids against airbases in Ukraine’s Poltava and Dnipropetrovsk regions. That would be one of the heaviest losses for Ukraine’s air force in recent weeks.

Source: Aljazeera.
Sasa hivi ni mwendo wa kupiga maeneo kama hayo maana wanajeshi wa maadui (Ukraine) wanajifichamo humo wanajifanya raia. Kumámæ zao
 
[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]Important news for residents of the Kherson region can apply for Russian citizenship from home
This opportunity for people with reduced mobility was provided by the Migration Service and the Department of Labor and Social Protection[emoji91][emoji91][emoji91]
 
aisee ko gharama zote za fedha na wanajeshi kufa lengo ni kushinda tu bila maslahi yoyote kwa urussi kama ndo hivo basi putin ni kichaa

Russia anashikilia maeneo yenye utajiri Ukraine around US $ 12 trillion. Hana hasara kama hujui vita inaendeshwa kupitia hapo hapo Ukraine. Mwaka huu lazma mpasuke
 
mingi ya hii ni misaada ya masharti karibu na sifuri nia hasa ni kumkomoa Putin !! kushindana na mwenzio kila uchao anamwagiwa misaada ya kijeshi lazima uchakae kama si kuchoka hata kama wewe unajiita supa pawa !!
Hivi US kutumia billions of dollars anamukomoa nini Putin? Huoni Kama ni kuzidiwa kwenye uwanja wa vita? Kila mara ana fund mihangaiko ya Zelensky bila mafanikio yoyote kwenye uwanja wa vita.
Hakuna cha ku-recognize kwa US kutumbukiza mabilioni definitely ni kwamba Russia anawatesa vilivyo.
 
Back
Top Bottom