Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Idadi imeongezeka wamefika zaidi ya 200

The Russian Defense Ministry commented on Zelensky's whining yesterday about the "peace train" that was hit by a missile attack.

The echelon with reservists, who were being taken to the front, was hit. More than 200 killed

The blow was delivered by the Iskander. 10 pieces of equipment were also destroyed.
 
" tunafanya uperesheni maalum ya kijeshi kuondoa utawala wa wanazimamboleo"

Mchinjaji anachinjwa Sasa[emoji2][emoji2]
 
Sijawahi on a Taifa lenye propaganda za uongo kama Russia Jana wamepiga kombora kituo cha treni na kuuwa raia 22 ,leo wanasema eti walilenga jeshi la Ukraine ambapo wameuwa wanajeshi 200 ,evidence iko wapi? Mbona Ukraine wakifanya tukio kubwa wanakuja na evidence, Hili taifa la mchongo kina matatizo
 
Hii ni mbinu ya kuwapa malole asikari wake maana wanapata kipigo kizito huko field
 
Marekani (Washington Examiner) yasema kuwa Zelensky aukubali mziki wa jana wa Urusi. Ni baada ya Urusi kula vichwa 200 vya wanajeshi wa Ukraine kwenye shambulio la stesheni ya treni na pia kuwanywa jumla ya wanajeshi 700 wa Ukraine kwa siku moja pekee ya jana. Zele asema atalipiza kisasi 🤣🤣😂😂😇😇😇

Mwambieni Zelensky aache 'kuota njozi za mwehu...anaota eti kapona ukichaa, halafu asubuhi anaamlia jalalani'
=======

SmartSelect_20220825-165221_Chrome.jpg

SmartSelect_20220825-154548_Chrome.jpg

SmartSelect_20220825-115508_Chrome.jpg
 
Najiuliza Puttin kuongeza wanajeshi 137,000 ni ishara gani?
Mbna jamaa wamelieka wazi
Wamesema watachukua wanajeshi hasa kwenye maeneo walio yakomboa
Niishara kwamba maeneo yaliobebwa tokea UKRAINE yashakua sehemu ya RUSSIA hata kabla ya REFERENDUM
RUSSIA kamatia hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom