Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Anawatafuta wenzake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20220825_172915.jpeg
 
Mkuu sijui uelewa wako wa masuala haya ni wa kiwango gani-samani lakini.

Ni hivi mkuu,uwezi kuteketeza msafara wote huo kwa kutumia askari mmoja mmoja wa miguu aliye beba Javelin na anti tank nyingine zilizo undwa Urusi ambazo Waukraine bado wanazitumia - itakacho fanikiwa ni lucky shot ya kulipuwa kifaru/APC moja au mbili hivi basi, infantry wanavizia tu wakiwahiwa wanauwawa na wanajeshi wengi wa kukodi kutoka Ulaya na Merikani wamesema hawakuwahi kukutana na wanajeshi wa Urusi wanao tembea kwa miguu, wengi wa wanajeshi wa Urusi wanatumia magari ya vita na vifaru kusafiria mpaka robot zinatumiwa na Warusi kuondoa mines etc.

Narudia kuwakumbusheni kwamba uwezi kuteketeza msafara wote huo kwa kutumia askari watembeao kwa miguu wala artillery - uwezi, sana sana utaharibu viwili vitatu basi hata drone ina uwezo wa kulipua kifaru kimoja tu, hata hivyo kumbukeni Russia ilikuwa inatembea na Pantsir air defense system 24X7 ya ku-deal na drones zinazo undwa Utruki - ndio maana tulikuwa tunaona kifaru kimoja au viwili vikilipuliwa vikiwa barabarani wala havikuwa kwenye msafara.

Having said that, je, unaweza kutumia mbinu gani kuangamiza misafara mirefu ya magari,APC na vifaru - jibu ni: mbinu za ku-kuteketeza convoy ni kutumia Air Force specifically Chopper gunships (American Apache or Russian Mil-24) au tank busters kama(American A-10 tank buster equipped with Gantling machine gun or Russian SU-24 flying tank) ni nyenzo hizo peke yake zenye uwezo mkubwa wa kufyeka misafara ya kijeshi, mara nyingi katika operations kama hizo helicopter/ndege hizo uanza kuteketeza kifaru/gari la mwanzo kwenye msafara ili msafara usimame, wanateketeza kifaru/gari la mwisho ili msafara husirudi nyuma, wanateketeza kifaru/gari la katikati ya msafara kuwachanganya akili askari wanao endesha msafara, na mara nyingi askari hao ufungua milango na kujaribu kukimbia kwa miguu ili wajinusuru sasa hapo ndipo umalizwa na machine gun za helicopter gun ships au machine gun za A-10 au SU-24. katika hilo msafara mzima ulazimika kusimama hawana jinsi - hapo ndipo helicopters gunship uteketeza vifaru/magari moja baada ya nyingine hakuna kinacho salimika si vifaru/magari wala askari vyote vinafyekelewa mbali - Ukraine hawakuwa na uwezo kama huo kutokana na Airforce yao kuteketezwa na jeshi la Urusi mwanzoni mwa vita hii, picha nyingi na video clips zinazo onyeshwa na jeshi la Ukraine na watu wengine kwenye mitandao ni fake tu na nyingine actually ni vifaru vilivyo teketezwa na jeshi la Urusi na kwa kuwa zana nyingi za kivita Nchni Ukraine ni vya enzi za Kisoviet hivyo ni rahisi kudagayika, sisemi Warusi hawapati hasara na kupoteza maisha lakini habari nyingi zinazo tolewa na Jeshi la Ukraine niza kugushi tu ili kuonyesha Dunia kwamba wana uwezo wa ku-tame jeshi la Urusi ili waendelee kupatiwa misaada ya hali na mali.
Watu humu,nimekua nikiwaambia mda mrefu,hakuna msafara wa Urusi ulioshambuliwa,zile ni video game TU na picha za kutengeneza.
Habari za kutetektezwa msafara kama Ingekua kweli media zote za west zinheonesha mwaka mzima.
Misafara ile ilikua mirefu mno yenye askari wenye kila zana,hivyo wangeweza kujibu mapigo kikamilifu na kuomba msaada kutoka nje ya eneo la tukio.
Hapo pangekua na mapigano makali ya siku mbili.
Kumbuka wale hawakua wanatoka kwenye mazoezi kusema kwamba wengine walilala usingizi.
Kijeshi Kila askari anashika zana yake ya kazi na Yuko macho masaa yote.
Kwamba wamepigwa bila hata kurusha hata risasi moja?
Kama ulivyosema ni lazima gari za mwanzo zipigwe ndipo wapige gari ya mwisho.
Ukichelewa kidogo tu kupiga gari ya mwisho watapata taarifa kwa sababu ya milio ya mabomu ndipo watatola na zana zao na kuanza mapambano.
Hakionekani kitu hicho.
Ule msafara ulitoka kusikojulikanana kuenda kusikojulikana.
Sanasana kuimarisha ulinzi kwenye maeneo yenye raia wenye asili ya Urusi huko Donbas.
 
South Korea kampigia magoti Urusi akaisaidie South Korea kujenga mtambo wa kufua nishati ya nyuklia nchini Egypt. Ktk kufikia hilo South Korea imempatia Urusi dola za kimarekani bilioni 2.25.

Urusi ni kama maji, US/NATO et al. hawawezi kuyakwepa maji (Urusi)...wasipoyanywa watayaoga, wasipoyaoga watayapikia, wasipoyapikia...
======

SmartSelect_20220825-180106_Chrome.jpg
 
KUPITIA UZI HUU NAPENDA KUWAAMBIA VIJANA MUACHE PUNYETO INALEMAZA AKILI
.
KUNA MPIGA PUL HUMU MWANZO ALIKUA VIZURI ILA KADRI SIKU ZINAVYOENDA AKILI ZINAMWAGIKA NA MABAO YA BAFUNI NARUDIA TENA
VIJANA ACHENI PULI
.ACHENI PULI
.ACHENI PULI
.ACHENI PULI
.ACHENI PULI

.
USIKU MWEMA NDUGU ZANGU
Mtaje usimuogope
 
I'la mwanangu una Moyo Sana kubaki huko kwenye Upro_ US..
Wahuni huko wanazidi kutandika fimbo nzito ardhi inazidi kutemwa na ndivyo ardhi hiyo inavyozidi kukaribia kuitwa Russian Federation.
Slava Ukraine.
Kawaida yake huyo hata shuke alikuwa upande wa kushindwa always
 
Wakati vita inaanza hawa walisema Urusi inakqbiliwa na uhaba wa chakula na wamebakiza reserve ya siju tatu tu huko vitani. Cha ajabu leo ni mwezi wa sita na vidume bado vinasonga mbele next stop maykolaiv.

Wanajeshi wa urusi waliovitani (deployed) Ukraine hata 300k hawafiki alaf ss hv uje useme wana uhaba wa wanajeshi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ushangae na wewe
 
Nachojua hii vita imejaa propaganda nying sana ,siyo kwa Russia wala Ukraine ,vita vya nowdays vya kimama sana ,vita ni vile vya majambia na mashoka yaan ingekua ni zaman ungekuta ndani ya wiki vita vimeisha ,na mbabe keshaonekana.
Nowadays yaan had inaboa ,mkono unatakiwa upigwe fasta ,mambo mengine yaendelee,tunachoshana tuu ,mara tumetungua helkopta,mara tumelipua Himas ,mara tumelipua ghala la silaha ,upuuz mtupu
Kama ottoman empire walivyokuwa wanafanya
 
Back
Top Bottom