Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

super power
FawTjPOUIAAM_8r.jpeg
 
The murder of Dugina is solved, the main thing ( source Ria news)
-Ukrainian special services are behind the murder -

Suspect - citizen of Ukraine Natalia Vovk, born in 1979 -

She arrived in Russia on July 23 with her daughter Sofia Shaban
Tusome uzuri hii vita inavyoenda, wengi wanabashiri Russia kuchukua hatua kali kujibu mapigo.

Lakini Russia wanafahamu kuwa huu ni mpango wa majasusi wa Ukraine na wale "handlers" wao |(jina kapuni).

Hivyo hiii ni provocation au uchokozi uloandaliwa na Marekani ili Russia ajibu jambo ambalo Putin na majasusi wake bado walifikiria ila yasemwa kuwa dawa imepangwa igawiwe Jumatano.

Russia si wajinga wanafahamu nani amefanya hivyo na amesaidiwa na nani na sasa yupo Estonia nchi ambayo ni mwanachama wa NATO.

Russia imetaka extradition lakini Estonia haiwezi kutekeleza hilo na Russia haiwezi kuchukua maamuzi ya haraka.

Tusubiri jumatano kwenye sherehe za uhuru wa Ukraine.
 
Ukraine itafurahishwa siku hio.
 
Humu wengine wanatoa point wengine wanatukanana ,unafikiaje point ya kumtukana mwanajamii forum mwenzako kisa ushabiki wa vita ,ukute mtu hata mlio wa bastola hajawah sikia ila utamsikia akikazania mara himas ,mara hypersonic missile,S -400, tufanye hoja za kistaarabu siyo mtu unakuja huku na mahasira yako kwani Ukraine au Russia wakishindwana itakuongezea nini .
 
The American side last week turned to Russian Ambassador to Washington Anatoly Antonov with a request to transfer full control over the Zaporozhye nuclear power plant to Ukraine, EFE reports with reference to the US State Department
Hii Zaporozhye Nuclear Power Plant ina Supply 50% ya Electricity needs ya Ukraine yote pamoja na baadhi ya nchi za ulaya.

Kinachoogopwa hapa Ni kwamba, Russia wameshaanza ku engineering process ya ku disconnect power supply kutoka kwenye main grid ya Ukraine.

Wanasema hii hatua Ni hatari Sana hasa kipindi hiki wanapoelekea kwenye majira ya baridi. Wa Ukraine wengi watafia majumbani kwa kukosa heating.
 
Kazi iendelee

Dzerzhinsk (Troitsk) and New York
The most powerful battle is underway, the Allied Forces are delivering the most powerful blows to the positions and infrastructure of the Armed Forces of Ukraine.There is an assault on these settlements!!!Local residents are sitting in basements, very loudly, this has not happened yet, they report.The Allied Aviation is very active, both Army and Assault.The Allied Artillery works almost non-stop... 🚀 ✈️ 🚁
 
Kuhusu China sio inawezekana bali ni uhakika. Kuna picha nimeona ni ya satellite China yuko anajenga destroyers tano kwa wakati mmoja kwenye shipyard moja. Hii sio hali ya kawaida kabisa, kuna vita inaandaliwa miaka michache ijayo
In the next decade lazima tu amshambulie Taiwan
 
Atsema nimaoni kama yawengine
Halaf yakwake yeye ndio fact eti
Jamaa hua ananiacha hoi kusema kwamba tunaikuza RUSSIA utadhani sie ndio tumei rank kuieka hapo ilipo nyuma ya huyo US
Hao wanao ama waliom rank RUSSIA hapo hawajui lolote ila bwana yule anajua vyote
Atapingana na huyo bwana acha tuone hem!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Da aisee,umeniambia kitu ambacho kweli sikukiwaza.
Ukweli ni kwamba Pro NATO wengi husema Russia is overrated,lkn kwa mujibu wa data za upendeleo za west huiweka Russia kama namba mbili nyuma ya USA.
Ingawa Mimi kijeshi Russia ni namba moja.
Wao wanaangalia bajeti.
Ukweli bajeti ya ulinzi ya USA ni kubwa,na sababu za ukubwa tumeshazitaja humu mara kadhaa.

Hebo ona hii,USA imetumia Hela nyingi mno kuisaidia Ukraine kuliko kiasi ilichotumia NATO kuipiga Yugoslavia.
Kama USA ni machampioni kweli kwa Nini hawaisaidii Ukraine kwa mtindo walioisaidia Kosovo?
Yaani waingize majeshi kabisa?
Kwa sababu kipigo wanachokitoa Warusi kwa Ukraine ni kikali na kikubwa kuliko wa Serbia walichowapa wakosovo.

Mwamba haya ya NATO kutoingiza majeshi hayaoni,lkn Syria na Libya Afghanistan,Iraq waliingiza.
Mwamba sio mchambuzi huru Tena,heri yetu sisi tuliochagua upande mapema.
 
Mastress ya ewura yamemvuruga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila jamani tuache utani Zele kajazia kichiz, cheki mkifua,
View attachment 2331656
nimeshajua kwa nini alikuwa anataka meeting face to face na nduli Putin, manina angemsukumia, na kumbana kende na ile meza yake ndefu.
View attachment 2331661

Maagent njeee ya chumba cha mkutano wangesikia tu kubooom, DOSTOVANNYA.
Unamjua Putin vizuri wewe?
Uyo baladhuri wako angevunjwa viungo halafu wala walinzi wa Putin wasingejua kama Bosi wao keshaua.
 
Back
Top Bottom