Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huwezi toa kill to ratio hizo maana unaogopa. Huwezi ziweka hapa zitaprove point yangu ya superiority ya ndege za Mmarekani dhidi ya Mrusi. Vita zote ambazo Israel imepigana na Waarabu walikuwa na peer to peer competition ila Waarabu walipigwa. Battle ya Soviet pilots na ndege zao wenyewe kwenye anga la Egypt dhidi ya ndege za Israel napo Soviets walipigwa. Soviet ilikuwa inadunguliwa helikopta zake na Mujahideen pale Afghanistan mpaka ikatimua mbio ikawaacha. Russia haijawahi kutana na jeshi la maana pia, sio Georgia, Syria wala wapi.

Ukraine hii hapa ina Su-27 Mig-29 ila Russia haipeleki ndege zao kwenye anga lake. Sembuse Marekani alete F-22, F-35 na hizo 4.5th zilizobaki.
Ok .
 
Ameitaka imfikie na wala sina kawaida hiyo labda mtu anianze kwanza.

Sasa kumuambia kwa ustaarabu yeye alishindwa mpka atoe kauli kali?


Kuhusu suala lá msongo wa maisha hunijui sikujui kwa hiyo fanya kinachokuleta kwenye jukwaa.

Ninauwezo wa kukuhudumia na família yako yote kwa maisha yako yote.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Boss kuubwaaa msaidie TU.. kikubwa atume namba. Bila shaka.
 
Back
Top Bottom