Kwa vijana wa miaka ya 90 Russia anafanya Op Ukraine, anatoa msaada wa kijeshi Mali Syria , anafanya mazoezi ya kijeshi na washirika wake , Ligi za mpira kama kawaida , Anawaza kujenga miundombinu na huduma za kijamii maeneo anayoteka , Anaruhusu muuze grain zenu . Anazindua vifaa vya kijeshi na anasema ataanza kuvitumia miaka kadhaa ijayo . SASA kama upo matured utajua huyu Russia ndio anaamua mwendo wa vita. Fikiria ndani ya siku chache alishaizingira Kiev. Summy , Chemihiv Kherson alishateka . Maana yake ni kwamba Russia anataka tu kuangamiza wanajeshi na vifaa vya Ukraine kwa kuwasubiri yeye akiwa kapaki basi na kupunguza madhara mpaka Ukraine alegee . Russia sio wa kushindwa kuichukua Kherson au Summy. Russia hawezi sumbuliwa na maeneo aliyopakana nayo never . Gharama za hii vita zinajilipa huko kusini mashariki .Niliandika wiki iliyopita 30,% Nimeandika juzi Oddessa Moldova man who sees tomorrow
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Nakazia Tena [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Military convoys kutoka america mzigo ushaingia Ukraine kipigo bado kibichi kabisa ngoja tuone super power atakavyonyooshwa
Si kila air defence system ni anti missile. Nimesema Ukraine hana anti missile system kama unavyoona South Korea na Japan wana THAAD ya Marekani. Hizo Buk na S-300 alizonazo Ukraine sio specifically anti missile ni air defence tu. Ukraine amepewa Gepard na Ujerumani nayo ni anti aircraft gun. Marekani alipanga kutuma medium range system aliyoshirikiana na Sweden kuitengenezaHivi Ukraine haijapewa air defense system kutoka NATO ?
Wakilazimika kuripoti ujue hali ni mbaaya sanaUkiona vyombo vya habari vya magharibi vimenyamaza kuripot, ujue hali ni mbaya na ni ya aibu
Nakazia [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Milipuko mingine imetokea leo kwenye Daraja la Antonovsky limepigwa na Himars na kukatika vipande viwili.Wanaita Key Supply bridge ya kherson.Tazama Source 3 tofauti nimewawekea mbili ni youtube video game[emoji38][emoji38][emoji38]
View attachment 2331532View attachment 2331533
kumbe Zelensky hua anadanganywa kwamba anapewa silaha alafu hapewi maskini,Hadi huruma,hili alimwambia Erdogan [emoji1787][emoji635]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh! Kumbe urusi ndo alikuwa analifanyia matengenezo, alafu jamaa wakapita nalo Tena [emoji41]Milipuko mingine imetokea leo kwenye Daraja la Antonovsky limepigwa na Himars na kukatika vipande viwili.Wanaita Key Supply bridge ya kherson.Tazama Source 3 tofauti nimewawekea mbili ni youtube video game[emoji38][emoji38][emoji38]
View attachment 2331532View attachment 2331533
Huwezi toa kill to ratio hizo maana unaogopa. Huwezi ziweka hapa zitaprove point yangu ya superiority ya ndege za Mmarekani dhidi ya Mrusi. Vita zote ambazo Israel imepigana na Waarabu walikuwa na peer to peer competition ila Waarabu walipigwa. Battle ya Soviet pilots na ndege zao wenyewe kwenye anga la Egypt dhidi ya ndege za Israel napo Soviets walipigwa. Soviet ilikuwa inadunguliwa helikopta zake na Mujahideen pale Afghanistan mpaka ikatimua mbio ikawaacha. Russia haijawahi kutana na jeshi la maana pia, sio Georgia, Syria wala wapi.Mig 29 na su 27 Ni Fourth mkuu.
Kumbuka katika 1990 gulf war third generation interceptor ( foxbat) ilidungua fourth general F 18..
Kuhusu ndege ya kirusi yenye air to air kill nyingi Ni mig 21 katika Vietnam dhidi ya f 4..
Nb.
Air to air kill za Eagle ( f15) Ni dhidi ya ndege dhaifu kabisa third generation za kisoviet.
Lakini pia Kuna loss kadhaa wa kadhaa za eagle ambazo Wamarekani hawajai kukubali( si lazima kukubali)
Nb.
Katika Vietnam US ilipoteza ndege 5000+ ikiwemo ile wiaiitayo stratofotress B 52.
Hii inamaanisha walikua dhaifu Sana?
Air to air confrontation ya US made aircraft dhidi ya adui ilitokea katika kipindi ambapo adui ana silaha dhaifu eg ndege..mfano katika air to air confrontation katika Iraq 2003 state of the art f15 block C na F 16 block C ilikutana na Iraq 's mig 29 block A ambazo pia zilikua chache..
Ni Kama Leo ambavyo Ukraine's su 27 zimeshindwa kabisa air to air war dhidi Russian Su 35..
Tofauti yake Ni moja su 27 ya Ukraine Ni less Superior dhidi ya state of the art Su 27 E ( su 35)
Lakini pia haijawahi kutokea Us ikakutana na adui mwenye nguvu katika air confrontation zaidi ya Vietnam.
Wengine wote mdebwedo.
Gepard inatumika kulinda mji mkuu Kyiv tu, Sweden walitumia zile missiles za kutungulia meli harpoon nadhani.....Si kila air defence system ni anti missile. Nimesema Ukraine hana anti missile system kama unavyoona South Korea na Japan wana THAAD ya Marekani. Hizo Buk na S-300 alizonazo Ukraine sio specifically anti missile ni air defence tu. Ukraine amepewa Gepard na Ujerumani nayo ni anti aircraft gun. Marekani alipanga kutuma medium range system aliyoshirikiana na Sweden kuitengeneza
Anadai anazo ila hazikuweza hata kuizuia Bayraktar TB2 drone. Baadae wakafunga Tor land based air defence system kwenye corvette yao moja, lile lori lake wakaweka kwenye deck ya meli! MaajabuGepard inatumika kulinda mji mkuu Kyiv tu, Sweden walitumia zile missiles za kutungulia meli harpoon nadhani.....
Ina maana Russia hana anti missiles defence systems za kwenye meli ?
Video tunazo. Propaganda kaa nazo wewe, sisi video tunaziona kabisa ila wewe unatuletea mwandishi na maoni yake
Ukraine haijasemwa kama ina Harpoon. Na bado Harpoon ni za zamani ila kwa Urusi hii itazichakaza hata Ufaransa ikileta zile Exocet za tangu Falklands war bado Urusi itaficha meli zake out of rangeGepard inatumika kulinda mji mkuu Kyiv tu, Sweden walitumia zile missiles za kutungulia meli harpoon nadhani.....
Ina maana Russia hana anti missiles defence systems za kwenye meli ?
Wewe mwenye akili si useme tuone hizo akili zakoMbona kadri siku zinavyozidi kwenda unakuwa mjinga mjinga