Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tazama live wanajeshi wa super power walivyo surrender leo hii hata nguvu za kukimbia hawana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waje waseme hii game gani???

Watasema ni video game [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tazama live wanajeshi wa super power walivyo surrender leo hii hata nguvu za kukimbia hawana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waje waseme hii game gani???

Super pawer anadharirishwa huyu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ndiyo, wala hawaogopi kusema ukweli kwa kuwa wanajiamini - maroketi au ma-drones yanayo wasumbua wanayafatilia kwa karibu na baadae kupata ufumbuzi jinsi ya ku-deal nayo, mfano: Drones za Ukraine zilizo kuwa zinanunuliwa huko Uturuki, mwanzo zilikuwa tishio kwa zana za kivita za Urusi lakini mwishowe wakajulia jinsi ya kuzidhibiti - siku hizi hazisikiki tena zinatunguliwa kwa kasi na SAMs za Pantsir mpya, hata HIMARS rocketi zake siku hizi zinakuwa intercepted na kulipuliwa na
Hebu tupe kidogo kauli ya mojakwamoja kutoka urusi aliyokiri baada ya kushambuliwa.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Let’s talk about the daily attacks on Crimea.

The Ukrainian military attempts to “strike” Crimea multiple times a day using various drones, usually rigged with explosives, sometimes not rigged with anything.

All of them are unsurprisingly shot down. Crimea is a fortress. Crimea’s Air Defence umbrella is extremely good, you can go as far as calling it the best in the world. At the moment, there’s no other place on earth as heavily defended from air attacks (other than Russian mainland) as Crimea. However, it is extremely easy to get cocky and forget that no air defense system is perfect & every air defence system can be penetrated. This is a mistake many analysts make, they assume Crimea is untouchable. - it is not, it never will be.

These “meaningless, desperate” drone “attacks” by Ukraine are not actually meant to cause damage, they’re meant to find holes in Russia’s air defences — under strict NATO watch. Americans and Brits observe every interception by Russian Air Defence systems in Crimea. They are clueless about Russian Air Defences in a combat setting. Russia’s domestic systems are only showing their true capabilities now.

Every interception gives them more data and more information on how to break it. Ukraine is doing this for 2 reasons:

1. Domestic propaganda

As Ukraine fails to gain any success on the front lines, launching drones at the “occupiers” make headlines every single time in Ukraine. The regime supporters rejoice, Zelensky looks strong and determined.

2. NATO orders

Let’s not forget that the US, EU & UK are not providing “help” to Ukraine. They are lending them money, with interest. Every bullet and weapon has its tab. This will take decades to pay back. — in turn, the Americans want data. They want a lot of data. They want every piece of data they can get. Data on Russian missiles, air defence systems, operational structure, Russian gear and especially, russian radars and their capabilities.

This shows that NATO is simply clueless about Russia’s Air Defence capabilities, even when we’re talking about Pantsir S1 and Buk M1, as well as the S300. The domestic versions of these systems differ drastically from the export versions we saw in action in the Syrian war and elsewhere.

There’s no doubt in our minds that they will figure out a way to break the Crimean AD umbrella, but it will be short lived. While these systems can be overwhelmed, they cannot be overwhelmed to a large extent unless they are destroyed.

Russia is not using any of its newest systems to intercept these drones, they are using the domestic variants of systems we already saw working in Syria and in other conflicts — but those were all the export variants. Russian domestic systems are clearly much, much more capable than their export variants. When Ukraine and NATO figures out how to effectively overwhelm the current umbrella, Russia has another 3 generations of systems that NATO has never seen in action before.

The systems fielded by NATO are still behind the S1, M1 & S300 in every aspect. 3 generations behind.

Air Defence is Russia’s strong suit and always has been, but don’t assume that Crimea cannot be hit, that is simply stupidity. It will be hit, it is just a matter of time.

T.me/asbmil
@The 13
T14 Armata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
US kununua silaha ya adui sio ajabu. Mbona alinunua Atlas Cheetah za South Africa? Kwahiyo nao waamini ndege zao ni hatari sana ndio maana US alizinunua. US aliwahi ipata Mig-25 Foxbat iliyokuwa inasifiwa mno na Soviets ila akaja gundua ni kubwa jinga na halina tishio lolote ndio maana hata SR-72 Blackbird haikuziweza. Ndege haikuwa hata na look down-shoot down.

US ana HIMARS zaidi ya 400 ila kapeleka jumla ya 16 kwa nyakati tofauti na Warusi wanateseka nazo. Su-27 ni 3rd generation, Mig 29 ndio fourth ila tafuta kill to loss ratio ya hizo ndege uone. Unajua kuwa McDonnell Douglas F-15 ina air to air kill ratio ya 108 to zero, yani kwenye engagement ambazo imekutana na ndege za adui angani na most of them ni Russian imedungua ndege 108 bila kudunguliwa hata mara moja. Tafuta ndege ya Urusi inayokaribia rekodi hiyo.

Kwani hizo ndege si walikuwa nazo Iraq, Syria, Egypt na wengine. Hata sasa si tunaziona hazipati air superiority kwenye anga la Ukraine.
Mig 29 na su 27 Ni Fourth mkuu.
Kumbuka katika 1990 gulf war third generation interceptor ( foxbat) ilidungua fourth general F 18..
Kuhusu ndege ya kirusi yenye air to air kill nyingi Ni mig 21 katika Vietnam dhidi ya f 4..
Nb.
Air to air kill za Eagle ( f15) Ni dhidi ya ndege dhaifu kabisa third generation za kisoviet.
Lakini pia Kuna loss kadhaa wa kadhaa za eagle ambazo Wamarekani hawajai kukubali( si lazima kukubali)
Nb.
Katika Vietnam US ilipoteza ndege 5000+ ikiwemo ile wiaiitayo stratofotress B 52.
Hii inamaanisha walikua dhaifu Sana?
Air to air confrontation ya US made aircraft dhidi ya adui ilitokea katika kipindi ambapo adui ana silaha dhaifu eg ndege..mfano katika air to air confrontation katika Iraq 2003 state of the art f15 block C na F 16 block C ilikutana na Iraq 's mig 29 block A ambazo pia zilikua chache..
Ni Kama Leo ambavyo Ukraine's su 27 zimeshindwa kabisa air to air war dhidi Russian Su 35..
Tofauti yake Ni moja su 27 ya Ukraine Ni less Superior dhidi ya state of the art Su 27 E ( su 35)
Lakini pia haijawahi kutokea Us ikakutana na adui mwenye nguvu katika air confrontation zaidi ya Vietnam.
Wengine wote mdebwedo.
 
South Ossetia si ni kama jimbo tu. Na sikusema haikushinda ila ilikuwa na performance mbovu sio level za kupigana na NATO. Russia ligi zake ni kupigana na jirani mwenye population ya watu milioni 20 hivi na uchumi mbovu. Chechnya ambalo ni eneo la ndani lilipigwa, hiyo hata Tanzania tunaweza. Georgia ukubwa wake unazidiwa na Tabora, kwahiyo superpower wenu mlimpa vyeo kisa kaipiga nchi inayozidiwa na Tabora? Maajabu!

Russia level zake ndio hizo. Haina maajabu kwenye mataifa yenye nguvu
Pole mkuu
 
Air defence system gani za Ukraine zimefeli. Ndege za Urusi ziko wapi mbona hatuzioni angani.
Ukraine haijapewa anti missile system ila Urusi ina makopo ya chuma inasema ni anti missile system wakati hayawezi kuzuia matoy ya Alibaba yanayouzwa kienyeji chini ya milioni 7 TZS. Unafanya online ordering unapata unaenda kushambulia hadi air bases na HQ ya jeshi.

Hiyo Poseidon underwater drone unayosema bado ipo kwenye testing. Ila ni kama kawaida ya silaha za Urusi, si tuliambiwa S-400 ni hatari. Ziko wapi sasa

Ukinionyesha lini HAMAS ilishambulia submarines za Israel nipigwe banView attachment 2330953
Israel sio Russia ambayo unajipigia kwa Alibaba products
Hivi Ukraine haijapewa air defense system kutoka NATO ?
 
Kwani nimekwambia nitakutisha?

Mbona huelewi kinachoandikwa na kila siku unaandika magazeti yasio na maana ili kujifurahisha.

Nimekwambia ushike adabu yako na adabu ikushike.



Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Lugha yako Si ya kistaarabu. Jitahidi kustaarabika msongo wako wa maisha usilete humu.
 
OFFICIAL: Ukrainian Secret Services Behind Dugina Murder in Moscow - Here's what [emoji635] FSB has established:

Killer was Ukrainian national who entered Russia last month - now on the run abroad:

[emoji3502]Suspect is Ukrainian citizen Natalia Vovk
[emoji3502]Arrived in Russia on July 23 with daughter Sofia Shaban
[emoji3502]Rented apartment close to where Dugina lived in Moscow to spy on her
[emoji3502]Used Mini Cooper with three different number plates - licenses from Donetsk, Kazakhstan & Ukraine
[emoji3502]Vovk & her daughter attended festival where father Aleksandr Dugin was speaking
[emoji3502]After deadly controlled explosion they fled through Pskov in western Russia to Estonia.

Huyu ata kufa soon. Now, Ukraine wameanza u gaidi siyo vita.
 
Urusi yaendeleza mashambulizi ya makombora Ukraine

Russiche Hyperschallrakete Kinzhal

Vikosi vya Urusi vimeendeleza mashambulizi katika maeneo kadhaa ya Ukraine, huku Rais Volodymyr Zelensky akionya kuhusu uwezakano wa mashambulizi makali kabla ya maadhimisho ya miaka 31 ya uhuru wa Ukraine.
Katika taarifa yake ya kila siku Mkuu wa majeshi ya Ukraine amesema vikosi vya Urusi vimesababisha uharibifu kutokana na mashambulizi ya makombora katika jimbo la Bakhmut lililoko mashariki mwa Ukraine, huku roketi kadhaa zikirushwa kwenye maeneo ya makaazi ya Soledar, Zaytseve na Bilogorivka.

Mashambulizi mengine ya makombora yamefanyika kwenye eneo la Nikopol, mji ulio karibu na Zaporizhizhia, ambako kuna kinu kikubwa kabisa cha nishati ya nyuklia barani Ulaya.

Mashambulizi yasababisha kukatika umeme Nikopol​

Gavana wa jimbo la Dnipropetrovsk amesema Nikopol imeshambuliwa kwa makombora katika matukio matano tofauti. Amesema roketi 25 zimeushambulia mji huo na kusababisha moto mkubwa katika eneo la viwanda na kuchangia kukatika kwa umeme unaotumiwa na wakaazi 300,000.

Aidha, mwishoni mwa juma lililopita makombora pia yalishambulia karibu na bandari ya Odesa iliyoko katika Bahari Nyeusi.
Urusi kwa upande wake imesema makombora aina ya Kalibr yameharibu ghala la silaha lililokuwa na mifumo ya kisasa ya makombora yaliyotengenezwa na Marekani aina ya HIMARS kusini mashariki mwa jimbo la Odesa.
 

Attachments

  • Screenshot_20220822-180604_Facebook.jpg
    Screenshot_20220822-180604_Facebook.jpg
    157.2 KB · Views: 26
  • Screenshot_20220822-180326_Facebook.jpg
    Screenshot_20220822-180326_Facebook.jpg
    246.2 KB · Views: 28
Back
Top Bottom