Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa kama hamna mshindi Kwa akili yako unafikili Russia yupo tayari kupotea maana Sheria ni mmoja tu ukitumia na wewe unatumiwa Kwa hoja iyo.afu kama Russia aliba U.S Tencholojia Nuklia unafikili wenye Nayo wamefika nayo wap.licha hayo matecnolojia mnayo ipamba nayo Russia Yana ipact Gani kwanye maendeleo ya Dunia zaidi ya kutishia watu Huku kwenye action Russia Inabwera tu huko Ukraine

Una evidence kwamba US alikua ana tech ya nyuklia peke yake? Na hio tech Russia aliiba lini??
 
Russia alisema Finland na Sweden zikijaribu kujiunga NATO anazivamia. Yuko wapi sasa?
Kaishia kujadili Waziri Mkuu wa Finland aliyekuwa anacheza mziki. Yani kutoka kutishia kuvamia nchi mpaka kulalamika PM wao kucheza mziki. Aibu gani hii

Huyo mbunge aliyesema ndio standards za kijeshi duniani. Kwahiyo mbunge wa Ulaya akisema kitu unafuata kisa mbunge. Hata Babu Tale ni mbunge bwana
Alisema Lin Acha kulisha watu matango Pori uku alitoa Lin tamko la kuzivamia izi nchii au unabwabwaja tu
 
Wewe ndo chizi kabisa sijui mama yako alikuzaa vipi.unaona nimeandika nini hapo.au ujui kusoma
Kwanza shika adabu yako na adabu ikushike. Sikufumbua mdomo wangu kukutakunaka kabla.

Mama yangu alinizaaa niwepo hapa nilipo.

Kama unaona amekosa kunizaa jipige dole lá vutu halafu nusa dole lako uvute harufu.

Mjinga mmoja nyie ndio mnaosikia mamazenu wako chumban na babayako na kutoka nje kwenda kuutangazia umma.

Endelea na matusi yako kwa kuwatukana watu wasiokutukana kabla.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Vip kama wanachama wenzie wame mtuma Ili wazisome?

Hahhaa hii unaonesha jinsi ulivo mweupe kichwani. Kama S-300 iliwashinda kuisoma mtaweza S-400?? Russia anajiamini na silaha zake. Sio kama yule shoga yenu US analiyesema ndege zake F-35 ni stealth maajabu S-300 ikaifanya yake. Kumbuka S-300 ni enzi ya soviet[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiitoa USA hakuna inchi inayoweza kuipiga Ukraine katika muungano wa nato walichemka Afghanistan katika ground battle. Unadhani ujerumani kwa sasa inamsuri hata wa kuipiga serbia? Nato ni USA wengine hamna kitu

Ndo
Kwa afganistani hakuna wa kumcheka mwenzie hata Russia name alikmbia mbona.
 
Kama sio ushujaa marekani na washirika wake wangekuwa wa kwanza kuliangamiza ili kundi.ila walichemka mpaka mzee wa kazi akaingia mzigoni
Hata Uturuki ilipigana na PKK na Peshmerga. Hata India ilipigana na makundi ya magaidi kutoka Pakistan tena ikawafuata ukouko kwao kwenye mission ngumu. Russia kutumia dumb bombs kupigana na ISIS sio jambo la ushujaa wa superpower. Waasi wanaotegemea kuiba silaha na kuziteka kwa jeshi la Syria ni hopeless kwa jeshi la nchi inayojielewa. Na Marekani sio mshirika wa Syria, sio lazima Marekani iitetee vile. Hao ISIS hawakuwa na uwezo wa kusogea Iran, Turkey au hata Pakistan.

Mbona hata Ukraine imepigana upande wa serikali ya Libya dhidi ya Khalifa Haftar aliyekuwa na support ya Russia ila Turkey ikapata gains
 
Russia alisema Finland na Sweden zikijaribu kujiunga NATO anazivamia. Yuko wapi sasa?
Kaishia kujadili Waziri Mkuu wa Finland aliyekuwa anacheza mziki. Yani kutoka kutishia kuvamia nchi mpaka kulalamika PM wao kucheza mziki. Aibu gani hii

Huyo mbunge aliyesema kwani ndio standards za kijeshi duniani. Kwahiyo mbunge wa Ulaya akisema kitu unafuata kisa mbunge. Hata Babu Tale ni mbunge bwana
Sasa huyo mbunge nawachambuzi wengine wanaoiishi ulaya nawewe Nani aaminiwe maana hata blomberg wamesema yanayofanana na huyo mbunge
Pía naomba unikumbushe lino fin na Swed walijiunga NATO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1661158701906.png

Coordinate ishasoma Mzee achia kitu kikasomee CRIMEA.... alisikika mjeda wa Ukraine akiteta na mwenzake kwenye uwanja wa vita Front line.

Kazi ni nzito kwa PUTIN.
 
Back
Top Bottom