Wala hakuna sehemu waliosema kama uwingi wamajeshi ndio ubora wa jeshi ama vipi
Kuhusu aliosemea hio UKRAINE nimbunge mmoja hapo FINI ama SWED kama sijakosea
Video nnayo ila sita iupload unaweza mgoogle jamaa ama youtube utamuona anaelezea hili
Pia sio kwamba wanapigwa anasema UKRAINE hawanatena jeshi licha yakupewa misaada tokea sehem mbali mbali
Pia naomba nikukumbushe kwamba hizo vita ulizozisema RUSSIA alifanya vyema sana na bado kwa hii SMO anafanya vyema haswaaa
Pia hakuna anaesema kama UKRAINE anaingizwa kwenye coalition hapana niwao wenyewe
Pia hao SWED na FINI unaowatolea mfano juzi tu hapa wameomba kuungwa na NATO ili RUSSIA ashindwe kuzivamia kama afanyavyo kwa UKRAINE maana yake wanajua kama RUSSIA nihabari nyengine
Pia jeshi kufanyiwa reform nk nimambo yakawaida sana sio kwa RUSSIA tu bali duniani kote
Mwisho CHINA ni TAIWAN na TAIWAN ni CHINA
Sent using
Jamii Forums mobile app