Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

176 days leo kitu bado kimenasaa !! yaani miezi 6 kasoro wiki tu 😀 😀

Putin umeyakanyaga !! goma hili si la kitoto !! jiandae kuishi na hii vita chief si ya leo wala kesho.


The U.S. is sending Ukraine advanced rocket-launcher systems and 1,000 Javelin missiles as part of the Biden administration’s latest effort to arm the Ukrainian soldiers fighting off Russia’s invasion, the Pentagon said Wednesday
Na mikwara yote ya dikiteta imerudi mfukoni,Kawa mpole maana anaona kina Cha maji kinazidi kuwa kirefu [emoji1787][emoji1787]
 
Amefanya akimbie hata yule mtabe wetu T14 Armata Pro-NATO besti besti, namba moja duniani, shabiki asiyeigiza wala kulazimishwa. 🙂
Unaniita niiseme nchi ambayo imeshindwa hata kukopi war trophy kwenye maonyesho. Hapa ni real Bayraktar ya Ukraine
20220817_094446.jpg
Hapa ni Warusi wanadai eti wameikamata Bayraktar
20220817_094441.jpg
Ukiitazama tu hapo ina makosa zaidi ya matano kwa macho. Rangi sio, bomu la MAM limefungwa kwa kamba, namba 403 imebandikwa sehemu isiyo, haina antenna/probes mbele, neno Bayraktar kwenye tail limeandikwa kwa font size tofauti na mwandiko tofauti. Angekuwa Mchina ndio kakopi tofauti zingekuwa ngumu kuonekana. Hapa Russia wakawaambia watu wao kwamba wamekatama drone
 
Haya yule Famba aliyetaka chombo cha habari kilicho frontline na kuhoji makamanda tazama hiyo video natuma na translation chini hapo.
We will definitely win. None of the fighters have any doubts about this. Where we are, there is Truth. Where we are, there is Victory! Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine, General Valery Zaluzhnyi

 
Haya yule Famba aliyetaka chombo cha habari kilicho frontline na kuhoji makamanda tazama hiyo video natuma na translation chini hapo.
We will definitely win. None of the fighters have any doubts about this. Where we are, there is Truth. Where we are, there is Victory! Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine, General Valery Zaluzhnyi

pro-Russia wakiona video zenye uhalisia kama hizi presha zinawapanda na kushuka, lakini hakuna namna, inabidi wakubaliane tu na Hali[emoji12]
 
Hii tv ninachoipenda iko frontline yani tunapata matukio ya moto yanatokea tazama hivi vifaru muda mfupi uliopita vimepigwa na mabomu vinateketea mpaka tutavimaliza.

Alafu anatokea kilaza mmoja anasema eti video game.., video game ya hivi?

Nilichogundua Hawa jamaa Sasa hivi wanaongea chochote tu Ili mradi kuficha aibu wanayopata
 
Unaniita niiseme nchi ambayo imeshindwa hata kukopi war trophy kwenye maonyesho. Hapa ni real Bayraktar ya UkraineView attachment 2327324Hapa ni Warusi wanadai eti wameikamata BayraktarView attachment 2327326 Ukiitazama tu hapo ina makosa zaidi ya matano kwa macho. Rangi sio, bomu la MAM limefungwa kwa kamba, namba 403 imebandikwa sehemu isiyo, haina antenna/probes mbele, neno Bayraktar kwenye tail limeandikwa kwa font size tofauti na mwandiko tofauti. Angekuwa Mchina ndio kakopi tofauti zingekuwa ngumu kuonekana. Hapa Russia wakawaambia watu wao kwamba wamekatama drone
Usikute jamaa wamedukuliwa akaunti, then wameediti, au camera iliyotumika kupigia picha siyo 🙂
 
Javelins zimshakuwa mdabwada, jamaa kajitahidi kupiga kifaru Cha kizamani Cha USSR T72B lakini kaambulia kupigwa yeye na jamaa haooo wakaenda zao.

T-72B withstood a hit from Javelin anti-tank systems.

A wonderful review video from Filatov.
Yasinovatsky district.
Kamenka.
Published 08/17/2022
The date of filming is not known.
View attachment 2327299
Hatar sana
 
Back
Top Bottom