WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,616
- 3,800
Ndio 680 sasa? Lete Gazeti lilo ripoti hata 200 tu.Soma hapo chini"UKRAINE HITS RUSSIA WAGNER MERCENARY HQ IN EAST" yaaani wamepigwa kwenye makao yao makuuView attachment 2327176
Ndio 680 sasa? Lete Gazeti lilo ripoti hata 200 tu.Soma hapo chini"UKRAINE HITS RUSSIA WAGNER MERCENARY HQ IN EAST" yaaani wamepigwa kwenye makao yao makuuView attachment 2327176
Russia anchnjwa vilivyo baada ya kuingia Ukraine kwa mbwembe zoteUnajichosha Sana habari za you tube wote tunazijua ni za akina Lufufu
Jamaaa anawapiga sindano za moto[emoji12]Usije dhania humu eti wote ni watoto. Na video zako fake za Youtube. Video Original za vitani na Fake zina julikana. Hizi ulizo kazana nazo ni za Ma DJ wa Propaganda wa NATO. Ebu aoneshe akiwa Ground akifanya coverage ya Vita.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sindano kila siku mna retreat. Mna rudishwa nyuma.Jamaaa anawapiga sindano za moto[emoji12]
China wants to learn TACTICAL MILITARY STRATEGIES from Russia.[emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2327168
Tunataka tuwavutevute Ili vita izidi kuwa ndefu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sindano kila siku mna retreat. Mna rudishwa nyuma.
Hiyo dawa haina tofauti na vaccines na busta alizochomwa Joe Biden. Unaambiwa ziko kama maji, kila siku mzee na bibie wanaugulia Covid-19.Tulieni dawa iwaingie
Tukiwaambia dikiteta Putin na wadhulumaji wenzake hawaondoki na chochote hapo Ukraine [emoji12]
Ni mwendo wa kipigo tu
Hongera sana mkuu. Tukishachoka, m2-ambie basi ili tujue la kufanya.Tunataka tuwavutevute Ili vita izidi kuwa ndefu
Tunataka kumpigisha mtu danadana Mpaka achakae kabisa na hasirudie upumbavu
Haya soon naleta video zingine za ma djUsije dhania humu eti wote ni watoto. Na video zako fake za Youtube. Video Original za vitani na Fake zina julikana. Hizi ulizo kazana nazo ni za Ma DJ wa Propaganda wa NATO. Ebu aoneshe akiwa Ground akifanya coverage ya Vita.
Vita haishindanishwi kwa mapicha na Video feki. Ila kwa real battle kwa ground. vunjo punguza porojo vita siyo story. Umesababisha wataalam wame kimbia. Weka facts na video za reliable sources. Mfano: Reuters. Hatutaki hizo za source zako za Youtube direct. Ni za kitoto sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunataka tuwavutevute Ili vita izidi kuwa ndefu
Tunataka kumpigisha mtu danadana Mpaka achakae kabisa na hasirudie upumbavu
Amefanya akimbie hata yule mtabe wetu T14 Armata Pro-NATO besti besti, namba moja duniani, shabiki asiyeigiza wala kulazimishwa. 🙂Vita haishindanishwi kwa mapicha na Video feki. Ila kwa real battle kwa ground. vunjo punguza porojo vita siyo story. Umesababisha wataalam wame kimbia. Weka facts na video za reliable sources. Mfano: Reuters. Hatutaki hizo za source zako za Youtube direct. Ni za kitoto sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizi video zikiletwa na pro-Russia wenzio ndo unaona ziko sahihi,sio?Vita haishindanishwi kwa mapicha na Video feki. Ila kwa real battle kwa ground. vunjo punguza porojo vita siyo story. Umesababisha wataalam wame kimbia. Weka facts na video za reliable sources. Mfano: Reuters. Hatutaki hizo za source zako za Youtube direct. Ni za kitoto sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zenye realiable Source. Na Link. Plz.Hizi video zikiletwa na pro-Russia wenzio ndo unaona ziko sahihi,sio?
Mtaukubali tu huu mziki wa huyu mnayemuita comedian zelensiky
Mbona ujalalamika kuhusu wale pro-Russia wanaoleta magazeti mareefu kila iitwayo siku,bila kuweka chanzo chochote Cha habari??Zenye realiable Source. Na Link. Plz.
Siyo kupakua kila kitu Youtube. Una tujazia Servers. Youtube kuna video hadi wanaume wana jifungua.
Hiyo ilikuwa base yao na kiongozi wao aliwatembelea baada ya kutuma picha mtandaoni ikawa kosa Ukraine wakalitambua eneo chuma kikarushwa hakujatoka hata mfupa.
Magazeti kwenye vita ndio reliable source. Plus Link zao. Uki rejea hilo gazeti online uta ona. Pia huonesha wame ongea na nani (chanzo chao taarifa). Ila siyo Youtube [emoji3574]Mbona ujalalamika kuhusu wale pro-Russia wanaoleta magazeti mareefu kila iitwayo siku,bila kuweka chanzo chochote Cha habari??
pro-Russia wanatunga tu story na kuweka humu jukwaani wakidai eti ni taharifa kutoka field ,
Umewahi kuwakemea??
Huoni kwamba unaendeshwa na hisia kuliko uhalisia?
VUNJO anakuletea habari pia anakuwekea source, tatizo liko wapi
Pokea kipigo kitakatifu hichoDaraja la Crimea tunasubiri raia watoke watuachie wale kuruta wenu ndio tunalivunja na kuwamalizia humo.