Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mnaokoteza picha za mwezi wa 2 baada ya kuona mnazidiwa kete[emoji12]
Chanzo hiki hapa sema jingine
Screenshot_20220818-094257.jpg
 
Haya tazama video ya Russia kapiga makazi ya Raia amewaua sita hakuna mwanajeshi hata mmoja wa Ukraine aliyekuwepo eneo hilo.Kama kuna mwenye ushahidi mwanajeshi wa Ukraine aliyekufa kwenye hilo shambulio alete

Watu wanapiga maghala ya siraha,Kambi za jeshi.., huyu andunje anachojua ni kupiga makazi ya watu
Hopeless kabisa
 
Sasa ili tujue kuwa Wakirene wanawatembezea moto Warusi.

Tuambie ni maeneo gani waliyofanikiwa kuyarudisha?

Tuambie eneo gani wamezima offensive za kirusi.

Tunapozungumza watu wameingia outskirts za Nikolaev ili kuizuia kupigwa Kherison.

Kule Adviika, Seversk hazipumui bila kusahau Pelsky imeshaanguka.
Kodema muda wowote.

Kwa nini wanarusha makombola kwenda Crimea?
Hii ni decoy ya kuhamisha focus ya watu kuacha kuzungumzia total collapse of eastern fortified area la Ukraine.

Ila Urusi ataendelea kuwatwanga na hizo small achievement zenu hazito kuwa na maana kwenye historia.

Uraaa Uraaaa
Urrraaaaa
 
Crimea imeishaenda,usihangaike na tu video video humu,60% ya ardhi yenye rotuba, madini na bandari zimeishaenda na zingine zipo mbioni kwenda Urusi,sasa ww endelea kupost tu video humu.
Lakini tukubaliane kuwa super pawer wa mchongo anapokea kichapo kikali wakati huu
 
Haya ingine hii kumbe lile shambulio la juzi tarehe 16 wale Wagner mercenaries walikufa 680 na kiongozi wao tazama video hapo chini.Jamani hiki ni kipigo zaidi ya cha mbwa koko

 
Kwenye hii vita sehem zinachukuliwa na Russia na nyingine zinachukuliwa na Ukraine, hii vita ndo iko hvyo
Leo wanamega kesho wanarudisha wiki ijayo wanachukua tena, kuna video nilileta humu, sa nyie mnaleta habari moja za upande moja, tatizo hamna akili

We hujiulizi
Urusi alitangaza kuichukua Kherson yote, leo unasema kuna kijiji kimechukuliwa, maana yake ni nini, si kilikuwa chini ya Ukraine na walikikomboa kabla
Tumieni akili sio mpompo tu kuropoka
Taja eneo 1 mlilo likomboa toka Russia Army hadi sasa? Je mna songa mbele au mna rudishwa nyuma?
 
Haya ingine hii kumbe lile shambulio la juzi tarehe 16 wale Wagner mercenaries walikufa 680 na kiongozi wao tazama video hapo chini.Jamani hiki ni kipigo zaidi ya cha mbwa koko



680?? Embu kuwa serious bhana Jeshi gani wanakaa kwa pamoja hivo?? Huoni ni propaganda hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
680?? Embu kuwa serious bhana Jeshi gani wanakaa kwa pamoja hivo?? Huoni ni propaganda hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana tunawaambia kipigo kimewachanganya akili warusi,Sasa hivi wako kama kuku aliyekatwa kichwa,hawajui nini wafanye,nini wasifanye, kiufupi wameshakata tamaa
 
Back
Top Bottom