Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,729
- 3,512
Kuna mataifa yanayo support na yanayopiganaAfghan ilivamiwa na mataifa mangapi
Yaani mashost wakaungana na bado wakachulua miezi yote hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ilikuwa ni American War, na Wamarekani ndo waliotuma jeshi, hao wengine ilikuwa ni kusupport tu, nipe evidence hizo nchi nazo zilideclare war, nipe