Shoga zako wanakiri walishindwa vita wewe unakaza matacore humu ndani. Achana na nyeto zikakuharibu akili ndugu yetu. Tunajua una mahaba na US lakini fahamu hamna uwezo wa kupambana na Russia ndomana mnaishia kupiga kelele. Tim rainbow tukiwambiaga akili zenu zilitoka na marinda mnanza kulia yani wewe unajua kuliko wenye nchi yao wanokiri wazi[emoji23][emoji23]
Unatambua ndege za Russia zinaruka kule Alaska na mnazingalia tu.
View attachment 2326062
Hivi mnaomsifiaga huyu jamaa anajua uchambuzi wa vita ni nani? Maana namwona mweupe sana kichwani. Nilikua namchora tu anavyohangaika anavyowalisha matangopori humu ndani.
Kama unatafuta kuwa keyboard warrior ni sawa