Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine ni ndogo compared to Russia, Ukrain na Afghanistan ni almost sana, na pia unaweza kusema kigoma wilaya ni kubwa kuliko Dar nzima, hii ni kweli, ila kiuhalisia eneo la watu na wingi wa makazi ndo hupnesha ukubwa, Ukraine haina makazi mengi kulingana na nchi za Ulaya
Udogo wa Ukraine ukoje?
Na ikiwa anasaidiwa na mataifa zaid ya 20 siraha na wanajeshi bado mdogo? Ki Ramani ulaya Ukraine ni kubwa sana kijeshi tayar anamsaada kutoka usa na nchi nyingine zaid ya 20

NATO wako pale
 
Sasa tukomboe vijiji havina watu kwa sasa tuna deal na maghala ya silaha kwanza hizo ndio zinawatia jeuri kukomboa kijiji na kupiga ghala lenye silaha nyingi kipi bora ndio ujue Ukraine wanatumia akili.
Miaka 8 NATO wamepiga Kambi Uikrane wakipiga zoezi la kufa mtu na utaalamu wa kivita.
Leo hii kinachotokea huko aibu tupu.
Ndo NATO uwezo wake ndo huo miji inatekwa ya Uikrane hawarudishi hata mtaa.
Umejiuliza US na NATO kwa nn hiyo Operation hawaingii?
 
The movement of enemy equipment on kakhovka HPP Bridge is practically impossible.
Haya sasa draja hilo limepigwa kitu kizito hakuna kuvusha hata rungu tutaelewana tu tazama video chini hapo.

Kwa facts hizi, pro-Russia lazima wakukome,
 
Snake island hata paka hakuna kule.ni kisiwa kidogo sana na hakuna makazi ya watu,wala hakuchangii chochote kile kwenye uchumi.

Point ni kwamba ground force ndo kila kitu kwenye uwanja wa kivita,uwezi kuchukua eneo kwa sababu ya kurusha makombola maana adui anajificha sehemu yoyote ile.unaweza ukajua silaha zipo kambini kumbe zimefichwa sehemu.tena kwa nchi kubwa kama URUSI unakuta wana ficha kwenye maandaki.



Wewe port nini tupe basi strategy anayotumia super power ambayo alifulumushwa kyiv na snake island na sasa washaanza kukimbia Crimea.
 
Hawa wanajifanya hawaoni kinachoendelea frontline wao kutwa ni kuleta articles za kuokoteza hazina evidence
Sasa hivi wameamua wakomae na kuitaja Taliban. Imagine hata wewe ungekuwa shabiki wa superpower uchwara, kwa hii performance si lazima ujifariji kwa kuwataja wale wawahi mbinguni. Eti "mbona nanyi mlipigwa na Taliban..." hapo washakubali performance mbovu
 
Miaka 8 NATO wamepiga Kambi Uikrane wakipiga zoezi la kufa mtu na utaalamu wa kivita.
Leo hii kinachotokea huko aibu tupu.
Ndo NATO uwezo wake ndo huo miji inatekwa ya Uikrane hawarudishi hata mtaa.
Umejiuliza US na NATO kwa nn hiyo Operation hawaingii?
Hata Russia inahost wataalamu wa kijeshi kutoka China, India, Iran, Belarus, Kazakhstan, Venezuela na nchi nyingi tu. Huwa wanafundishana upuuzi gani mbona performance ya jeshi lake inazidiwa hata na Azerbaijan walivyopigana na Armenia professionally mwaka juzi
 
Sisi tunajua mmekimbia AFGHANISTAN wala hakuna kisingizio kuwa mmekaa sijui miaka 20.ulivyokaa iyo miaka 20 mlikuwa mmestarehe wala hamkuwa mnakufa.mmepoteza wanajeshi wenu pamoja na silaha.mmekimbia kwa aibu kubwa sana
Walitumia miaka 20 wakiikalia Afghanistan huku Taliban wamekimbiza chupi zao milimani. Ni sawa na kusema Tanganyika ilipigana na wazungu tangu Berlin conference iishe miaka ya 1800s mwishoni mpaka mwaka 1961 ikashinda. Utaonekana huna akili

Taliban ilipigwa na Rais wao akakimbia nchi. Wakawa wanajilipua kuwahi mbinguni, 2021 Marekani ikawaachia jangwa lao kina Ashraf wakashindwa wao wenyewe. Ndugu zenu wakawa wanadandia ndege wakimbilie kwa mabeberu, hata hawakutaka kwenda Saudi Arabia au Qatar kwa wenzao, walikuwa radhi waletwe hata Rwanda. Leo hii Taliban imerudi lakini ni wiki juzi tu hapo Marekani imefanya shambulizi kumuua mkuu wa Al Qaeda, na hapohapo akafa mtoto wa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Taliban na nchi yao haiwezi fyatua mdomo. Kwanza walitoa tamko la kutojihusisha na al Qaeda.
 
Angekuwa na jeshi bovu basi vita ingekuwa ipo URUSI na sii UKRAINE.
Hata Russia inahost wataalamu wa kijeshi kutoka China, India, Iran, Belarus, Kazakhstan, Venezuela na nchi nyingi tu. Huwa wanafundishana upuuzi gani mbona performance ya jeshi lake inazidiwa hata na Azerbaijan walivyopigana na Armenia professionally mwaka juzi
 
Back
Top Bottom