Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Waachwe walipue tu, mtambo si wa kwao tena upo nchini mwao?! Athari zitawarudia wenyewe...

SmartSelect_20220816-220510_Chrome.jpg
SmartSelect_20220816-220606_Chrome.jpg
 
Nyie pro nato msiojua geography ya Ukraine ebu tulieni ivi mnajua kuwa Baada ya Russia inafuata ukraine kwa ukubwa ulaya yote? mnafikiri ukraine ni kama kisiwa jimbo moja tu la ukraine ni sawa na Belgium yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukraine ni ndogo compared to Russia, Ukrain na Afghanistan ni almost sana, na pia unaweza kusema kigoma wilaya ni kubwa kuliko Dar nzima, hii ni kweli, ila kiuhalisia eneo la watu na wingi wa makazi ndo hupnesha ukubwa, Ukraine haina makazi mengi kulingana na nchi za Ulaya
 
Sawa Afghanistan NATO walichukua masaa mangapi kuipiga !!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukraine ni ndogo compared to Russia, Ukrain na Afghanistan ni almost sana, na pia unaweza kusema kigoma wilaya ni kubwa kuliko Dar nzima, hii ni kweli, ila kiuhalisia eneo la watu na wingi wa makazi ndo hupnesha ukubwa, Ukraine haina makazi mengi kulingana na nchi za Ulaya
Ukirene ni sehemu ya Ulaya.

Ni Taifa lenye watu Milioni 40.

Upande wa Mashariki ndio Industrial heartland yao.

Upande wa Mashariki wana miji mingi mikubwa na midogo kwenye kila umbali wa wastani wa kilomita 30.

Upande wa Mashariki ndio upande wenye maandaki mengi zaidi na trench ili kumzuia adui kusonga mbele.

Lakini pia niwakumbushe Jenerali wa Kirusi anayeongoza vita, haamini kwenye kuchukua maeneo makubwa bila kumchakaza adui, kwa hapa bwana Butcher of Syria ametisha.
 
Back
Top Bottom