kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Wahurumieni pro-Russia, msiwapeleke Kasi sana,wenyewe wameshajichokea maana super pawer waliyemtegemea amewavunja moyoHuwezi elewa. Ukraine ni muhimu kwa Russia, wale ni majirani na wanashare values nyingi zaidi ya uhusiano uliopo kati ya Russia na Brazil. Tafuta trade between Russia vs Ukraine na Russia vs Brazil kabla ya mgogoro wa 2014 uone. Tafuta mikataba ya kutengeneza silaha iliyokuwepo baina yao ikiwemo ya gas turbine engines kutoka Ukraine. Tafuta mikataba ya gesi inayotoka Urusi kwenda Ulaya kupitia Ukraine.
Russia ina mikataba mingi na Ukraine kuliko huyo Brazil wanayepiga nae picha. Kama wangeweka vikosi Brazil wala usingeona Russia analalamika hivi.