Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi alikuwa na uwezo wa kuimaliza ndani ya week 1. Nini kimetokea sasa ni zaidi ya miezi miwili? Urusi ni Taifa lenye Nguvu sana na lenye uwezo Kijeshi.

Ukraine ni kanchi kadogo tu nini kimesababisha iwe hivi? Kuna jambo sitaki kuamini. Nadhani hawa Nato wanatudanganya kusema kuna vita wakati vilishaisha. Nakumbuka Mrusi mbabe alivyokuwa anaingia Ukraine kibabe. Acheni jamani Urusi ni Taifa kubwa sana.
Kwani Hapo Kwa mpalange wanasema kwanini hawajaimaliza🤔
 
Super power ameamua kusimplify Huku ameamua kukimbilia aliexpress
saintjavelin-20220816-0002.jpg
 
Ulishawahi kujiuliza LIBYA walipigana na mataifa mangapi tokea magharibi na walichukua muda gani
Jumlisha LIBYA ilikua imefungwa mikono haipati msaada tokea popote
Debatable ndio maana tunawalilia NATO nawenzao wakaisaidie UKRAINE dhidi ya debatable maana debatable hana lolote zaidi yakua debatable
NATO wakawasaidie RAIA wa UKRAINE waeke walau No fly Zone maana Elensky alikua yuaililia kila leo

Sent using Jamii Forums mobile app
😂
PRO-NATO WALIVYO VAMIA UZI LEO KAMA HUJUI KINACHOENDELEA UNAWEZA ZANI MAJESHI YA UKRAINE YANAKARIBIA MOSSCOW
.
.
.PESA ZETU TUNAKAZI NAZO
Kuelekezana na hao viumbe inakupasa uzimue jani kidogo...

Hivi hivi ase baaado sana.
 
Ulaya mbali sana.
sema tanzania ni kubwa kuliko ukreini

kwan tanzania ina mita za mrabalaki tisa
na ukreini wana laki sita
hii ndo vita ya supa pawa
mwezi wa sita sasa bado yupo mpakani
kwa tanzania unaweza kulinganisha na
adui mkenya na vita inapiganwa arusha na moshi,
ukija dodoma,singida iringa,mbeya,mwanza,dar
lindi, tanga hadi mtwara mikoa yote iko shwar,
Nyie pro nato msiojua geography ya Ukraine ebu tulieni ivi mnajua kuwa Baada ya Russia inafuata ukraine kwa ukubwa ulaya yote? mnafikiri ukraine ni kama kisiwa jimbo moja tu la ukraine ni sawa na Belgium yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi la Ukraine halina mpango wa kuingia moscow ila kumfukuza mrusi kwenye maeneo yake arudi kwako Ukraine hashindwa kuipiga Moscow.
Jeshi la Ukraine halina mpango wa kuingia moscow ila kumfukuza mrusi kwenye maeneo yake arudi kwako Ukraine hashindwa kuipiga Moscow.
Jeshi la Ukraine halina mpango wa kuingia moscow ila kumfukuza mrusi kwenye maeneo yake arudi kwako Ukraine hashindwa kuipiga Moscow.
SASA KWA HILI VIBE MLILOKUJA NALO LEO UKRAINE AMESHAREJESHA MAENEO MANGAP
 
Back
Top Bottom