Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Toa gazeti lako halina source umekaa hapo kwalulenge na kutunga story lete picha na video tuone.
Kila iitwayo siku Wanaleta magazeti mareefu wakielezea mafanikio ya jeshi la urusi kwenye hii wanayoita "special epereshen"" laiti haya magazeti yangekuwa na habari za ukweli basi urusi angekuwa ameshamaliza hii vita zamani sana. ,Hawa jamaa kwa propaganda hawajambo ..watakuchosha na porojo zao,
 
Acha maneno, si ulisema wazi kwamba atakayeingilia vita ya Ukraine atakiona kilicho mnyonyoa kanga manyoya.......haya sasa rusha kitu Washington akutane nacho angani..shida ni nini? si unazo Global missiles ..!! unagonga hadi km hadi 10,000 na zaidi.


Putin accuses US of trying to ‘drag out’ war in Ukraine​

The Russian leader says Washington is ‘using the people of Ukraine as cannon fodder’ as he lashed out at the US for supplying weapons to Kyiv.
Kibabu kina mikwara hiki[emoji1787]
 
Ona wenzio wanavyokimbia huko kusalimisha roho zao , halafu ninyi mkiwa huko mwaya

na katekate mnachonga saaaana.

🇷🇺🇺🇦 The fighters of the 1st Slavic brigade in the Avdeevka area successfully destroy the enemy's manpower and advance in a westerly direction. Retreating Ukrainian militants abandon Western weapons at their positions.
 
Pro- NATO mkichoka update mtanambia, mmenichokoza wenyewe

🇷🇺🇺🇦 Briefing of the Ministry of Defense of the Russian Federation:

- The Russian Aerospace Forces destroyed more than 20 and wounded up to 30 nationalists as a result of a strike on the command and observation post in Andreevka;

- Russian air defense systems destroyed two Ukrainian UAVs in the LPR and Kherson region, three MLRS shells in the DPR and Kharkiv region in a day;

– In total, since the beginning of the special operation in Ukraine, more than 1,700 drones and more than 4,300 tanks and armored vehicles of the Armed Forces of Ukraine have been destroyed;

- At the positions of the Armed Forces of Ukraine south of Artemovsk, Russian troops discovered more than 50 anti-tank mines of the French production EMP;

- The EMP F2 anti-tank mines used by the Armed Forces cannot be defused after installation, this is a direct violation of the requirements of the Geneva Convention;

- Russian aviation, missilemen and artillery destroyed the Ukrainian radar station, as well as ammunition and fuel depots in the DPR and Kharkiv region;

- The Russian Armed Forces destroyed more than 50 nationalists and 6 pieces of equipment of the 72nd motorized infantry brigade of the Armed Forces of Ukraine near Artemovsk.
 
Aisee hivi nyie watu mkoje?! Propaganda gani hizi zilizopinda?! Eti Russia anapigana na dogo Ukraine?!?! Kwanini mnajitoa ufahamu?! Russia anapambana na zaidi ya nchi 30...anapambana na NATO, Europe, West yote Canada, EU, Australia, Japan na Ukraine yenyewe...Yaani nchi zote hizo zinapambana na Russia kiuchumi, kisiasa, kijamii na kijeshi...you can imagine hapo superpower ni Nani..
Ingekuwa hvyo Russia ingeisha yote kwa siku2
 
Wana NATO wenzio wamekubali yaishe

🇹🇷 Turkish Airlines recognized Donetsk as part of Russia even before the referendum

IMG_20220816_174419_544.jpg
 
Jua tu Ukraine ni taifa dogo na hakuna ambae alijua Russia ni dhaifu hvyo na adi Urusi inaingia nchi nyingi zikajua kabisa ndo mwisho wa Ukraine, na kama unakumbuka Zelensky mwenyewe alisema anaowapigia hawapokei maana kila mtu anaogopa, ila sasa baadae ndo wakaona kila mtu ni mchumba, mpaka Poland wanajiamini na kujipa moyo kuwa Russia walioiona sio walioidhania, na kujipa bichwa akijileta kafa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kifupi Ukraine hakuwa na la ajabu ata siraha aliokuwa nazo mwanzon ni za Wasoviet mpaka alipopewa siraha, ata mwanzon Zelensky alikuwa akisema wenyewe hawaogopi ila hawana siraha, hii ni tangu wiki ya kwanza, sasa kama tangu wiki ya kwanza wanalalamika hawana siraha maana yake hawakuwa na siraha, na ata Ndege vita walizokuwa nazo zote ni mig 29
Sa unavyosema kuwa walikuwa vizuri kijeshi ni hujui na mapenzi ndo yanakuharibu akili

Ata siku ya 3 tu majeshi ya Urusi yalienda mpaka Kiev, maana yake ni kuwa walijiamini na walijua Ukraine ni weak sana na mapambano yalianzia uko pamoja na Kharkiv
Adi siku ya kwanza tu ya Russia kuvamia Donetsk pamoja na Luhansk walijitoa wakijua apa tayari baba kashatupokea, badala yake baba mpaka leo anadharaulika
Huu mwezi wa6 bado ni mputempute na tunavyobishana ni kama Urusi anapigana na nchi ya Level yake, yani kama US na Urusi ndo wanapigana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili suala lilisha tolewa ufafanuzi muda mrefu Sana. Kumbuka hii ni operation sio total war. Jamaa Hana shida na raia. Anajitahidi Sana kupunguza casualties. Lazima aende taratibu
 
Wanasema ukiinanga sana Russia na kusapot west ni rahisi sana kupata viza kwa sabab jamaa ukishawapa data zako wakat wa maomb wanafatilia sehem zote ulizotumia email,namba ya sim km kiunganish.

Na ndio maana jamaa wanahaha kusapot hata yale ambayo wao wenyew hawayaelew ili mrad wapate wepes wakat wa kujilipua.



Sent using Jamii Forums mobile app
Ma pro-Russia ndo akili zenu zilivyo hivi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ex US Army Lieutenant Colonel Daniel Davis:
“There is no chance, no military way, that Ukraine can win this war. We have to be honest about this."

T14 Armata

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu yeyote anayejua uhalisia anajua Ukraine hatakiwi kushinda vita hii. Alitakiwa awe ameshindwa mapema kabisa ila hadi leo dalili za vita kuisha hamna
 
Ngoma inaingia uwanjani Sasa, mbona mwaka huu mtatema cheche

[emoji635][emoji298]The Ministry of Defense of the Russian Federation signed a contract for the supply of the latest S-500 air defense system to the troops
Na hili commbola lingine limepiga kwenye tansoformers video ndio hii tofautisha wewe pro rusia leo ni kipigo cha mbwa koko tu

 
Back
Top Bottom