Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

ya pili na ya nne nikoch UMP
sa unabisha nn

Screenshot_2022-08-15-16-21-21-42_680d03679600f7af0b4c700c6b270fe7.jpg
 
Nawakumbusha tu kuwa Urusi ndiye baba lao ktk tech ya anga za mbali...
Baada ya kuamua kumfukuza Marekani (Super powe wa mchongo) kwenye kuombaomba lifti kwenye chombo cha Urusi cha kwenda anga za juu, Urusi yaja na Space Station mpya matata...na ilishatangaza mpango wa kujitoa ktk programme ya International SpaceStation.
View attachment 2324460

Hapa Marekani lazima akapige goti asee. Tuone kama atakwenda na zile chopa za elon[emoji23][emoji23]
 
Hyo ni Koch UMP
Ni bunduki za kiGermany
Kijana tuliza mzuka...hiyo kitu ya Mrusi habari zake hizi hapa
 
Ha ha haa.
Ndipo yalipo makazi yangu Hadi Sasa.
Nyanchenche
Nyakalilo
Kalebezo
Nyantakubwa
Nyamterela
Busisi
Kigongo
Nyehunge
Kome
Ibondo
Nyamililo
Katunguru
😇😇😜😝😛😋🤣💪
Iseni,bukokwa, liteli, isaka, Luholongoma, buhindi, kafunzo, bupandwa mwangika, katwe, kahunda. 🤣🤣🤣🤣Buchosa moja.
 
Kijana tuliza mzuka...hiyo kitu ya Mrusi habari zake hizi hapa
Koch UMP kitu ya mrusi wapi na wap kaka
Hyo ni kampuni, ni kama unasema Lockheed ni kampuni ya Urusi
Punguza mapenzi kaka
 
Hii weekend imekuwa ngumu sana kwa Ukraine. Maana Russia imechukua maeneo mfululizo kama ifuatayo.

1. Pisky - Mji uliopo Kaskazini Magharibi mwa mji wa Donetsk. Mji huu ulikuwa ni moja ya ngome kubwa ya jeshi la Ukraine ambao wameutimia mji huo kwa zaidi ya miaka 8 wakifanya mashambulizi Donetsk.

Inasemekana Russia imetumia makombora yake ya thermobaric. Makombora haya, yana tabia ya kuongeza joto/moto kiasi mpaka cha nyuzi joto 3,000 na linafyonza hewa ya oxygen yote eneo hilo. Kwahiyo usipokufa kwa kuungua, utakufa kwa kukosa hewa.

Russia wanalitumia wakiwa wanapiga sehemu za ngome ambazo Ukraine wamechimba mahandaki.

2. Udy - Kijiji kilichopo Kaskazini Magharibi mwa Kharkiv.

3. Borschova - Kijiji kilichopo Kaskazini Mashariki mwa Kharkiv.

Kuchukua kwa maeneo namba 2 na 3, ina maanisha Russia wameamua kuanza mashambulizi kuelekea katikati mwa mji wa Kharkiv.

Kharkiv ni jiji kubwa ambalo kabla ya mapigano, lilikuwa na idadi ya watu milioni 1.419.

4. Vershyna - Kijiji kilichopo Kusini Mashariki mwa Bakhmut. PMC Wegner ndiyo kikosi kilicho tekeleza tukio hilo.

Eneo hili pamoja na vijiji au maeneo yote kuelekea Bakhmut yana maandaki mengi sana maana Ukraine wamekuwa wanachimba na kuyatumia kwanzia ilipo anza vita na Donbus mwaka 2014.

Na jiji hili la bakhmut ndiyo lime beba defense line kubwa ya Ukraine kuzuia ushindi wa Donetsk People's Republic (DPR). Russia wakichukua huu mji, watakuwa wamen'goa kisiki kikubwa kinacho zuia kuchukua DPR yote.

Ukraine wameweka nguvu kubwa sana hapo, kama walivyofanya Severodenetsk na Lysychansk kwa Luhasky People's Republic (LPR).

Majiji mengine makubwa yaliyobaki ni Kramatorsk na Sloviansk.
 
Leo nimetazama hotuba ya Putin kwenye Army 2022 akielezea silaha zao zilivyo ahead of time kulinganisha na za Western. Na akazungumzia utayari wa Urusi kuwauzia washirika silaha. Kitu nilicho na uhakika nacho ni kwamba Russia ijiandae kupungua kwa mauzo ya silaha zake. Tutarudi mwakani kutafuta global arms shipments na new contracts
62811001_509.jpg
 
Leo nimetazama hotuba ya Putin kwenye Army 2022 akielezea silaha zao zilivyo ahead of time kulinganisha na za Western. Na akazungumzia utayari wa Urusi kuwauzia washirika silaha. Kitu nilicho na uhakika nacho ni kwamba Russia ijiandae kupungua kwa mauzo ya silaha zake. Tutarudi mwakani kutafuta global arms shipments na new contractsView attachment 2324788
Hapa umefanya speculation tu.

Hakuna uhakika wa mauzo ya Siraha zake kupungua ila nachoona Mimi ni kuongezeka kwa mauzo kwa sababu ya hii op, nayo ni speculation
 
Iseni,bukokwa, liteli, isaka, Luholongoma, buhindi, kafunzo, bupandwa mwangika, katwe, kahunda. 🤣🤣🤣🤣Buchosa moja.
Buseresere,
Kasungamile,
Isunganghoro,
Nyarugusu,
Nyakanazi
Katoro,
Chato,
Rubondo,
Msalala,
Kizugwangoma,
Nyampulukano,
Karumo,
Buhongwa,
Kisesa,
Ibinzamata,
Kizumbi,
Ipuri,
Ipilili,
Igalula,
Sikonge.😛🤣💪✔️
 
Leo nimetazama hotuba ya Putin kwenye Army 2022 akielezea silaha zao zilivyo ahead of time kulinganisha na za Western. Na akazungumzia utayari wa Urusi kuwauzia washirika silaha. Kitu nilicho na uhakika nacho ni kwamba Russia ijiandae kupungua kwa mauzo ya silaha zake. Tutarudi mwakani kutafuta global arms shipments na new contractsView attachment 2324788
Unapiga ramli...
 
Mbona hujazungumzia hizo sophisticated, post-modern mics za Putin, mkuu? Tuseme ndiyo hujaziona, au?

Nasikia ziko very advanced, zina uwezo hata wa kumkumbusha mtu jambo akisahau na pia kutoa tahadhari kama kuna adui anataka kushambulia.

Halafu ni products za Russia yenyewe. Ziko katika mfumo wa kujiendesha zenyewe kama drones. Hizi ni TACTICAL MICS za kisasa kabisa!
 
Mbona hujazungumzia hizo sophisticated, post-modern mics za Putin, mkuu? Tuseme ndiyo hujaziona, au?

Nasikia ziko very advanced, zina uwezo wa hata kumkumbusha mtu jambo akisahau na pia kutoa tahadhari kama kuna adui anataka kushambulia. Halafu ni products za Russia yenyewe.
Huwa nazipenda hizi mic tofauti na vile vidogo vinavyotumiwa na West hasa kina NATO huwa namuona Stontenberg ana mic ndogo ndogo.
Hata China na North Korea wanapenda mic kubwa au ziwe nyingi
 
Back
Top Bottom