Point ni kupungua kwa sababu zote. Kwanza, kuna waliosema sanctions hazina madhara. Pili, kuna wanaosema Russia ina washirika na itaendelea kufanya biashara kawaida. Tatu, kuna wanaosema silaha za Russia zina ubora mkubwa, tumeziona kwenye vita kama zina ubora tutaona kama zitaagizwa kwa wingi. Turkey ishapokea order za kutosha za Bayraktar TBT na MAM munitions, US ishaanza kupokea maombi ya HIMARS
Ingawa hayanihusu...
We jamaa hapa ndio huwa unatuchosha kinyama. Kama hazina ubora wanashinda vipi huko field? Kama bayraktar na Himars ni game changer hadi leo warusi wanafanya nini uko Ukraine? Tangu 24th Feb Misaada yote ya silaha imeisaidia nini Ukraine kuikomboa dhidi ya Russia?
Hivi kweli na ww umefikia hatua ya kusifia casualties kama kigezo cha ubora wa silaha? Kwa hiyo unataka kutushawishi na sie tuamini wale watalebani walikua na silaha bora kwasababu walileta casualties kwa jeshi la US na shost zake?
Kama kweli uwezo wa kufikria uko sawa, tangu hizo Bayraktar Himars na silaha zingine zote ziingie Ukraine zimemrudisha nyuma mrusi hadi wapi?
Jana sijui juzi tu hapa Pisky, Udy, Borschova, Vershyna vijiji vyote hivi vimesepa. So hizo bayraktar zilishindwa nini kutoa msaada kuzuia jambo hilo?
Vipi Himars zenu zimepiga stop advancement za urusi, if not why? Lel say ana silaha mbovu ukraine kapewa silaha bora. So Ukraine ana panga la chuma Russia ana panga la plastic inakuaje mwenye panga la chuma analalamika kuonewa na mwenye panga la plastic?
Simple logic kama hiyo hata mtoto wa chekechea akisikia anaelewa.
Tangu mzozo uanze, collective west wenye budget ya zaidi ya trillion dollars wanalalamika stock zao kuisha kisa Ukraine dhidi ya taifa maskini na dhaifu kwa mujibu wenu. Inakuingia kabisa akilini unasimama mbele za watu kutoa hoja kua Russia si chochote?
Kule Libya, hawa NATO si walifunga anga? Si waliingia vitani dhidi ya Libya? Kwani Libya ni NATO? wanashindwa nini kwenda hapo Ukraine dhidi ya Russia mwenye silaha goi goi wakamchakaze chap life liendelee?
Unajua kama msaada wa kifedha plus military aid zote zilizotolewa kwa Ukraine kutoka colllective west ni kiasi gani? Kilichotangazwa na kisichotangazwa? In term of number ni Almost zaidi ya budget ya military ya mwaka anayoiweka Russia. Je uliwahi kumsikia analalamika kuishiwa?
Hold on!
Majuzi hapo system za LM, ambae ni main manufacture wa silaha za collective west zimedukuliwa na wahuni wachache tu wa Killnet. Hackers wa kawaida tu wa Russia wakawavua nguo, Je umejiuliza FSB wanajua mangapi kuwahusu?
Uje kwenye mbinu za upiganaji na intelligence.
Collective west kuanzia Pentagon, CIA, Mi6, Mossad, BND to mention but few wako bega kwa bega na Ukraine dhidi ya FSB. Makampuni binafs mengi tu yanatoa locations na picha za satellites kwa Ukraine. Huo umoja wote wa intelligence unapigwa chini bado unawaita wadhaifu, kwamba sio bora? Are you nuts?
Sikia mdau, rekebisha feelings zako hizo huenda utaanza kuzungumza critically other wise utaendelea kuonekana kituko tu.
Being intelligent it's not about how much unaweza kuzungumza. Kua intelligent kuna-anza na uwezo wa kuhimili na ku'control chuki na mahaba katika ufikiri. Uwezo wa ku-control emotions. Kwani hivi vyote vina play part katika mwelekeo wa mtu wa kufikiri.
Ukishiba mahaba unakuwa mpumbavu, again ukishiba chuki unakua mpumbavu zaidi. Ukiongeza mihemko unakuwa mpumbavu to infinity. Hii ndio changamoto inayo wakumba walio wengi. In turn akizungumza au akitafuta sababu basi anatafuta za kushibisha either of the two, mahaba yake au chuki zake.
Pale wamekupa option uchukue inayoendana na utetezi wako bado umeyavurunda. Moja ya screenshot inasema wana ogopa "sanctions".
Hivyo vitisho kwako huoni kama ni tatizo na hope yote ni kwasababu ya mahaba niue uliyo nayo. Hivyo vitisho ni signal moja kwa mwenye akili kujua kua soko la silaha lenyewe tu haliko fair, blackmailing on actions. Ajabu Silaha sio bora ila zikinunuliwa yule mwenye silaha bora kwa mujibu wako analalama. Anachukiaaaaaaaa ha ha ha.
Piga moyo konde, Utayashinda... Vumilia 😂😂😂 Gospel song ya Paul Mwazembe. Ukiipata isikilize inatia faraja kiasi.
Kwenye halmashauri ya fikra zako silaha za Urusi ni kumchuzi ila walioko huko field wanaelewa wapo kwenye kajahanam kadogo.
Mind you, hiyo ni just SMO.