Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,698
- 1,339
😁😁😁Angekuwa na jeshi bovu basi vita ingekuwa ipo URUSI na sii UKRAINE.
😁😁😁Angekuwa na jeshi bovu basi vita ingekuwa ipo URUSI na sii UKRAINE.
Lipo Ukraine na mlikuwa mnalilinda na air defence system zenu lakini haziwezi kazi ni mafamba sasa hivi havuki hata inziHilo daraja lipo wapi Russia au Ukraine
😁😁😁Lipo Ukraine na mlikuwa mnalilinda na air defence system zenu lakini haziwezi kazi ni mafamba sasa hivi havuki hata inzi
Lipo Ukraine na mlikuwa mnalilinda na air defence system zenu lakini haziwezi kazi ni mafamba sasa hivi havuki hata inzi
😁😁 😁Kama Tanzania tu tuna vivuko,kwa akili yako unadhani URUSI atakosa vivuko vya kuvukisha silaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walitumia miaka 20 wakiikalia Afghanistan huku Taliban wamekimbiza chupi zao milimani. Ni sawa na kusema Tanganyika ilipigana na wazungu tangu Berlin conference iishe miaka ya 1800s mwishoni mpaka mwaka 1961 ikashinda. Utaonekana huna akili
Taliban ilipigwa na Rais wao akakimbia nchi. Wakawa wanajilipua kuwahi mbinguni, 2021 Marekani ikawaachia jangwa lao kina Ashraf wakashindwa wao wenyewe. Ndugu zenu wakawa wanadandia ndege wakimbilie kwa mabeberu, hata hawakutaka kwenda Saudi Arabia au Qatar kwa wenzao, walikuwa radhi waletwe hata Rwanda. Leo hii Taliban imerudi lakini ni wiki juzi tu hapo Marekani imefanya shambulizi kumuua mkuu wa Al Qaeda, na hapohapo akafa mtoto wa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Taliban na nchi yao haiwezi fyatua mdomo. Kwanza walitoa tamko la kutojihusisha na al Qaeda.
LabdaUkraine ni ndogo compared to Russia, Ukrain na Afghanistan ni almost sana, na pia unaweza kusema kigoma wilaya ni kubwa kuliko Dar nzima, hii ni kweli, ila kiuhalisia eneo la watu na wingi wa makazi ndo hupnesha ukubwa, Ukraine haina makazi mengi kulingana na nchi za Ulaya
Lipo Ukraine na mlikuwa mnalilinda na air defence system zenu lakini haziwezi kazi ni mafamba sasa hivi havuki hata inzi
Butcher of Syria alirudishwa Moscow na sasa yupo jera za jeshi baada ya kutaka kusaga miji ya Ukraine na utovu wa nidamuUkirene ni sehemu ya Ulaya.
Ni Taifa lenye watu Milioni 40.
Upande wa Mashariki ndio Industrial heartland yao.
Upande wa Mashariki wana miji mingi mikubwa na midogo kwenye kila umbali wa wastani wa kilomita 30.
Upande wa Mashariki ndio upande wenye maandaki mengi zaidi na trench ili kumzuia adui kusonga mbele.
Lakini pia niwakumbushe Jenerali wa Kirusi anayeongoza vita, haamini kwenye kuchukua maeneo makubwa bila kumchakaza adui, kwa hapa bwana Butcher of Syria ametisha.
😁😁😁Shoga zako wanakiri walishindwa vita wewe unakaza matacore humu ndani. Achana na nyeto zikakuharibu akili ndugu yetu. Tunajua una mahaba na US lakini fahamu hamna uwezo wa kupambana na Russia ndomana mnaishia kupiga kelele. Tim rainbow tukiwambiaga akili zenu zilitoka na marinda mnanza kulia yani wewe unajua kuliko wenye nchi yao wanokiri wazi[emoji23][emoji23]
Unatambua ndege za Russia zinaruka kule Alaska na mnazingalia tu.
View attachment 2326062
Hivi mnaomsifiaga huyu jamaa anajua uchambuzi wa vita ni nani? Maana namwona mweupe sana kichwani. Nilikua namchora tu anavyohangaika anavyowalisha matangopori humu ndani.
Kama unatafuta kuwa keyboard warrior ni sawa
Dikiteta Putin alienda kuwinda, kinyume chake ni kwamba anawindwa yeye Sasa[emoji848]Lipo Ukraine na mlikuwa mnalilinda na air defence system zenu lakini haziwezi kazi ni mafamba sasa hivi havuki hata inzi
Tunamsubiri atangeneze hicho kivuko then aone moto wake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli jamii forrum wengi humu madish yameyumba.yani URUSI hakose vivuko,alafu Tanzania tuwe navyo,si masihara hayo
😀😀😀Dikiteta Putin alienda kuwinda, kinyume chake ni kwamba anawindwa yeye Sasa[emoji848]
KWAMBA HO WANAO MUWINDA PUTIN MPAKA SASA WAMEPATA NINI CHA MAANA CHA KUANZA KUJISIFU NACHODikiteta Putin alienda kuwinda, kinyume chake ni kwamba anawindwa yeye Sasa[emoji848]
Angekuwa na jeshi bovu basi vita ingekuwa ipo URUSI na sii UKRAINE.