Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Screenshot_20220817-100421_Chrome.jpg
 
Ukraine ni ndogo compared to Russia, Ukrain na Afghanistan ni almost sana, na pia unaweza kusema kigoma wilaya ni kubwa kuliko Dar nzima, hii ni kweli, ila kiuhalisia eneo la watu na wingi wa makazi ndo hupnesha ukubwa, Ukraine haina makazi mengi kulingana na nchi za Ulaya
Nakukumbusha tu iyo bado ji Small operation siyo vita yani tunaenda mdogo mdogo hatuna haraka ata ikichukua miaka 3 aina shida tutaitangaza kuwa vita rasmi pale Rainbow army watakapo kanyaga kwato zao ukraine rasmi pale ndio mtajua Russia ni kitu gani kwenye hii dunia nadhani wenyewe wanalijua ndio mahana wanaishia kutoa visilaha vidogo vidogo visivyokuwa na msaada wajaribu kuleta F-16 na machuma chuma yao mengine ndio waone moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amkeni jama wwanajeshi 100 wakirusi wamekwenda na maji kwa wakati mmoja huko Luhansk wamepigwa na kitu kizito tazama ushahidi wa video chini hapo.


Yani ni sawa na umefeli masomo yote ispokuwa KISWAHILI tu ndio umepatia..

Afu unaanza kujisifu kwa masela asee nimefeli lakini nimetusua kiswahili kinoma kwa 29% ...😂😂😂😂

Dunia inaenda zake hii.
 
Nakukumbusha tu iyo bado ji Small operation siyo vita yani tunaenda mdogo mdogo hatuna haraka ata ikichukua miaka 3 aina shida tutaitangaza kuwa vita rasmi pale Rainbow army watakapo kanyaga kwato zao ukraine rasmi pale ndio mtajua Russia ni kitu gani kwenye hii dunia nadhani wenyewe wanalijua ndio mahana wanaishia kutoa visilaha vidogo vidogo visivyokuwa na msaada wajaribu kuleta F-16 na machuma chuma yao mengine ndio waone moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zaidi ya nusu wanajeshi wamekufa mpaka anaomba wafungwa korea na Irani unasema ni opereshi sema mnashindwa kuomba poo ni aibu super power kupigwa na ka nchi kadogo
 
Hii jamaa kama sio ntuzu, basi sukuma ya msalala 😂
Wewe,Kaa pembeni utapitiwa na semitrailer.
Siku hizi sizungumzii kamanga,nyamatongo,nyamterela,katunguru,nyamililo wala ibondo,
Sasa hivi nazungumzia,bariadi,masanza,naruka Hadi ngorime,silari,hizibania,kirumi nakuvurugia akili Hadi ushirombo,narudi Kyabakari naenda kujificha mwitongo.
Nimekuacha.
Naibukia Kamchatka utanipatia wapi?
 
Nyamazugo
Nyamizeze
Nyamadoke
Nyakasasa
Bukokwa
Liteli
Mizorozoro
Bupandwamhelha
Nyamimina
Ibisabageni
Migombani
Nyanchenche
Mwabaruhi
Nyampulukano

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
lee van cliff nimefanya kunyumbulisha tu
Umeanza kunitisha mazee,wewe ni mtu mbadi sana.
Nakutafutia kombora moja TU na la mwisho unalala chini mwana.
 
Maendeleo ya SMO leo 17/8
⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine

▫️The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

💥High-precision weapons have hit 1 ammunition depot of the 95th Airborne Assault Brigade near Slavyansk in Donetsk People's Republic, destroying over 3,000 122mm artillery shells, mines and over 30 nationalists.

💥High-precision strikes of the Russian Aerospace Forces against AFU manpower and military equipment concentration near Lozovoye, Belogorka and Belaya Krynitsa in Kherson Region, have destroyed over 40 nationalists and 10 units of special vehicles.

⚠️ The enemy suffers significant losses.

▫️In Soledar, during the recruitment of the 10th Mountain Assault Brigade of AFU, more than a third of mobilized citizens left their units on their own, leaving for an unknown destination. Brigade's personnel strength remains below 50 per cent due to heavy losses.

▫️Due to heavy losses and a shortage of ammunition, more than half of the servicemen of the 3rd Battalion of the 66th Mechanized Brigade of AFU voluntarily abandoned their combat positions and left the area of combat operations near Mar'inka in Donetsk People's Republic.

💥Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery strikes continue against military facilities in Ukraine.

▫️9 command posts have been hit, including the 46th Airmobile Brigade near Belaya Krynytsya in Kherson Region, the 56th Motorised Infantry Brigade near Yasnobrodivka in Donetsk People's Republic, and the 28th AFU Motorised Infantry Brigade near Nikolaev.

▫️A large number of AFU reserve troops, weapons and military equipment arriving for unloading at Kalinindorf railway station in Kherson Region have been destroyed.

▫️In addition, 9 missile and artillery weapons and ammunition depots near Kramatorsk, Nikolaevka, Krasnoye in Donetsk Region, Malinovka in Kharkov Region, Gulyai Polye, Samoilovka in Zaporozhye Region, Bereznevatoye in Nikolaev Region, and 3 fuel depots near Kharkov, Bogodugov and Chuguyiv in Kharkov Region have been destroyed.

💥Russian air defence means have destroyed 4 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Korobochkino, Kharkov Region, Pervomayiskoye, Yasinuvataya in Donetsk People's Republic and Kherson city.

▫️1 Tochka-U ballistic missile near Donetsk and 7 shells of Uragan multiple rocket launcher have been intercepted near Nikolskoye and Stakhanov in Donetsk People's Republic.

📊In total, 267 Ukrainian airplanes and 148 helicopters, 1,747 unmanned aerial vehicles, 365 anti-aircraft missile systems, 4,334 tanks and other armored combat vehicles, 799 multiple launch rocket systems, 3,310 field artillery and mortars, as well as 4,922 units of special military vehicles were destroyed during the operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Ingawa hayanihusu...

We jamaa hapa ndio huwa unatuchosha kinyama. Kama hazina ubora wanashinda vipi huko field? Kama bayraktar na Himars ni game changer hadi leo warusi wanafanya nini uko Ukraine? Tangu 24th Feb Misaada yote ya silaha imeisaidia nini Ukraine kuikomboa dhidi ya Russia?

Hivi kweli na ww umefikia hatua ya kusifia casualties kama kigezo cha ubora wa silaha? Kwa hiyo unataka kutushawishi na sie tuamini wale watalebani walikua na silaha bora kwasababu walileta casualties kwa jeshi la US na shost zake?

Kama kweli uwezo wa kufikria uko sawa, tangu hizo Bayraktar Himars na silaha zingine zote ziingie Ukraine zimemrudisha nyuma mrusi hadi wapi?

Jana sijui juzi tu hapa Pisky, Udy, Borschova, Vershyna vijiji vyote hivi vimesepa. So hizo bayraktar zilishindwa nini kutoa msaada kuzuia jambo hilo?

Vipi Himars zenu zimepiga stop advancement za urusi, if not why? Lel say ana silaha mbovu ukraine kapewa silaha bora. So Ukraine ana panga la chuma Russia ana panga la plastic inakuaje mwenye panga la chuma analalamika kuonewa na mwenye panga la plastic?

Simple logic kama hiyo hata mtoto wa chekechea akisikia anaelewa.

Tangu mzozo uanze, collective west wenye budget ya zaidi ya trillion dollars wanalalamika stock zao kuisha kisa Ukraine dhidi ya taifa maskini na dhaifu kwa mujibu wenu. Inakuingia kabisa akilini unasimama mbele za watu kutoa hoja kua Russia si chochote?

Kule Libya, hawa NATO si walifunga anga? Si waliingia vitani dhidi ya Libya? Kwani Libya ni NATO? wanashindwa nini kwenda hapo Ukraine dhidi ya Russia mwenye silaha goi goi wakamchakaze chap life liendelee?

Unajua kama msaada wa kifedha plus military aid zote zilizotolewa kwa Ukraine kutoka colllective west ni kiasi gani? Kilichotangazwa na kisichotangazwa? In term of number ni Almost zaidi ya budget ya military ya mwaka anayoiweka Russia. Je uliwahi kumsikia analalamika kuishiwa?

Hold on!

Majuzi hapo system za LM, ambae ni main manufacture wa silaha za collective west zimedukuliwa na wahuni wachache tu wa Killnet. Hackers wa kawaida tu wa Russia wakawavua nguo, Je umejiuliza FSB wanajua mangapi kuwahusu?

Uje kwenye mbinu za upiganaji na intelligence.

Collective west kuanzia Pentagon, CIA, Mi6, Mossad, BND to mention but few wako bega kwa bega na Ukraine dhidi ya FSB. Makampuni binafs mengi tu yanatoa locations na picha za satellites kwa Ukraine. Huo umoja wote wa intelligence unapigwa chini bado unawaita wadhaifu, kwamba sio bora? Are you nuts?

Sikia mdau, rekebisha feelings zako hizo huenda utaanza kuzungumza critically other wise utaendelea kuonekana kituko tu.

Being intelligent it's not about how much unaweza kuzungumza. Kua intelligent kuna-anza na uwezo wa kuhimili na ku'control chuki na mahaba katika ufikiri. Uwezo wa ku-control emotions. Kwani hivi vyote vina play part katika mwelekeo wa mtu wa kufikiri.

Ukishiba mahaba unakuwa mpumbavu, again ukishiba chuki unakua mpumbavu zaidi. Ukiongeza mihemko unakuwa mpumbavu to infinity. Hii ndio changamoto inayo wakumba walio wengi. In turn akizungumza au akitafuta sababu basi anatafuta za kushibisha either of the two, mahaba yake au chuki zake.

Pale wamekupa option uchukue inayoendana na utetezi wako bado umeyavurunda. Moja ya screenshot inasema wana ogopa "sanctions".

Hivyo vitisho kwako huoni kama ni tatizo na hope yote ni kwasababu ya mahaba niue uliyo nayo. Hivyo vitisho ni signal moja kwa mwenye akili kujua kua soko la silaha lenyewe tu haliko fair, blackmailing on actions. Ajabu Silaha sio bora ila zikinunuliwa yule mwenye silaha bora kwa mujibu wako analalama. Anachukiaaaaaaaa ha ha ha.

Piga moyo konde, Utayashinda... Vumilia 😂😂😂 Gospel song ya Paul Mwazembe. Ukiipata isikilize inatia faraja kiasi.

Kwenye halmashauri ya fikra zako silaha za Urusi ni kumchuzi ila walioko huko field wanaelewa wapo kwenye kajahanam kadogo.

Mind you, hiyo ni just SMO.
👏👏👏👏👏👊👊👊💪💪💪✔️✔️🇷🇺🇹🇿🇷🇺🇹🇿
Asipoelewa hpo hata Kaa aelewe chochote maishani.

Misaada ya silaha
Misaada ya intelligence
Misaada ya Hela
Pamoja na msaada wa Urusi kuwekewa vikwazo vyote hapa duniani.
Lakini
Lakini
Lakini
Lakini wanaolalamika kutumia ni wao,watoa misaada na wapewa misaada.
Umetisha mtaalam.
 
❗️🇷🇺🇺🇦 Highlights of Russian Military Operation in Ukraine on August 16, 2022

▪️ Russian missile troops and artillery struck targets in the Shevchenkivskyi, Kyivskyi and Saltivskyi districts in Kharkiv, as well as in Tsyrkuny, Zolochiv, Velyka Danylivka and the outskirts of Bohodukhiv.

▪️The 20th Army's artillery strikes AFU positions in Mazanivka and the nearest forests.

▪️Russian Armed Forces' 3rd Motorized Rifle Division units liberated Bohorodychne.

▪️ Overnight, Russian missile troops and artillery struck targets in the Slovyansk-Kramatorsk agglomeration and hit AFU positions near the quarry in Slovyansk.

▪️ Near Bakhmut, fighting continues on its outskirts. Wagner's PMC units are approaching the city from the north and south to storm it from several directions.

▪️ DPR People’s Militia units advance in the direction of Pervomais'ke and Vodyane. Artillery and missile strikes are launched against AFU strongholds in Nevel's'ke and Netailove.

▪️ Russian Armed Forces and DPR People’s Militia units continue their offensive in Vuhledar. Massive artillery and air strikes are carried out on the front line.

▪️ Russian artillery struck Nikopol' and Marhanets’, from where AFU shell Energodar and Zaporizhzhia Nuclear Power Plant.

▪️ Sabotage in Crimea caused explosions at an ammunition depot near Dzhankoi and a military airbase in Gvardeyskoye.

▪️ Russian Armed Forces launched a missile strike against facilities on the outskirts of Zhytomyr, with two loud explosions.

#digest #Russia #Ukraine #video
@rybar

*Support us: 0x4739352b67Da6F4064757627D92A08EaDd3fb6b6
(ETH) | 33i1BwMuzeYTAUNtiLa6CjvaHtTVYNJfnp
(BTC) cc- vunjo
 
Maendeleo ya SMO leo 17/8
[emoji298]️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine

[emoji3503]The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

[emoji95]High-precision weapons have hit 1 ammunition depot of the 95th Airborne Assault Brigade near Slavyansk in Donetsk People's Republic, destroying over 3,000 122mm artillery shells, mines and over 30 nationalists.

[emoji95]High-precision strikes of the Russian Aerospace Forces against AFU manpower and military equipment concentration near Lozovoye, Belogorka and Belaya Krynitsa in Kherson Region, have destroyed over 40 nationalists and 10 units of special vehicles.

[emoji3544] The enemy suffers significant losses.

[emoji3503]In Soledar, during the recruitment of the 10th Mountain Assault Brigade of AFU, more than a third of mobilized citizens left their units on their own, leaving for an unknown destination. Brigade's personnel strength remains below 50 per cent due to heavy losses.

[emoji3503]Due to heavy losses and a shortage of ammunition, more than half of the servicemen of the 3rd Battalion of the 66th Mechanized Brigade of AFU voluntarily abandoned their combat positions and left the area of combat operations near Mar'inka in Donetsk People's Republic.

[emoji95]Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery strikes continue against military facilities in Ukraine.

[emoji3503]9 command posts have been hit, including the 46th Airmobile Brigade near Belaya Krynytsya in Kherson Region, the 56th Motorised Infantry Brigade near Yasnobrodivka in Donetsk People's Republic, and the 28th AFU Motorised Infantry Brigade near Nikolaev.

[emoji3503]A large number of AFU reserve troops, weapons and military equipment arriving for unloading at Kalinindorf railway station in Kherson Region have been destroyed.

[emoji3503]In addition, 9 missile and artillery weapons and ammunition depots near Kramatorsk, Nikolaevka, Krasnoye in Donetsk Region, Malinovka in Kharkov Region, Gulyai Polye, Samoilovka in Zaporozhye Region, Bereznevatoye in Nikolaev Region, and 3 fuel depots near Kharkov, Bogodugov and Chuguyiv in Kharkov Region have been destroyed.

[emoji95]Russian air defence means have destroyed 4 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Korobochkino, Kharkov Region, Pervomayiskoye, Yasinuvataya in Donetsk People's Republic and Kherson city.

[emoji3503]1 Tochka-U ballistic missile near Donetsk and 7 shells of Uragan multiple rocket launcher have been intercepted near Nikolskoye and Stakhanov in Donetsk People's Republic.

[emoji408]In total, 267 Ukrainian airplanes and 148 helicopters, 1,747 unmanned aerial vehicles, 365 anti-aircraft missile systems, 4,334 tanks and other armored combat vehicles, 799 multiple launch rocket systems, 3,310 field artillery and mortars, as well as 4,922 units of special military vehicles were destroyed during the operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
Hii hadidhi ambayo haina ushahidi inatufundisha nini wazee wa articles za kubumba[emoji1][emoji1]
 
Wamekiwasha tena......

Kitu kizito kimetua kwenye stoo ya silaha za Urusi...dadadeq

A week after an apparent Ukrainian attack on a Russian military base in occupied Crimea, an arms store at another military facility has been hit by a series of explosions.
 
Ko ata Tanzania alipopigana na Uganda Russia alipigana na Uganda, au Libya alipogana na Tanzania, akili zenu ni Zero

Af sikujua hyo War, kumbe Soviet Union mwenyewe alipigwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie jamaa kila vita mnapigwa
Ko ata vita ya Afghanistan ilichukua miaka 20[emoji23][emoji23][emoji23]
Vita au vikundi vya watu wanaopinga uwepo wa Marekan pale

Kwa kukusaidia tu ni kuwa Marekan alishinda tangu miaka hyo, ila Taliban na vikundi vyake wakawa wanaoppose, ni kama ujerumani Alivyoishika Tanzania na Mkwawa na Wahehe wakawa wanaleta resistance

Na ili uone ukubwa wa Jeshi la Marekani ni walikaa pale kibabe, ndo maana walivyotangaza tu kuondoka nchi ikachukuliwa ndani ya wiki, huo ndo ubabe na usuper power wenyewe sasa
Hamna kitu apa..!
 
Back
Top Bottom