Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Na hili commbola lingine limepiga kwenye tansoformers video ndio hii tofautisha wewe pro rusia leo ni kipigo cha mbwa koko tu
Kama Himmars silaha ya mwaka 80 inawatesa hapo Ukraine US hamtamuweza kabisa muulize china na vitisho vyake kashindwa endeleeni kuungana ila USA baba lao.Russia, Iran na Venezuela wanashiriki Luteka kubwa ya Kijeshi pamoja na zana nzito huko America ya kati.. hizi ni dalili za kuiweka mtu kati US na kuitwanga kama mbwa koko [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji23][emoji23]View attachment 2326535View attachment 2326536
Huyo mbabe karbilWanalia nakusaga meno
Sasa USA anazibuliwaga na Iran kila uchaoKama Himmars silaha ya mwaka 80 inawatesa hapo Ukraine US hamtamuweza kabisa muulize china na vitisho vyake kashindwa endeleeni kuungana ila USA baba lao.
Leta source yakoKashaanza kuleta poem zake ambazo hazina source mnaokote vihabari mnaleta huku source hamuweki
Kwamba ndo maaana Russia inafeliNyie pro nato msiojua geography ya Ukraine ebu tulieni ivi mnajua kuwa Baada ya Russia inafuata ukraine kwa ukubwa ulaya yote? mnafikiri ukraine ni kama kisiwa jimbo moja tu la ukraine ni sawa na Belgium yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ni sawa na umefeli masomo yote ispokuwa KISWAHILI tu ndio umepatia..
Afu unaanza kujisifu kwa masela asee nimefeli lakini nimetusua kiswahili kinoma kwa 29% ...😂😂😂😂
Dunia inaenda zake hii.
Wewe ni famba tena wa mwisho hivi Statistics zilizotolewa miezi 2 imepita ndio itakuwa hivyo mpaka sasa waliongelea current situation ya wakati huo famba wewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi Huyu kilaza anakumbuka Rais wa Ukraine mwenyewe alisema idadi ya wanajeshi wake wanakufa wangapi kwa siku?
Leo mmepiga makazi odesa mmejeruhi watu 4 jana Ukraine kapiga majengo mawili yalikuwa na wanajeshi zaidi ya 100 wa russia wakafa hapo utaona nani ana target ya maana[emoji28][emoji28][emoji28]
Ww pumbaf Sana, Urusi ina wanajeshi zaidi ya 1.5 million,walipo Ukraine ni 250,000. Endelea kupiga punyeto.Zaidi ya nusu wanajeshi wamekufa mpaka anaomba wafungwa korea na Irani unasema ni opereshi sema mnashindwa kuomba poo ni aibu super power kupigwa na ka nchi kadogo
Mbona huongelei?hiyo ntansformer walikufa Wana Ibia umemeKulipua transformer ndo kunyukwa..kwa hiyo unatarajia Ukraine watachukua maeneo yao kwa kufanya subotage au terrorist acts??Watu mnaushabiki wa kimaandazi sana...
Alafu utaona kilaza mmoja anashangilia wanajeshi 100 wa Urusi kufa Leo tu.Leo urusi imeyatungua makombora yote yalio elekea Crimea pia zaidi ya wanajeshi 300 wa ukraine wameuwa walipo jaribio kufanya shambulizi la kustukiza huko mykolaiv
Vunjo naona unaendelea kuwavunja moyo pro-Russia, endelea kuwapiga [emoji2923][emoji373] vilaza Hawa maana Wana mtindio wa ubongo,Kama Himmars silaha ya mwaka 80 inawatesa hapo Ukraine US hamtamuweza kabisa muulize china na vitisho vyake kashindwa endeleeni kuungana ila USA baba lao.
Kilaza ni yule super pawer wa mchongo aliyeingia Ukraine kwa mbwembe zote, matokeo yake anaishia kupata kipigo kikali Cha mbwa Koko[emoji12][emoji12]Alafu utaona kilaza mmoja anashangilia wanajeshi 100 wa Urusi kufa Leo tu.