Bugucha
JF-Expert Member
- Jan 3, 2020
- 3,621
- 14,714
Zelensky alitoa zake,akisema kila siku wanajeshi wake zaidi ya 300 hufa kwenye vita,Leo tu wamekufa 300 walipojaribu kufanya counter offensive,sasa ww Lete za kwako.Wewe ni famba tena wa mwisho hivi Statistics zilizotolewa miezi 2 imepita ndio itakuwa hivyo mpaka sasa waliongelea current situation ya wakati huo famba wewe.