Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mifano yako ni pumba tupu.kazi ya mwanajeshi ni kupigana vita sio kukaa kama vile wabunge.wanajeshi 100 kukaa kwenye majengo sio kazi nyepesi kama unavyofikiri labda wawe wamezingirwa kama vile ilivyokuwa kwenye kiwanda cha Azov.wanajeshi uwa wanazagaa kwenye mitaa na hata usiku kukuta wamelala sehemu moja wanajeshi 50 ni ngumu sana labda iwe kambi kubwa sana na sio kituo
Umeambiwa majengo mawili..,sio jengo Moja..,alafu fikiria lile Jengo la bunge pale Dodoma wanakaa wabunge wangapi.., fikiria jengo la ikulu.., fikiria jengo la makao makuu ya TRA..,kwa hiyo linapooongelewa jengo usianze kufikiria nyumba yako uliyojenga

Fashisti Putin na wadhulumaji wenzake lazima wapelekewe moto mpaka waombe poo,
 
Hata wenzako hawawezi kukusaport kwa habari zako izo za You tube.unaonekana kama chizi vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787].ushambiwa toka siku nyingi kuwa izo ni video za kutafuta views,ila wewe usikii unapoteza kumbukumbu kama vile mbuzi
Haya nimerudisha tena ile video ya majengo mawili yaliyopigwa na Himmars na kuua wanajeshi wa Russia zaidi ya 100.Pro Russia Naomba leteni source hata ya maandishi ya wanajeshi 300 wa Ukraine waliokufa leo

 
Nitajie majina ya hao mageneral bhs hata wa5 tu
Boss baadhi yao hawaapa waliopokea kicgapo cha mbwa koko wakafa.View attachment 2326774View attachment 2326777View attachment 2326776View attachment 2326775
Screenshot_20220817-204600_Samsung%20Internet.jpg
 
Sisi Ukraine tumelipua Crimea,tunaendelea kusonga mbele,kesho tunaichukua Moscow.👇👇👇🤣🤣

Near Bakhmut, fighting continues on its outskirts. Wagner's PMC units are approaching the city from the north and south to storm it from several directions.



▪️ DPR People’s Militia units advance in the direction of Pervomais'ke and Vodyane. Artillery and missile strikes are launched against AFU strongholds in Nevel's'ke and Netailove.
Ukraine 🇺🇦 bana 😂😂😂😂
 
Video imepatikana ile base ya Nova Kahkovka iliyopigwa na Himars juzi ndio hii haya wale wa video game mkuje.Kipigo kinaendelea na evidence tutaleta

 
yani bado Red army wako moscow wanakunywa vodka wanajeshi unaowaona apo ukraine ni kama wale vijana wa jkt kwa apa tz Jeshi kamili la Russia lipo moscow linasubiri putin siku atakayotangaza vita kamili ndio watajua Russia ni kitu gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wale sio JKT wale ni wanamgambo wa manispaa ikifika kipindi cha JKT ujue Ukraine inachukuliwa Nusu na wakiingia wazee wa kazi wa MOSCOW ujue mchezo umeisha.
 
Back
Top Bottom