Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi mnaomsifiaga huyu jamaa anajua uchambuzi wa vita ni nani? Maana namwona mweupe sana kichwani. Nilikua namchora tu anavyohangaika anavyowalisha matangopori humu ndani.
😂😂😂

KUNA YULE MPIGA NYETO NILIMUONA BONGE LA MTU KUMBE AKILI ZISHAMWAGIKA KWENYE MABAO YA NYETO
😂😂😂

Asee kama ni mimi nastaafu kuja jukwaani hapa!
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20220817-164455.jpg
 
Ukraine wanalia nakusaga meno mda huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Russia Tu 22 imemwaga mabomu mazito ya motoView attachment 2326498View attachment 2326499
Leo mmepiga makazi odesa mmejeruhi watu 4 jana Ukraine kapiga majengo mawili yalikuwa na wanajeshi zaidi ya 100 wa russia wakafa hapo utaona nani ana target ya maana[emoji28][emoji28][emoji28]
 
 
Jua tu Ukraine ni taifa dogo na hakuna ambae alijua Russia ni dhaifu hvyo na adi Urusi inaingia nchi nyingi zikajua kabisa ndo mwisho wa Ukraine, na kama unakumbuka Zelensky mwenyewe alisema anaowapigia hawapokei maana kila mtu anaogopa, ila sasa baadae ndo wakaona kila mtu ni mchumba, mpaka Poland wanajiamini na kujipa moyo kuwa Russia walioiona sio walioidhania, na kujipa bichwa akijileta kafa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kifupi Ukraine hakuwa na la ajabu ata siraha aliokuwa nazo mwanzon ni za Wasoviet mpaka alipopewa siraha, ata mwanzon Zelensky alikuwa akisema wenyewe hawaogopi ila hawana siraha, hii ni tangu wiki ya kwanza, sasa kama tangu wiki ya kwanza wanalalamika hawana siraha maana yake hawakuwa na siraha, na ata Ndege vita walizokuwa nazo zote ni mig 29
Sa unavyosema kuwa walikuwa vizuri kijeshi ni hujui na mapenzi ndo yanakuharibu akili

Ata siku ya 3 tu majeshi ya Urusi yalienda mpaka Kiev, maana yake ni kuwa walijiamini na walijua Ukraine ni weak sana na mapambano yalianzia uko pamoja na Kharkiv
Adi siku ya kwanza tu ya Russia kuvamia Donetsk pamoja na Luhansk walijitoa wakijua apa tayari baba kashatupokea, badala yake baba mpaka leo anadharaulika
Huu mwezi wa6 bado ni mputempute na tunavyobishana ni kama Urusi anapigana na nchi ya Level yake, yani kama US na Urusi ndo wanapigana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ww hata uandike gazeti Saba eti Ukraine ni Taifa dogo, West na pro Russians tunajua hii vita ni RUSSIA 🇷🇺 Vs NATO, kama hii vita ingekuwa Russia 🇷🇺 Vs Ukraine, ingekuwa tumeishafunga huu Uzi.
 
Back
Top Bottom