Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,698
- 1,339
😁😁😁Au nikuletee live update ili uone game inavyotengenezwa boss uchungu
😁
😁😁😁Au nikuletee live update ili uone game inavyotengenezwa boss uchungu
😁
Tatizo ni kwamba tukirudisha maeneo, automatically vita itaisha, tunataka dikiteta Putin na wadhulumaji wenzake waendelee kuipatapata[emoji12][emoji12][emoji12]Sasa ili tujue kuwa Wakirene wanawatembezea moto Warusi.
Tuambie ni maeneo gani waliyofanikiwa kuyarudisha?
Tuambie eneo gani wamezima offensive za kirusi.
Tunapozungumza watu wameingia outskirts za Nikolaev ili kuizuia kupigwa Kherison.
Kule Adviika, Seversk hazipumui bila kusahau Pelsky imeshaanguka.
Kodema muda wowote.
Kwa nini wanarusha makombola kwenda Crimea?
Hii ni decoy ya kuhamisha focus ya watu kuacha kuzungumzia total collapse of eastern fortified area la Ukraine.
Ila Urusi ataendelea kuwatwanga na hizo small achievement zenu hazito kuwa na maana kwenye historia.
Uraaa Uraaaa
Turudishe maeneo vita iishe? Mapema hivi? Huo ujinga hatunaEti kichapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila siku mna kimbia miji. Mmeshindwa kurudisha hata Kijiji kimoja tu
Kinachofanywa na Ukraine ni kukata supply ya silaha kwa sasa Crimea ndio kuna maghala ya sikaha zinazo ingizwa Ukraine wakishapiga maghala yote wanamaliza daraja then frontline ya Russia itakosa silaha hapo ndio kipigo cha mbwa koko kitakoleaSasa ili tujue kuwa Wakirene wanawatembezea moto Warusi.
Tuambie ni maeneo gani waliyofanikiwa kuyarudisha?
Tuambie eneo gani wamezima offensive za kirusi.
Tunapozungumza watu wameingia outskirts za Nikolaev ili kuizuia kupigwa Kherison.
Kule Adviika, Seversk hazipumui bila kusahau Pelsky imeshaanguka.
Kodema muda wowote.
Kwa nini wanarusha makombola kwenda Crimea?
Hii ni decoy ya kuhamisha focus ya watu kuacha kuzungumzia total collapse of eastern fortified area la Ukraine.
Ila Urusi ataendelea kuwatwanga na hizo small achievement zenu hazito kuwa na maana kwenye historia.
Uraaa Uraaaa
Rais wa Korea ndio alimpa pasipo kumwomba kama ishara ya urafiki.Sasa anachukua wafungwa wa nini kutoka Korea kaskazini famba wewe
Kherson imerudi Ukraine aise![emoji38][emoji38][emoji38]Lazima pro Russia tuwafurahishe humu
Kumbora🤣🤣🤣🤣 badala kombora, Pro NATO vilaza sanaNioneshe video niliyotuma inayoonesha kumbora liliporushwa mpaka linapotua boss
Siku imeanza vyema mtafurahi leo wekeni bundle ule mzigo wa USA umefika[emoji38][emoji38]Kumbora[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] badala kombora, Pro NATO vilaza sana
Kinachofanywa na Ukraine ni kukata supply ya silaha kwa sasa Crimea ndio kuna maghala ya sikaha zinazo ingizwa Ukraine wakishapiga maghala yote wanamaliza daraja then frontline ya Russia itakosa silaha hapo ndio kipigo cha mbwa koko kitakolea
Mizigo ya US ni mingi na haijafanya chochote. HIMARS, javelin, Howtizers na Stinger zimerudisha Urusi nyuma?Siku imeanza vyema mtafurahi leo wekeni bundle ule mzigo wa USA umefika[emoji38][emoji38]
Cheki video wanejeshi wa urusi wanavyo hangaika wameona drone inawafwatili wanajua wakitulia tu bomu linaangusho so inabidi wakimbie huku na kule wanatia huruma sana kichapo kinaendelea.Yaani ww unayajua hayo,Ila Ukraine haijuu,muda wote huo Ukraine ilikuwa inafanya nini imeshindwa kurudisha Crimea toka 2014,Leo ndio wairudishe overnight? Nan amekwambia silaha za Urusi ziko Crimea tu?
Cha kwanza javelin ndio ilitawanyisha msafara wa vifaru wa km 64 ulikuwa unaingia kyiv mpaka mkakimbia mpakani.Sasa Himars ndio inaendelea kupiga military base na airbase na madaraja yani zikitua tu kinachobaki ni scrapers.Hatuwezi komboa mji wakati silaha zinazidi kuingia tunachofanya ni kukata supply ya silaha kuwepo na ugumu wa kuleta silaha frontline.Mizigo ya US ni mingi na haijafanya chochote. HIMARS, javelin, Howtizers na Stinger zimerudisha Urusi nyuma?
Wape vidonge vyao Hawa pro-Russia [emoji1787] siku hizi wamepoa kweliCheki video wanejeshi wa urusi wanavyo hangaika wameona drone inawafwatili wanajua wakitulia tu bomu linaangusho so inabidi wakimbie huku na kule wanatia huruma sana kichapo kinaendelea.
Duh..,nimeangalia mwanzo mwisho, urusi wanatia huruma sana kwa kweli [emoji848]Haya kwa yule ambaye hazijui drone zinazobeba mabomu madogo madogo ambazo wamezi modify tazama video hii Pro Russia wanasema ni video game tazama zinavyorushwa na zinavyoa achia mabomu pindi zinapoona target .
Wao wanadhani vita ya sasa ni kujaza mavifaru kwa adui cheki hiyo video mpaka mwisho drone zile za laki 2 zinakwenda kuharibu kifaru cha million 500 vibomu vinavyoangushwa ni vidogo sana.Walijitapa humu wana silaha ya laser amabyo inaunguza drones sijui nayo ilienda wapi.Wape vidonge vyao Hawa pro-Russia [emoji1787] siku hizi wamepoa kweli