kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mkuu,shikamoo..,umejua kunifurahisha kwa kweliVideo imepatikana ile base ya Nova Kahkovka iliyopigwa na Himars juzi ndio hii haya wale wa video game mkuje.Kipigo kinaendelea na evidence tutaleta