manning
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 5,093
- 11,948
Kumbe wewe ndo kazi yako😂😂😂 angalia hapo chini Kuna link ukathibisheHizi articles unatuma kila siku una zi edit tu nani atakwamini hazina source FAMBA wewe.
Kumbe wewe ndo kazi yako😂😂😂 angalia hapo chini Kuna link ukathibisheHizi articles unatuma kila siku una zi edit tu nani atakwamini hazina source FAMBA wewe.
Urrrraaaaa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2327203
Pole mkuu , ngoja dawa ikuingie Barabara😆😆😆Haya magazeti ya Kila siku tumeyazoea sana, hayana impact, laiti haya magazeti yangekuwa na uhalisia mngekuwa mmeshamaliza zamani sana hii mnayoiita ""special epereshen ""
Since day one mnatuletea magazeti,
Ila una amini Ukraine (AFU) haitangazi hasara yake? (Vifo, ndege, vifaru, mateka, magari, nk)Hizi articles unatuma kila siku una zi edit tu nani atakwamini hazina source FAMBA wewe.
Himaz zimeenda wapi[emoji16][emoji4][emoji23]176 days leo kitu bado kimenasaa !! yaani miezi 6 kasoro wiki tu 😀 😀
Putin umeyakanyaga !! goma hili si la kitoto !! jiandae kuishi na hii vita chief si ya leo wala kesho.
The U.S. is sending Ukraine advanced rocket-launcher systems and 1,000 Javelin missiles as part of the Biden administration’s latest effort to arm the Ukrainian soldiers fighting off Russia’s invasion, the Pentagon said Wednesday
Hizi articles unatuma kila siku una zi edit tu nani atakwamini hazina source FAMBA wewe.
Saga chupa unywe mkuuDuh...comments nyingine ni kichefuchefu kwa kweli
Achana naye huyo, nimempita hapo bar kalewa chakari 🙂
Sisi ndo tunawaingizia, mkiona inawauma chomoa [emoji41][emoji41]Pole mkuu , ngoja dawa ikuingie Barabara[emoji38][emoji38][emoji38]
Soma hapo chini"UKRAINE HITS RUSSIA WAGNER MERCENARY HQ IN EAST" yaaani wamepigwa kwenye makao yao makuuView attachment 2327176
HIMARS bado zinawachakaza mazombi wa Putin [emoji1787]
Na jana tumewapiga wengine wanajeshi 100 walikuwa kwenye majengo mawili na nyie leo mkajibu mkapiga majengo ya raia mkawaua raia 6 nani anatumia akili hapo[emoji2958]Highlight walioandika wanajeshi 680 wamekufa.
176 days leo kitu bado kimenasaa !! yaani miezi 6 kasoro wiki tu 😀 😀
Putin umeyakanyaga !! goma hili si la kitoto !! jiandae kuishi na hii vita chief si ya leo wala kesho.
The U.S. is sending Ukraine advanced rocket-launcher systems and 1,000 Javelin missiles as part of the Biden administration’s latest effort to arm the Ukrainian soldiers fighting off Russia’s invasion, the Pentagon said Wednesday
Na jana tumewapiga wengine wanajeshi 100 walikuwa kwenye majengo mawili na nyie leo mkajibu mkapiga majengo ya raia mkawaua raia 6 nani anatumia akili hapo[emoji2958]