kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Urusi anajitutumua tu hawezi kituUsikute jamaa wamedukuliwa akaunti, then wameediti, au camera iliyotumika kupigia picha siyo 🙂
In fact kajianika udhaifu wake
Urusi anajitutumua tu hawezi kituUsikute jamaa wamedukuliwa akaunti, then wameediti, au camera iliyotumika kupigia picha siyo 🙂
Sisi ndo tunawaingizia, mkiona inawauma chomoa [emoji41][emoji41]
Humu sio Facebook,,,,amekuleta nani JF?Em leta evidence sio unaongea ujinga tu, leta evidence, af nichogundua akili yenu ni ya kuropoka, ndo maana wabish sana maana source ya news zenu ni kichwa chenu
Umebeba kichwa au tako lilioteshwa nywele, blah blah nyingi hata lugha ya malkia huijui,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][/QUOTE]Taharifa haijulikani hata ni ya mwezi wa ngapi, duh, kweli mnaanza kupoteana aisee[emoji848]
Labda Kama walikua kwenye Gwaride..!680?? Embu kuwa serious bhana Jeshi gani wanakaa kwa pamoja hivo?? Huoni ni propaganda hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
Duh warusi watamalizwa kabisa kwa kichapo hiki[emoji848]Tayari huko Crimea dakika chache zilizopita more updates zinakuja cheki video mosh mweusi
[/QUOTE]Sisi tunazidi kuwaingizia taratibu mpaka muombe poo[emoji12]Umebeba kichwa au tako lilioteshwa nywele, blah blah nyingi hata lugha ya malkia huijui,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilishampiga igrone siku nyingi sana, nadhani kuna mmoja nae anaelekea kuwa ignoredDuh...comments nyingine ni kichefuchefu kwa kweli
Hizo silaha si mlete Ukraine wenzenu wanakamatwa kipumba sana.Russia yapeleka ndege vita na Makombora yasionekana wala kuzuilika ya Hypesonic huko Ulaya - Kaliningrad. [emoji91][emoji91]I[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2327491View attachment 2327492
Masikini Putin. ,Hiki kibabu kimedhalilishwa sana kwa kweli [emoji848]Haya tazameni mateka wa super power wa mchongo hawa tuna kazi nao leo.Inakuaje mnakamatwa ******* na mnasilaha za kutisha dunia nzima.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unatamani uwe admin jf utulime block hata kama habari chungu vumilia tu chief ndio mmechagua upande wa kibabu hakijui vita tunakinyoosha tu[emoji38][emoji38][emoji38]Nilishampiga igrone siku nyingi sana, nadhani kuna mmoja nae anaelekea kuwa ignored
maana naona kama utoto umekua mwingi.
Hiyo ignore naona hukuikamilisha ..,ikamilishe haraka sana kabla presha haijapandaNilishampiga igrone siku nyingi sana, nadhani kuna mmoja nae anaelekea kuwa ignored
maana naona kama utoto umekua mwingi.